Kwa picha: Ufahamu kuhusu Ulimwengu

Kuna kile chombo maarufu kama Juno kilifika baada ya miaka kadhaa mwaka Jana jupiter.je kimeleta mrejesho gan mpaka sasa iv?
Na je kwenye gas plantes kama Uranus,Jupiter etc..tunaeza tukakanyaga ardh kama hapa.duniani?
JUNO SPACECRAFT (Time line)

Date (UTC).
Event August 2011
Launched.

August 2012-September 2012 Trajectory corrections.

October 2013 Earth flyby for speed boost (from 126,000 to 150,000 km/h (78,000 to 93,000 mph)
July 5, 2016, 02:50 Arrival at Jupiter and polar orbit insertion (1st orbit)

August 27, 2016, 13:44-Perijove 1.

October 19, 2016-Perijove 2. Planned Period Reduction Maneuver, but the main engine's fuel pressurisation system did not operate as expected.

December 11, 2016, 17:04-Perijove 3.

February 2, 2017, 12:57-Perijove 4.

March 27, 2017, 08:52-Perijove 5.

May 19, 2017, ≈06:00-Perijove 6.

July 11, 2017-Perijove 7: Fly-over of the Great Red Spot.

September 1, 2017-Perijove 8.

October 24, 2017-Perijove 9.

December 16, 2017-Perijove 10.

February 7, 2018-Perijove 11.

April 1, 2018-Perijove 12.

May 24, 2018 Perijove 13.

July 16, 2018-Perijove 14, end of primary mission. Future observations will depend on possible mission extension after review.

July 30, 2021 Spacecraft disposal in the form of a controlled deorbit into Jupiter.
 
Definition of perijove.plural -s.:the point in the orbit of a satellite of Jupiter nearest the planet's center — compare apojove.
 
Fungi na Bacteria wa huko Mars wameanza kukishambulia chombo cha utafiti (mars curiosity) magurudumu yameshambuliwa na kuliwa,matundu makubwa yanaonekana kwenye magurudumu ya chombo hicho.
Ndg kule mars kuna kutu kali sana kutokana aina ya hewa ya kule mars.

Mara nyingi vyombo vinavyoenda anga za mbali ikiwepo kutua ktk sayar huwa imeundwa kwa chuma imara sana. Ili la (mars curiosity) hata mie niliwahi kulisema mahal kuwa inatakiwa aina fulan ya chuma imara sana.

Matokeo yake ndo hayo,kuna siku chombo hicho kitavunjiki kwa kukatika vipande.
 
Kuna gari lile lilikuja kama mwezi hivi ,likivuka bahari tukaishia ee ona wazungu oooh gari.Lakini atakuja mwa frika hapa kashiba kande atakwambia haiwezekani kabisa.Oh ni assumptions tu.Basi na sisi tufanye assumptions tufike huko.
Elimu uliyo toa inavutia sana tena sana,unajua unasoma mpaka unasema huyu aliyeumba huu ulimwengu daah.
Haya mambo yapo,na watu kama NASA wana invest billions of dollars kwa ajiri ya projects kibao za anga.Sisi tuendelee na yetu yenye mgando finyu..Mkuu zidi kutoa elimu tamu kama hizo.
Sawa mkuu
 
elimu ya science ya ulimwengu ni elimu ya kusadikika haina ukweli wowote wala haiingii akilini kama tutakuwa na uwezo wa kufikiri,binadamu hatuwezi kuishi kwenye dunia yenye shepu ya chungwa,na kama ingekuwa kweli tungekuwa tunaweza kuishi kwenye milima mikubwa kwa kuganda pembezoni mwa milima bila ya kuanguka.

dunia haiwezi kuwa duara na maji kuganda nje ya dongo la dunia na kisha iwe inaruka angani kwa speed na masafa tunayoambiwa hii haiwezekani kabisa,katika uhalisi wa maji hayawezi kupinda kufata umbo la nje la kitu chochote,maji popote yalipo ni lazima yawe level hio ndio sifa kuu ya maji,na ndio mana tunatumia lever za maji kujengea majumba ili kupata usawa wa nyumba

jua na mwezi ni vitu vipo sawa sawa na umbali wake kutoka ardhini ni sawa sawa kama tunavyoviona,pia kama utaangalia jua na mwezi utakuta vipo ndani ya wingu la blue havipo umbali wanaosema,pia mwezi hauna ardhi ya watu kwenda kutua,tukiwa hapa tunauona kuwa mwezi ni kitu kinapitisha mwangaza(transparent),utazame mwezi mchana utaliona wingu la buluu kwenye mwezi na usiku utaona wingu jeusi kupitia kwenye mwezi.

tumefundishwa gravity ndio inayotuzuia tusipeperushwe na speed ya dunia hiki ni kichekesho kikubwa,kwanini gravity haiwezi kuzuia mabofu na mifuko ya plastic na ni vyepesi sana, kwa ufupi hakuna gravity ni vitu vizito vinabaki ardhini na vyepesi vinakwenda angani

hatuwezi kufahamu kila kitu lakini upo uwezekano kuwa ukubwa wa dunia ndio hauna mwisho(infinity) wala sio duara na haizunguki wala kuruka,uhalisi ni kama tunavyoona kila siku dunia ipo tuli imetulia.
Nimekuelwa so ya kisomi ni yakufikilika ila ina mashiko
 
Kuna aina mpya ya utalii unakuja Tanzania unaitwa Astrotourism yaani Utalii Anga. Kwa wale watu wa tours au wale wapenzi wa astronony karibuni siku ya siku tutajifunza zaidi ili kuujua anga zaidi.

Ndio maana kuna siku nilitoa ile sky map ili tupate kujifunza hata tukiwa mbalimbali,sijapata marejesho km ulipakua google sky map unaielewa hapo ulipo? Unapotaka kuifutilia nyota fulan angani?
 
elimu ya science ya ulimwengu ni elimu ya kusadikika haina ukweli wowote wala haiingii akilini kama tutakuwa na uwezo wa kufikiri,binadamu hatuwezi kuishi kwenye dunia yenye shepu ya chungwa,na kama ingekuwa kweli tungekuwa tunaweza kuishi kwenye milima mikubwa kwa kuganda pembezoni mwa milima bila ya kuanguka.

dunia haiwezi kuwa duara na maji kuganda nje ya dongo la dunia na kisha iwe inaruka angani kwa speed na masafa tunayoambiwa hii haiwezekani kabisa,katika uhalisi wa maji hayawezi kupinda kufata umbo la nje la kitu chochote,maji popote yalipo ni lazima yawe level hio ndio sifa kuu ya maji,na ndio mana tunatumia lever za maji kujengea majumba ili kupata usawa wa nyumba

jua na mwezi ni vitu vipo sawa sawa na umbali wake kutoka ardhini ni sawa sawa kama tunavyoviona,pia kama utaangalia jua na mwezi utakuta vipo ndani ya wingu la blue havipo umbali wanaosema,pia mwezi hauna ardhi ya watu kwenda kutua,tukiwa hapa tunauona kuwa mwezi ni kitu kinapitisha mwangaza(transparent),utazame mwezi mchana utaliona wingu la buluu kwenye mwezi na usiku utaona wingu jeusi kupitia kwenye mwezi.

tumefundishwa gravity ndio inayotuzuia tusipeperushwe na speed ya dunia hiki ni kichekesho kikubwa,kwanini gravity haiwezi kuzuia mabofu na mifuko ya plastic na ni vyepesi sana, kwa ufupi hakuna gravity ni vitu vizito vinabaki ardhini na vyepesi vinakwenda angani

hatuwezi kufahamu kila kitu lakini upo uwezekano kuwa ukubwa wa dunia ndio hauna mwisho(infinity) wala sio duara na haizunguki wala kuruka,uhalisi ni kama tunavyoona kila siku dunia ipo tuli imetulia.
Zama hizi unaishi kwa bahati mbaya, zama zako ziliishapita kitambo
 
Ndani ya milky way peke yake kuna uwezekano wa kuwepo mamilioni ya viumbe,lakini swali linabaki je ni viumbe wenye akili kutuzidi sisi au ni viluilui tu.na kama ni viumbe wenye akili kutuzidi sisi ni kwanini wasiwe wadadisi wa kututafuta?au na wao kinachowasumbua ni umbali?au wako njiani.na ikitokea je watakuwa viumbe rafiki au wanaweza kutufanya watumwa wao.
Hapo ni ngum kujua nini kitatokea na naamini wapo viumbe wenye akili kutuzidi tatizo ni umbali
 
Hapo ni ngum kujua nini kitatokea na naamini wapo viumbe wenye akili kutuzidi tatizo ni umbali
Kama ni viumbe wenye akili kutuzidi, huenda walituwahi kiteknolojia na labda wa wamekuwepo kabla yetu na huenda wako jirani na sisi,au inawezekana wanaijua ramani ya Milky way galaxy vizuri kuliko mwanadamu, na huenda wakawa na maisha marefu sana kutuliko sisi kwa sababu ya madawa na teknologia yao,kikubwa tunachoamini ni kwamba life katika sayari yetu haikutokea kwa bahati.sisi ni mlolongo wa viumbe matrilioni ya viumbe au zaidi ya hapo kwa hiyo iko siku tutagongana.
 
Inawezekana viumbe hao wakawa wamefikia utaalamu wa hali ya juu wa kujiotesha viungo kama salamanda huyu.
 
Kama ni viumbe wenye akili kutuzidi, huenda walituwahi kiteknolojia na labda wa wamekuwepo kabla yetu na huenda wako jirani na sisi,au inawezekana wanaijua ramani ya Milky way galaxy vizuri kuliko mwanadamu, na huenda wakawa na maisha marefu sana kutuliko sisi kwa sababu ya madawa na teknologia yao,kikubwa tunachoamini ni kwamba life katika sayari yetu haikutokea kwa bahati.sisi ni mlolongo wa viumbe matrilioni ya viumbe au zaidi ya hapo kwa hiyo iko siku tutagongana.
Anunaki eeh
 
Halafu sijui kwa nini.!
Ukichunguza nyota Sana marejeo yake ni
Mambo ya Kiimani, haviepukiki!?
 
Mimi mchangiaji Tu,Sina
Uwezo wa kuwasilisha
Jambo.Watakuja wajuzi Mkuu
Kwanini bro?Anunaki si ndio walikuwa wakiabudiwa na Sumerians na Akkadians inasemekana ndio walioanzisha ustaarabu wa babilonians.sijui waalizaana na binaadamu au la.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom