James_patrick_
Senior Member
- Mar 20, 2017
- 106
- 194
Habari! Jina langu naitwa James Patrick nina miaka 24. Naishi Kunduchi, Dar es salaam. Elimu yangu mimi ni kidato cha nne na tokea nikiwa mdogo nilikuwa napenda sana magari.
Kwa sasa fani yangu ni udereva ambao nimeanza tokea 2014, na nimefanya kazi kwenye kampuni nyingi tu, kitu ambacho najivunia na ninajiona nina utofauti na madereva wengine.
- Najua kuandika na kuongea Kiingereza vizuri kabisa.
- Nina uwezo wa kuelewa jambo kwa haraka sana na kulifanya kwa wepesi sana
- Napenda usafi kwa hiyo muda wote chombo changu lazima kiwe safi na chenye kunukia vizuri sana
- Najua maeneo mengi sana hapa jijini Dar es Salaam kwa sababu nimekuwa dereva Uber kwa miaka 3 huku nikifikisha trip zaidi ya 3000
- Ni kijana mwaminifu sana na mwenye hofu ya Mungu.
Kwa mwenye kuhitaji dereva mwenye sifa kama hizo na atapenda kushuhudia kwa macho basi anitafute kwa namba hizi:
0758659261
Sent using Jamii Forums mobile app