Kwa picha: Ufahamu kuhusu Ulimwengu

Kwa picha: Ufahamu kuhusu Ulimwengu

Dunia yetu ni infinity kwa mujibu wako that's way hakuna picha halisi ya dunia,swali vipi hizo galaxy ambazo kubwa zaidi ya galaxy yetu hii ya milk way tunawezaje kupata picha zake
 
Wakuu, ebu nielimisheni.

JUA limeundwa na nini (components) na kwanini la-moto.

Halafu tunaambiaa GIZA ni absence of light. Sawa. Je ni presence of nini, kwa maana kwamba GIZA limenundwa na nini?. Je naweza kutengeneza giza langu maabara? Nitahitaji nn na nini (msinimbia HAUTAHITAJI mwanga)
Jua limeundwa na gases mainly hydrogen,jua halina solid surface,hydrogen huchakatwa kwa mfumo unaitwa nuclear fusion kwenda helium ndipo nishati kubwa huzalishwa kuja hapa duniani,kwa maaana nyingine jua hutumia mfumo wa mlipuko wa kinyuklia kutoa nishati yake,gases hufanya reaction kutoa nishati take ambayo ndio supporter mkuu wa maisha yetu hapa duniani,no life without sun
 
Galaxy yetu inaitwa Milki way ambapo ndipo inapatikana solar system yetu yenye sayari tisa huku dunia tuishiyo ni ya tatu kutoka kwenye jua. Hivyo basi mbali na kuwepo solar system kwenye Galaxy yetu pia kuna mipangilio mingine mingi ifananayo na solar system yetu ili kukamilisha Galaxy.
Jibu murua
 
Watakua waligugo mkuu😀😀😱
Picha hii ni muunganiko wa picha kadhaa kwan tuko ndan ya galaxy yetu ya milky way,kwa mfano kwa sec 1 mwanga huzunguka dunia Mara 7,ukienda na hyo speed itakuchukua miaka 100,000 kutoka ndan ya galaxy yetu tyu hii ya milky way na kumbuka galaxy ziko mabilioni,kwahy unaona jinsi time na distance ilivo shida
 
Dunia yetu ni infinity kwa mujibu wako that's way hakuna picha halisi ya dunia,swali vipi hizo galaxy ambazo kubwa zaidi ya galaxy yetu hii ya milk way tunawezaje kupata picha zake
Tunatumia Hubble space telescope
 
1. ki uhalisia sayari nyengine sio kama tufe wala hazina udongo wa kwenda kutua kama ilivyo hapa duniani,wengi wetu hatujapata kuziona sayari kwa macho yetu,mara zote tunaziona kwenye computer tv na kwenye vitabu,hizi picha zote huo sio picha halisi ni michoro tu, lakini kama utaviona kwa telescope yako mwenyewe havipo kama tufe ni maduara tu.

2. kupatwa kwa jua na mwezi, kwa kweli mimi sijui jua linapatwa na nini lakini haioneshi hata kidogo kuwa ni mwezi ndio unakwenda kati baina ya jua na dunia, mara nyingi tukitazama kupatwa kwa jua tunatazama kwa mitazamo ya mafundisho tulopewa ndio mana tunahisi ni mwezi ndio unaingia kati kulipata jua.
lakini kama utaangalia kwa jicho lisilo na mafundisho utakuta mwezi haupo kabisa katika eneo la kupatwa kwa jua,mwezi hauonekani ukiingia au kutoka kwenye usawa wa jua,kinaonekana kivuli tu kinaliziba jua,kama mwezi ndio unalipata jua na mwezi ni tufe kubwa kama dunia ilivyo basi tufe lingeonekana linaingia kwenye usawa wa jua na kutoka lakini hivyo sivyo inavyo onekana,panakuwa na kivuli ambacho kimo ndani ya jua lenyewe kinaliziba jua na kivuli kinaondoka mwezi hauonekani kabisa kuingia kwenye anga za jua na kutoka
mkuu huo mduara wa sayari una maanisha upo kama disc na kwanini wanasayansi dunia nzima wanakubalina na nadharia ya dunia duara kama tufe wnapata faida gani kutudanganya.
 
mkuu huo mduara wa sayari una maanisha upo kama disc na kwanini wanasayansi dunia nzima wanakubalina na nadharia ya dunia duara kama tufe wnapata faida gani kutudanganya.
ZENJIBARIA vs NASA
823fc266d77523092a7a1849ca968d0b--globe-earth-flat-earth.jpg
 
Wanasayansi wengi wamekuwa wakielezea ulimwengu wetu kuwa ni dude kubwa mno lisilo kuwa na mwisho(means the universe size is almost infinity)
Leo hebu tuchambue na kuangalia ukubwa wa dunia yetu
Kabla ya kuendelea naomba kuelezea kidogo kuhusu Galaxy, huu ni mkusanyiko wa nyota,sayari na vyote vilivyoko katika ukanda husika,Galaxy hutofautiana sana kwa ukubwa ila ya kati inakadiriwa kuwa na nyota bilioni 400 na mabilioni ya sayari,Galaxy yetu inaitwa milky way ambayo ina mabilioni ya sayari na na nyota,hebu sasa twende kwa picha
1.Hii ni dunia yetu,sehemu tunamoishi
e7986b4df1a6dcfd7bd4dbac927c3958.jpg

2:Huu ni mfumo wetu wa jua,solar system
http://www.jamiiforums.com/mobile-
gallery/c9cc15d9ceacb485408d64d38227c771.jpg
3.Huu ni umbali kutoka duniani mpaka mwezini
6648e54ecb397ba1b7796197f9719faf.jpg

katika umbali Huu wa mwezini mpaka duniani waweza Panga sayari Tisa na zikaenea!
b9d1c30e8299e0fe4170436c29090c2e.jpg

4.Hii ni sayari ya Jupiter ni kubwa sana
0b66cffcacac5cd083e22849f048212a.jpg

Hicho kidoti kidogo amerika kaskazini
a4af9f3b32530281e4184ea8d20c8193.jpg

5.Huu ni mwonekano wa Saturn ukiweka dunia katika ringi zake,mwonekano wa dunia sita katika ringi zake
d363ce0def4d123c246389f455408808.jpg

6.Hebu tulinganishe Jua na dunia,
Jua 1=dunia milioni 1!!!,yaani dunia kwenye jua inaingia mara milioni 1
b18457c5d884695615d8095dcc497ccb.jpg

7.Hii ni picha maarufu ya dunia iliyochukuliwa kutoka maili bilioni 4 ,hicho kidoti kidogo ni dunia
5d5ee427832ee423816e3dbd1bc9772d.jpg

8.Tuliangalia kuwa katika jua dunia huingia Mara milioni moja
fcb3df21189b9d9ea6926a457d1042a6.jpg


Hebu tulinganishe jua na nyota zingine
9.Kuna nyota inaitwa Articus ni Mara 16,000 ya jua,hicho kidoti kidogo ni jua
64b433d6d1d3b05c1731f809a5063a62.jpg

10:Kuna nyota inaitwa Alpha scropti ni kubwa Mara 690 milioni kuliko jua,hicho kidoti kidogo ni jua
a2b368b17cdfd5177a52ac4d12436df6.jpg

11.Kuna nyota inaitwa VY Canis major ni kubwa Mara bilioni 2.9
Kuliko jua,hapo usisahau kulinganisha jua na dunia!
fef7532d17719d0420b80a1a605613da.jpg

Hicho kidoti kidogo cha mwisho ni jua
12.Hebu tuangalia galaxy yetu,ni ukanda wenye nyota zaidi ya bilioni 400 pamoja na sayari zake
Ndani ya sekunde moja mwanga huzunguka dunia Mara saba na nusu,ukienda kwa speed hiyo ulitakuchukua miaka 100,000 kutoka katika ukanda wetu(milky way Galaxy)
13:milky way Galaxy ni kubwa sana,na hyo doti ya njano ni nyota tyu ambazo unauwezo wa kuziona kati ya mabilioni ya nyota
cb99f170004423544bae1d96e9f873eb.jpg


Najua umeshawishika kuona milky way Galaxy(ukanda wetu wa nyota ni mkubwa sana lakini nikuambia kuwa ni kidude kidogo sana ukilinganishwa na dubwasha kubwa la Galaxy liitwalo 1C1011,galaxy Hii ukienda na speed ya mwanga ambayo nilikueleza kuwa itakuchukua miaka 6,000,000
2e1681e59adcd87b3035e72beebb87d0.jpg

Milky way ni hicho kidoti kidogo kulinganisha na 1C1011 Galaxy

14.Hebu tuchukue Hubble telescope, picha Hii ina mabilioni ya Galaxy na kila Galaxy ina mabilioni ya nyota na sayari mabilioni pia na kila doti unayoona hapo ni galaxy nzima
270ca90c1ef5a2a0ab539407f434105a.jpg



Oooh umechoka ,subiri
Hii ni dunia
06314a6385d6488cc978c347e1c4ca27.jpg

Tukizoom zaidi Hii ni solar system
07554949025788fdc0f74b2d2fe6e3a9.jpg

Tukizoom tena tunaona majirani katika solar system katika picha nzima ya galaxy
f6bb8c4146cf6f0f0ef7117edcc249d1.jpg

Tukizoom tunaona milky way galaxy ni hicho kidoti!
d1d08b6ad4f60041a5ab3166a3e29af2.jpg

Itaendelea...
ahsante nimejifunza kitu
 
Upepo unatokana na mgandamizo wa pressure kwenye hewa ya nitrogen na oksijeni hewa hii ikipata mgandamizo ,there is movement from high low low pressure area thus wind is generated from concept for more:

Two concepts are central to understanding what causes wind: air and air pressure. Air comprises molecules of nitrogen (about 78 percent by volume), oxygen (about 21 percent by volume), water vapor (between 1 and 4 percent by volume near the surface of the earth) and other trace elements. Every time we breathe, the air we inhale is composed of about the same relative ratios of these molecules, and a cubic inch of air at ground level contains about 10 20 molecules.
All of these air molecules are moving about very quickly, colliding readily with each other and any objects at ground level. Air pressure is defined as the amount of force that these molecules impart on a given area. In general, the more air molecules present, the greater the air pressure. Wind, in turn, is driven by what is called the pressure gradient force. Changes in air pressure over a specified horizontal distance cause air molecules from the region of relatively high air pressure to rush toward the area of low pressure. Such horizontal pressure differences of all scales generate the wind we experience.
Sijakuelewa kabisa hasa hapo ulipoanzia kuandika lugha ya kimakinikia
 
Kweli Mungu yupo, ndiye aliyefanya yote haya yawepo, maana hapa Wanasayansi hawawezi kitu chochiote.
 
Back
Top Bottom