Wachaga ndio watu wanaogoza kwa kuzaa watoto wachache nchini Tanzania

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,992
17,892
Hivi mnajua kuwa Wachaga ndo watu wanaogoza kwa kuzaa watoto wachache nchini Tanzania hawazaliani sana?

Wapo bize kutafuta pesa, halafu uzungu mwingi sana kwa wachaga, ni nadra sana kumkuta mwanamke wa kichaga karne hii ana mpango wa kuzaa watoto watano

Kiukweli wengi wao wakizaa sana ni watoto watatu
 
Huo ndiyo UPUMBAVU mkubwa Africa ambao watu hudhani ni sifa, China imesaidiwa na Population ya watu kuvuka umasikini maana hakuna kazi nchini mwao inayokosa watendaji, China Ina watu wengi kuliko watu wa Africa yote... Uzungu kwenye hamna ni UPUMBAVU
 
Wachaga pia huchelewa kuoa ama kuolewa sana tofauti na makabila mengine.

Average age ya mwanaume wa kichaga kuoa ni miaka 35+ na kuolewa ni miaka 30+wakati wasukuma average age ya kuoa ni miaka 22+ na kuolewa ni miaka 18-.

Miaka ijayo wasukuma ama wazaramo watahamia kuwatawala wachaga kwa sababu wachaga mortality rate yao ni kubwa against natality rates, hawazai kabisa na wakizaa ni watoto 2 ama 3.
 
...Mbona walizuia kwa muda mrefu watu kuzaa zaidi ya mtoto mmoja ?.....
 
Hivi mnajua kuwa Wachaga ndo watu wanaogoza kwa kuzaa watoto wachache nchini Tanzania hawazaliani sana?

Wapo bize kutafuta pesa, halafu uzungu mwingi sana kwa wachaga, ni nadra sana kumkuta mwanamke wa kichaga karne hii ana mpango wa kuzaa watoto watano

Kiukweli wengi wao wakizaa sana ni watoto watatu
Inasikitisha sana. Watu wenye akili watapungua nchini🤣🤣🤣
johnthebaptist
 
Watoto kibao kuwalea unashindwa.
Siyo kweli... Mnaamini elimu iliyojaa misingi ya kigeni inayokujengea mazingira magumu ya kumudu ghalama zake, mnaacha ardhi kubwa ipo tu haifanyi kazi na hamvuni maji Kwa ajili ya kilimo ambacho mtauza mazao duniani kote, kila mtu duniani angejua Africa ndipo panapotoka chakula kingi, na wasingefanya chochote kwao wakijua chakula kipo Africa na tungefanikiwa Kwa ajili hiyo, nenda kijijini kwenu muangalie mzee mwenye watoto wengi utaona ndiyo familia yenye nguvu kijijini Kwa chakula, mifugo na makazi hata kama wanaishi kwenye nyumba za tembe lakini utazikuta zipo nyingi.
 
Huo ndiyo UPUMBAVU mkubwa Africa ambao watu hudhani ni sifa, China imesaidiwa na Population ya watu kuvuka umasikini maana hakuna kazi nchini mwao inayokosa watendaji, China Ina watu wengi kuliko watu wa Africa yote... Uzungu kwenye hamna ni UPUMBAVU
Population yetu tu kidogo hivi watu ni ma jobless hivi,tunalia ajira ajira,mpk tunaanza kuilaumu serikali hali ni ngumu

Unataka watu wazaliane km kuku ili iweje?ww zaa tu bila mipango utafika umechoka sana na utaacha watoto wanachoshwa sana na kutumikishwa duniani na waliojipanga.
Watoto waje kukulaumu baba alikua fala 🤣

yaani kwa ufupi kizazi chako chote kitalimia meno 🤣😆😆🙏
 
Hivi mnajua kuwa Wachaga ndo watu wanaogoza kwa kuzaa watoto wachache nchini Tanzania hawazaliani sana?

Wapo bize kutafuta pesa, halafu uzungu mwingi sana kwa wachaga, ni nadra sana kumkuta mwanamke wa kichaga karne hii ana mpango wa kuzaa watoto watano

Kiukweli wengi wao wakizaa sana ni watoto watatu
Labda wamekuja kuacha. Hivi imagine hawa Wachaga wote wametokea katika wilaya 3 za mkoa wa Kilimanjaro. Wanakaribia idadi sawa na Wasukuma wanaotokea mikoa 4 au zaidi. Wachagga wanazaliana sana.
 
Hivi mnajua kuwa Wachaga ndo watu wanaogoza kwa kuzaa watoto wachache nchini Tanzania hawazaliani sana?

Wapo bize kutafuta pesa, halafu uzungu mwingi sana kwa wachaga, ni nadra sana kumkuta mwanamke wa kichaga karne hii ana mpango wa kuzaa watoto watano

Kiukweli wengi wao wakizaa sana ni watoto watatu
Kama mm I have two kids yaan nasina mpango wa kuzaa labda after 10years
 
Zalianeni tu kama nyumbu msio na akili ya kuchambua dunia ipo ktk hali gani sasa lakini msije anza kuilaumu serikali na kua na chuki kwa waliojipanga badae

Kua maisha magumu,eti Rais huyu hafai,anasafiri tu 🤣🤣🤣.eti ngoja ifike 2025 tutamuonesha 😝

Utaoneshwa wewe na mkeo na hakuna kitu utafanya 🤣🤣🤣
 
Huo ndiyo UPUMBAVU mkubwa Africa ambao watu hudhani ni sifa, China imesaidiwa na Population ya watu kuvuka umasikini maana hakuna kazi nchini mwao inayokosa watendaji, China Ina watu wengi kuliko watu wa Africa yote... Uzungu kwenye hamna ni UPUMBAVU
Unadhani China imesaidiwa na population na siyo juhudi zao? Kwani Tanzania kuna kazi iliyokosa watendaji? Mbona watendaji wapo wengi mpaka kwenye interview ya nafasi ya watu wawili wanajazana watu elfu kumi kufanya? Na nchi zenye watu wachache kama Israel, Norway na Finland lakini zina maendeleo utasemaje? Naona hujatambua mpumbavu ni nani kati ya anayesema kuzaa sana kunaleta maendeleo na anayesema kuzaa kwa kiasi na kufanya kazi kunaleta maendeleo. Ni ajabu kizazi cha sasa kina watu wenye mawazo ya wazee wa zamani waliokuwa wanadhani kuzaa sana ndiyo utajiri.
 
Siyo kweli... Mnaamini elimu iliyojaa misingi ya kigeni inayokujengea mazingira magumu ya kumudu ghalama zake, mnaacha ardhi kubwa ipo tu haifanyi kazi na hamvuni maji Kwa ajili ya kilimo ambacho mtauza mazao duniani kote, kila mtu duniani angejua Africa ndipo panapotoka chakula kingi, na wasingefanya chochote kwao wakijua chakula kipo Africa na tungefanikiwa Kwa ajili hiyo, nenda kijijini kwenu muangalie mzee mwenye watoto wengi utaona ndiyo familia yenye nguvu kijijini Kwa chakula, mifugo na makazi hata kama wanaishi kwenye nyumba za tembe lakini utazikuta zipo nyingi.
Kusema na kutenda ni vitu viwili tofauti. Kila siku maneno mengi eti tuna ardhi kubwa na nzuri kwa kilimo. Kinatukataza nini kuitumia?
 
Wachaga pia huchelewa kuoa ama kuolewa sana tofauti na makabila mengine.

Average age ya mwanaume wa kichaga kuoa ni miaka 35+ na kuolewa ni miaka 30+wakati wasukuma average age ya kuoa ni miaka 22+ na kuolewa ni miaka 18-.

Miaka ijayo wasukuma ama wazaramo watahamia kuwatawala wachaga kwa sababu wachaga mortality rate yao ni kubwa against natality rates, hawazai kabisa na wakizaa ni watoto 2 ama 3.
Du kwa hiyo kwa sababu wazungu hawazai sana na waafrika wanazaa sana ipo siku waafrika watakuja kuwatawala wazungu.
 
Back
Top Bottom