Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,674
Hivi kutokuwa na lafudhi kama ya watu wa pwani ndo kutokujua kuongea?? Duh.......
jamani mimi nafanya shunghuli mbalimbali kwa kushiriana na ndugu zetu wachaga
nimegundua wachaga wengi hasa wanaume hawajui kuongea,
maana yangu ni kwamba hawana uwezo wa kuongea kama watu wa pwani,
kwa wachache waliogundua hilo huwa wanakaa kimya mbele za watu,
lakini cha kushangaza hao hao wachaga wanatumia akili nyingi sana kuliko wale wanaojua kuongea,
kama mnajua hilo naombeni mnijuze zaidi
Asante mkuu sichangii tena, umeniwakilisha!Me narudia kusema: ikipita siku mchaga hajatajwa hapa JF server itazimika? Tuacheni bwana, wajanja sisi, wasomi, washamba, matajiri na kila kadhia ni sisi wachaga tu? Ila ths means without wachaga JF na Tanzania kwa ujumla it means nothing eeh? Proudly chagga!