Hivi ni mwisho wa Dunia au mwisho wa ulimwengu(universe)?

raslimali

JF-Expert Member
Nov 4, 2014
1,344
1,013
Kuna mambo mengine kwenye hizi simulizi za vitabu vya kiimani yanafikirisha.

MWISHO WA DUNIA! Dunia hii sayari yetu au?

Mifumo mingine ya ulimwengu ambayo ina mamilioni ya mifumo ya jua na sayari zake kama yetu na mamilioni ya galaxies nayo ambayo ndani yake Kuna mamilioni ya nyota na sayari itakuwa imefikia mwisho pia?
 
NAMPENDA YESU ANASEMA HAKUNA HAKUNA , HAKUNA AIJUAYE SIKU WALA SAA.

MATHAYO 24: 36.
Nami nampenda ila amesema nimpende KWA AKILI YANGU YOTE. Siyo akili za kuambiwa. After all he is the greatest scientist. Kabla hata binadamu hakujua principles of quantum physics yeye alifanya mengi ambayo Leo yanaeleweka kama bilocation, quantum tunneling n.k. Mpende Kwa akili pia!!
 
Umejibu vema!
Usisahau pia kuna mwisho wa dunia yetu katika namna mbali mbali kama

Vifo vya viumbe hai wote kutokana na majanga makubwa kama nuclear radiation, matetemeko makubwa ya ardhi, magonjwa (pandemics), vita na kuanguka kwa vimondo. Pia kufa kwa jua letu kutaleta mwisho wa dunia. Majanga ya mabadiliko ya tabia nchi nayo yaweza kuleta mwisho wa dunia yetu.

Tafsiri nyingine ya mwisho wa dunia ni kufa kwa mwanadamu. Unapokufa ndio mwisho wa dunia kwako.
 
MWISHO WA UZAZI
Hakuna mwisho wa dunia, Bali Kuna mwisho wa kizazi,,, kwa Sasa jua Lina miaka bil 5, na litakuwa na miaka bil 5 tena huko mbele,,, na mfumo wetu wa maisha unategemea jua. Binadamu wale wa kwanza kabisa walikuwepo miaka Mil 7 huko nyuma. Ina maana kabla ya binadamu sisi kuanza kutokea kulikuwa na maisha nyuma ambayo n Bil 4.993 (miaka 4,993,000,000) ambayo hatuyafahamu yalikuwaje...
NI NAMNA GANI KIZAZI CHETU KITAPOTEA.
Maendeleo ya teknolojia na ongezeko la watu


1. MAENDELEO YA TEKNOLOJIA, na MAENDELEO KWA UJUMLA.
Haya yamesababisha huko kwa weupe kuacha kuzaana, mwisho wa siku yatabaki mazee ambayo ni non productive, lakini at the same time bado population itakuwa inazidi kuongezeka, this time median age ya dunia ni 31, kufikia 2050 itakuwa ni 36, kwa Ulaya itakuwa n kubwa zaidi 47.... Wakati. Tufahamu pia mzee Musk kashatengeneza mke Roboti, hivo population of Europe itazidi kupungua, na watakuwa aged na non productive huku population of Africans ikizidi kuongezeka na kumigrate to Europe, Asia and America.
IN THE LONG RUN, THE POPULATION OF THE AGED ITAKUWA KUBWA, NON PRODUCTIVE, kuongezeka kwa technology kutasababisha pia most parts of the body kuwa useless,
Population increase, land is scarce in nature, increase in desertification=NJAA KALI.
Pia Kuna threat of nuclear weapons ambayo Kama zitatumika zitasababbisha uharibifu mkubwa wa mazingira.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mambo mengine kwenye hizi simulizi za vitabu vya kiimani yanafikirisha.

MWISHO WA DUNIA! Dunia hii sayari yetu au?

Mifumo mingine ya ulimwengu ambayo ina mamilioni ya mifumo ya jua na sayari zake kama yetu na mamilioni ya galaxies nayo ambayo ndani yake Kuna mamilioni ya nyota na sayari itakuwa imefikia mwisho pia?
Mwisho wa hii Dunia upo mkuu. Ni mwisho wa wote wenye mwili ila muda lin anaujua huyo mwenye dunia yake.
 
Ni mwisho wa uovu/waovu.

2 Petro 3:5-6

5 Wao wameamua kusahau kwamba ni kwa neno la Mungu mbingu zilikuwepo tangu zamani, na kwamba ulimwengu uliumbwa kutokana na maji kwa njia ya maji,

6 na kuwa kwa maji hayo hayo ulimwengu ule uliokuwepo uliangamizwa wakati ule wa gharika.

2 Petro 3:13 BHN

Lakini sisi, kufuatana na ahadi yake, twangojea mbingu mpya na dunia mpya ambayo imejaa uadilifu.

***
I like it here! Why would God destroy this beautiful place! There's good food, beautiful nature, music, family and friends!

Now if we only learn to follow the instructions next time!!!!
 
Mwisho wa hii Dunia upo mkuu. Ni mwisho wa wote wenye mwili ila muda lin anaujua huyo mwenye dunia yake.
Kweli kabisa, na huwezi jiita Muislamu au Mkristu, alafu huamini kuwa kuna mwisho wa Dunia, wakati ni sehemu ya maandiko kwenye kitabu cha maneno ya Mungu, unachokiamini.
 
kama aliweza kuufanya ulimwengu na vitu vyote vilivyomo.. anaweza pia kufanya chochote akiamua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom