Bizz_sam
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 291
- 131
Oxygen ndio inabebwa lkn kwa mfumo wa kimiminika, vyombo ivyo ving utumia liquid oxygen kama mafuta rocket engines. Lkn vipo vya Aina nying sasa ni propulsion techniques tofauti kutokana na Aina ya mafuta unayotumiaNje ya dunia hakuna oxygen hayo mafuta yanawaka vipi au na oxygen unabeba