Kwa picha: Ufahamu kuhusu Ulimwengu

Ili mwanadamu aweze kusafiri kwenda anga za nje ya solar sytsem inabidi agundue namna ku Hibernate kama baadhi wanyama wanavyofanya kwenda kwenye hali usingizi kwa miezi 6 ya baridi kali.
 
Utiaji wa nanga kwenye space sio kazi ndogo, hapo thrusters zinafanya kazi kwelikweli.
 
SATURN V Rocket yenye nguvu kabisa kuwahi kutengezwa na US,inafanana na kwa mbali na SOYUZ za Warusi.Saturn V ndiyo iliyowapeleka Neil Armstrong na wenzake kwenye mwezi.
 
ALL SOYUZ MISSIONS.

Soyuz 7K (1967-1981)

Soyuz T (1979-1986)

Soyuz TM (1987-2002)

Soyuz TMA (2002-2012)

Soyuz TMA-M (2010-2016)

Soyuz MS (2016-)
 
Wanaanga wa kirusi YURI GAGARIN (mwenye bunduki) na VLADMIR KOMAROV wakifurahia maisha,hawa jamaa ndio walioweka rekodi ya binadamu wakwanza kwenda kwenye anga za juu (GAGARIN) na binadamu wa kwanza kufia katika anga za juu (KOMAROV) baada ya chombo chake SOYUZ 1kushidwa kufungua Parashuti.
w7f5kNQhte4UukibsyGe4zdq5-LcMw_RQypYvlawGsI.jpg
 
Yuri Gagarin pia alikuwa ni KGB wa ukweli hawa Wa-Soviet nao si mchezo kma si kusambaratika kwa USSSR sijui dunia ingekuwa na watu wenye uwezo mkubwa hawa USA vs USSSR
 
Yuri Gagarin alikufa katika ajali ya ndege ya kivita aina ya Mig 15 baada ya ajali mwili wake ulichomwa na majivu yake yalizikwa kwenye ukuta wa Kremlin.
Pichani ni kaburi la Gagarin
480px-Kremlin_Wall_Necropolis_08.JPG
 
Sayari hii ni yetu sote,lakini mikakati ya kinazi inayoendelea kuhakikisha kuwa mtu mweusi asifikishe miaka alfu moja hapa kwenye hii sayari mpango huu umesukwa kwa ustadi mkubwa.
 
Sayari hii ni yetu sote,lakini mikakati ya kinazi inayoendelea kuhakikisha kuwa mtu mweusi asifikishe miaka alfu moja hapa kwenye hii sayari mpango huu umesukwa kwa ustadi mkubwa.

Kwanini wanataka kutuangamiza kama walivyo angamizwa wa Hindi wekundu ?
 
Simply, ni ubaguzi wa rangi kumbuka haya mambo kwamba binadamu mweupe mwenye macho ya bluu na mwenye nywele za njano ndiye binadamu aliyekamilka, yalianzishwa na baadhi ya wamarekani wabaguzi, ndio manazi wa Ujerumani chini ya Hitler walikoyatoa.
 
Kwanini wanataka kutuangamiza kama walivyo angamizwa wa Hindi wekundu ?
Kumbuka hii Ideology ya superior human na sub human ilitumika pia katika vita ya pili ya dunia jeshi la Manazi lilikuwa linaamini waRussi walikuwa inferior wakawavamia na kuuwa mamilioni ya watu lakini mwisho waRussi walishinda na kuuthibitishia ulimwengu kuwa hii Ideology ya Manazi haikuwa ya kweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom