Yaah ni kweli wakati mwingine ntakuja na Uzi kuhusu time and big bang theoryAsante kwa mada nzuri,kuna mengi ya kufahamu kuhusu time and big bang theory
According to Stephen Hawkings universe is expanding into itself!complex answer which need clarification but simply nafkr nmekujibuMtoa mada nina swali nasikia universe is expanding at the speed of light my question is where is it expanding into?
The question does not make sense itself since time does not exist before God!Hence there is no time for God to create universeSwali lingine does God create universe ?
1. ki uhalisia sayari nyengine sio kama tufe wala hazina udongo wa kwenda kutua kama ilivyo hapa duniani,wengi wetu hatujapata kuziona sayari kwa macho yetu,mara zote tunaziona kwenye computer tv na kwenye vitabu,hizi picha zote huo sio picha halisi ni michoro tu, lakini kama utaviona kwa telescope yako mwenyewe havipo kama tufe ni maduara tu.
2. kupatwa kwa jua na mwezi, kwa kweli mimi sijui jua linapatwa na nini lakini haioneshi hata kidogo kuwa ni mwezi ndio unakwenda kati baina ya jua na dunia, mara nyingi tukitazama kupatwa kwa jua tunatazama kwa mitazamo ya mafundisho tulopewa ndio mana tunahisi ni mwezi ndio unaingia kati kulipata jua.
lakini kama utaangalia kwa jicho lisilo na mafundisho utakuta mwezi haupo kabisa katika eneo la kupatwa kwa jua,mwezi hauonekani ukiingia au kutoka kwenye usawa wa jua,kinaonekana kivuli tu kinaliziba jua,kama mwezi ndio unalipata jua na mwezi ni tufe kubwa kama dunia ilivyo basi tufe lingeonekana linaingia kwenye usawa wa jua na kutoka lakini hivyo sivyo inavyo onekana,panakuwa na kivuli ambacho kimo ndani ya jua lenyewe kinaliziba jua na kivuli kinaondoka mwezi hauonekani kabisa kuingia kwenye anga za jua na kutoka
Duh huwa nakubali dunia ni duara pale tu nikikumbuka zanzibar ni karibu sana ila siwezi kupaona kwa macho nikiwa Dar
Maana naamini dunia ingekuwa flat Lazima zanzibar pangeonekana
Kabla ya kwenda huko hebu tuhadithie kuhusu "super massive black holes" halafu njoo kwenye neutron stars ikiwezekana gusia na super novae zinazoform blackholes.Yaah ni kweli wakati mwingine ntakuja na Uzi kuhusu time and big bang theory
yani we jamaa ni kilaza kweli , alafu kibaya zaidi hujijui kama wewe ni kilaza.swala hili limejitokeza kwa wachangiaji wengi natarajia wanaweza kulisoma hapa
jua halizami wala haliendi chini ya dunia,linazunguka juu ya uso wa dunia, mzunguko mmoja unachukua masaa 24,ki ilivyo hasa kila kitu kipo kama tunavyokiona na tunavyokihisi, hatuhisi dunia kuzunguka hivyo ndio ilivyo haizunguki,jua lipo juu ya utosi hivyo ndio ilivyo jua haliko 93 mil miles,lipo juu ya utosi.
ngoja nitoe mfano mmoja hapa wa kuchemsha bongo,wengi wetu tunaweza tusifahamu lakini tujaribu
umbali wa jua kutoka duniani ni 93mil miles
mwangaza wa jua kufika duniani unachukua 8 mitutes, kwa hio umbali wa jua ni 8 light minute
tuchukulie kama jua lina umbali wa mara mbili zaidi 93x2=186mil mile, hapa tutaliona jua nusu ya lilivyokuwa kabla,ambapo umbali wake utakuwa 8x2=16 light minutes away
tukifanya umbali wa mara tano ya hio hesabu jua hatutaliona kabisa 93x5=465 mil miles away, sawa sawa na 8x5=40 light minutes away
swali linakuja hapa
katika nyota zote zilizo angani ambazo tunaziona,iliyo karibu sana ni 4.2 light years away
ikiwa tungeshindwa kuliona jua kwa umbali wa 40 lights minutes away, tunaziona vipi vyota zilizo na umbali wa 4.2 light years away
Tuongezee ujuziWanasayansi wengi wamekuwa wakielezea ulimwengu wetu kuwa ni dude kubwa mno lisilo kuwa na mwisho(means the universe size is almost infinity)
Leo hebu tuchambue na kuangalia ukubwa wa dunia yetu
Kabla ya kuendelea naomba kuelezea kidogo kuhusu Galaxy, huu ni mkusanyiko wa nyota,sayari na vyote vilivyoko katika ukanda husika,Galaxy hutofautiana sana kwa ukubwa ila ya kati inakadiriwa kuwa na nyota bilioni 400 na mabilioni ya sayari,Galaxy yetu inaitwa milky way ambayo ina mabilioni ya sayari na na nyota,hebu sasa twende kwa picha
1.Hii ni dunia yetu,sehemu tunamoishi
2:Huu ni mfumo wetu wa jua,solar system
3.Huu ni umbali kutoka duniani mpaka mwezini
katika umbali Huu wa mwezini mpaka duniani waweza Panga sayari Tisa na zikaenea!
4.Hii ni sayari ya Jupiter ni kubwa sana
Hicho kidoti kidogo amerika kaskazini
5.Huu ni mwonekano wa Saturn ukiweka dunia katika ringi zake,mwonekano wa dunia sita katika ringi zake
6.Hebu tulinganishe Jua na dunia,
Jua 1=dunia milioni 1!!!,yaani dunia kwenye jua inaingia mara milioni 1
7.Hii ni picha maarufu ya dunia iliyochukuliwa kutoka maili bilioni 4 ,hicho kidoti kidogo ni dunia
8.Tuliangalia kuwa katika jua dunia huingia Mara milioni moja
Hebu tulinganishe jua na nyota zingine
9.Kuna nyota inaitwa Articus ni Mara 16,000 ya jua,hicho kidoti kidogo ni jua
10:Kuna nyota inaitwa Alpha scropti ni kubwa Mara 690 milioni kuliko jua,hicho kidoti kidogo ni jua
11.Kuna nyota inaitwa VY Canis major ni kubwa Mara bilioni 2.9
Kuliko jua,hapo usisahau kulinganisha jua na dunia!
Hicho kidoti kidogo cha mwisho ni jua
12.Hebu tuangalia galaxy yetu,ni ukanda wenye nyota zaidi ya bilioni 400 pamoja na sayari zake
Ndani ya sekunde moja mwanga huzunguka dunia Mara saba na nusu,ukienda kwa speed hiyo ulitakuchukua miaka 100,000 kutoka katika ukanda wetu(milky way Galaxy)
13:milky way Galaxy ni kubwa sana,na hyo doti ya njano ni nyota tyu ambazo unauwezo wa kuziona kati ya mabilioni ya nyota
Najua umeshawishika kuona milky way Galaxy(ukanda wetu wa nyota ni mkubwa sana lakini nikuambia kuwa ni kidude kidogo sana ukilinganishwa na dubwasha kubwa la Galaxy liitwalo 1C1011,galaxy Hii ukienda na speed ya mwanga ambayo nilikueleza kuwa itakuchukua miaka 6,000,000
Milky way ni hicho kidoti kidogo kulinganisha na 1C1011 Galaxy
14.Hebu tuchukue Hubble telescope, picha Hii ina mabilioni ya Galaxy na kila Galaxy ina mabilioni ya nyota na sayari mabilioni pia na kila doti unayoona hapo ni galaxy nzima
Oooh umechoka ,subiri
Hii ni dunia
Tukizoom zaidi Hii ni solar system
Tukizoom tena tunaona majirani katika solar system katika picha nzima ya galaxy
Tukizoom tunaona milky way galaxy ni hicho kidoti!
Itaendelea...
Super massive black holes ni matokeo ya nyota kucolapse inatengeneza kani kubwa ya uvutano ambayo inauwezo wa kumeza hadi mwanga,Kabla ya kwenda huko hebu tuhadithie kuhusu "super massive black holes" halafu njoo kwenye neutron stars ikiwezekana gusia na super novae zinazoform blackholes.
SawaTuongezee ujuzi
Hebu tofautisha kati ya supermassive na blackholes za kawaida.Super massive black holes ni matokeo ya nyota kucolapse inatengeneza kani kubwa ya uvutano ambayo inauwezo wa kumeza hadi mwanga,
Kama unalo hebu tupia tufaidike ila usituletee mambo ya pentagramCjaona jipya hapo
Ok, ukitaka elimu ya mambo ya anga. Nitafute maana nashindwa niongelee kip niache kip vitu ni ving xnKama unalo hebu tupia tufaidike ila usituletee mambo ya pentagram
Kaka pole sana..bado uko mbali.elimu ya science ya ulimwengu ni elimu ya kusadikika haina ukweli wowote wala haiingii akilini kama tutakuwa na uwezo wa kufikiri,binadamu hatuwezi kuishi kwenye dunia yenye shepu ya chungwa,na kama ingekuwa kweli tungekuwa tunaweza kuishi kwenye milima mikubwa kwa kuganda pembezoni mwa milima bila ya kuanguka.
dunia haiwezi kuwa duara na maji kuganda nje ya dongo la dunia na kisha iwe inaruka angani kwa speed na masafa tunayoambiwa hii haiwezekani kabisa,katika uhalisi wa maji hayawezi kupinda kufata umbo la nje la kitu chochote,maji popote yalipo ni lazima yawe level hio ndio sifa kuu ya maji,na ndio mana tunatumia lever za maji kujengea majumba ili kupata usawa wa nyumba
jua na mwezi ni vitu vipo sawa sawa na umbali wake kutoka ardhini ni sawa sawa kama tunavyoviona,pia kama utaangalia jua na mwezi utakuta vipo ndani ya wingu la blue havipo umbali wanaosema,pia mwezi hauna ardhi ya watu kwenda kutua,tukiwa hapa tunauona kuwa mwezi ni kitu kinapitisha mwangaza(transparent),utazame mwezi mchana utaliona wingu la buluu kwenye mwezi na usiku utaona wingu jeusi kupitia kwenye mwezi.
tumefundishwa gravity ndio inayotuzuia tusipeperushwe na speed ya dunia hiki ni kichekesho kikubwa,kwanini gravity haiwezi kuzuia mabofu na mifuko ya plastic na ni vyepesi sana, kwa ufupi hakuna gravity ni vitu vizito vinabaki ardhini na vyepesi vinakwenda angani
hatuwezi kufahamu kila kitu lakini upo uwezekano kuwa ukubwa wa dunia ndio hauna mwisho(infinity) wala sio duara na haizunguki wala kuruka,uhalisi ni kama tunavyoona kila siku dunia ipo tuli imetulia.
Super massive black holes hizi inasemekana zilikwepo kwa miaka mingi tangu ugunduzi mkubwa kuhusu masuala ya anga na wanasema ina mass kubwa sana na hutokea Mara nyingi katikati ya galaxy,katika galaxy yetu ya milky way tuna massive black hole pale kati kabixa,na uwepo wa kani kubwa ya uvutano wa black holes ndo unafanya sayari zote na nyota zilipo,black holes ndo zinatufanya tuwe hapa tulipoHebu tofautisha kati ya supermassive na blackholes za kawaida.