Illakwahhi
JF-Expert Member
- Oct 13, 2017
- 465
- 742
- Thread starter
- #201
SawaTuongezee ujuzi
SawaTuongezee ujuzi
Asante luciferCjaona jipya hapo
Eeee aiseeKama unalo hebu tupia tufaidike ila usituletee mambo ya pentagram
Mi cio luciferAsante lucifer
Mi cio lucifer
Anza na gravity waves...hebu tufafanulie katika lugha ambayo wasomaji watakuelewa.Ok, ukitaka elimu ya mambo ya anga. Nitafute maana nashindwa niongelee kip niache kip vitu ni ving xn
Hii nyota yetu nayo itatuachaje itakapo maliza hydrogen.Black holes za kawaida hizi zina mass ndoto na ni matokeo ya nyota kucolapse,pia sio kila ny
Ameandika kama vile ametoka usingizini..Mambo kama hayo ndio yanatufanya tushindwe hata kutengeneza njiti za kiberiti.Hata karatasi za kuchambia..huko watu wameumiza vichwa kujua nje ya dunia yet kuna nini.Watu wangekuwa na mawazo ya jamaa kusema ni kufikirika basi hata haya magari,simu,whatsapp na JF isingekuwepo.Ndio Utajua kwanini waafrika tupo hivi mpaka leo.Ametoa mawazo ya 84% kwa 16% then 50 ..50 mgao faida.Watu weupu watazidi kutupita tukizidi kuwa hivi.umewa
Umewai kupanda ndege mkuu haya majibu yote utayapata ukipanda ndege plane
Gravity waves zimegundulika hv karibuni, zaman ilikua ni mjadala usio na ushahid wa kutosha, 1916 Einstein alitabiri kuhusu kuwepo kwa gravity waves transmission of gravity force is by waves, but recently mwaka huu i think ushahid kutoka kwa gravity wave detectors zaid ya mbili zimeweza kugundua waves existAnza na gravity waves...hebu tufafanulie katika lugha ambayo wasomaji watakuelewa.
Na ukiongelea waves ina maana zinasafiri kwa mwendo gani kama mwanga au sauti?Gravity waves zimegundulika hv karibuni, zaman ilikua ni mjadala usio na ushahid wa kutosha, 1916 Einstein alitabiri kuhusu kuwepo kwa gravity waves transmission of gravity force is by waves, but recently mwaka huu i think ushahid kutoka kwa gravity wave detectors zaid ya mbili zimeweza kugundua waves exist
Speed of lightNa ukiongelea waves ina maana zinasafiri kwa mwendo gani kama mwanga au sauti?
Mbona haya mambo hayahusiani na mjadala wetu. Binaadamu wameanza kumiminiana tokea enzi za Adamu kummiminia Evabinadamu anammiminia mwenzie
Inamaana kama kuna mawimbi ya gravity kwenye space ina maana ulimwemgu unaelea?Speed of light
Haya ni mambo yakufikirika tu chombo kwenda km 400 b na hakuna hewa mafuta kinatunza wapihiyo picha ya milky way galaxy imepigwaje wkt hakuna kifaa kilichotoka nje ya galaxy yetu..?
Consumption ya mafuta ukiwa nje na ndan ya Dunia ni tofauti, kutokana na kupungua nguvu za ukinzani km upepo na gravity. Mafuta kidogo yanafanya kaz ndogo na pia mwendo kasi wa chombo unaongezekaHaya ni mambo yakufikirika tu chombo kwenda km 400 b na hakuna hewa mafuta kinatunza wapi
Nje ya dunia hakuna oxygen hayo mafuta yanawaka vipi au na oxygen unabebaConsumption ya mafuta ukiwa nje na ndan ya Dunia ni tofauti, kutokana na kupungua nguvu za ukinzani km upepo na gravity. Mafuta kidogo yanafanya kaz ndogo na pia mwendo kasi wa chombo unaongezeka
Ulimwengu ukimaanisha universe au Dunia? OK galaxy ina float with it's contents, balance ya gravity force na dark energy ni muhimu kwa survival ya planets na galaxy kwa ujumlaInamaana kama kuna mawimbi ya gravity kwenye space ina maana ulimwemgu unaelea?
Hebu fafanua hii dark energydark energy ni muhimu