Kwa mwenye kuhitaji dereva mwenye sifa nzuri, napatikana

Umejisajili ajira portal? Kama bado jisajili ila akikisha uwe na cheti cha driving kutoka chuo cha veta, nit au chuo chochote kinachotambuliwa na serikali

Umekosea kumpa maelekezo mkuu... anatakiwa kua na cheti cha form 4, cheti cha basic driving toka veta au chuo chochote kilicho sajiliwa, cheti cha VIP toka NIT au veta kama unacho.. cheti cha kuzaliwa
 
Habari ndugu, naitwa James Patrick, nina miaka 27 naishi mbezi beach africana, elimu yangu ni form four.

Nipo hapa kuomba kazi ya udereva wa aina zote, nina uzoefu wa miaka 11 kwenye kazi hii, nina uzoefu mkubwa wa kuendesha ndani ya dar es salaam na nje ya mkoa pia.

Kwa yeyote mwenye uhitaji wa dereva kwa ajili ya Mtu binafsi, Kampuni, Gari kubwa Pamoja na usafirishaji wa gari pia nafanya huduma hiyo.

Kwa mawasiliano unaweza kunipata kwa namba 0769130951.

Shukrani.
 
Habari ndugu!!! Naitwa James patrick nina miaka 28 naishi mbezi beach africana..elimu yangu ni form four niliyomaliza 2019 mbagala sec school...baada ya kuhitimu masomo yangu sikufanikiwa kuendelea kwa sababu ya kifamilia,ilipofika 2014 nikajiunga na chuo cha udereva veta nikafanikiwa kupata cheti cha udereva pamoja na leseni halali..udereva ni fani niliyoipenda tokea nikiwa nikiwa mdogo sana na nimekuwa nikiona baba yangu akifanya hvyo ilinivutia sana...baada ya kuhitimu nikafanikiwa kufanya kazi kwenye makampuni mbali mbali pia na kuendesha watu binafsi,abiria pamoja na uber ambayo niliifanya kwa miaka mitatu na kunifanya nijue jiji lote la dar...

-nina uzoefu wa kuendesha gari ndani na nje ya mkoa wa dar kwa muda wa mwaka mmoja bila kusababisha ajali.

-kama nilivyogusia hapo juu nina uzoefu wa kuendesha wa uber kwa miaka mitatu hvyo naweza kusema nina uwezo wa kumuonyesha mtalii au mtu yeyote mwenye kuhitaji kufika sehem nzuri kwa ajili ya mapumziko jijini dar bila matatizo.

-nina uzoefu pia wa kuendesha abiria kwani nimefanya safari nyingi za nje ya dar kama dereva wa kukodiwa (special hire) na nimefika sehem mbalimbali na watu wamefurahia huduma yangu sana.

-NIPO TAYALI KUFANYA KAZI MKOA WOWOTE ULE BILA TATIZO NA NIPO TAYALI KWA KUTOA HUDUMA YA>
*KUENDESHA MTU BINAFSI.
*DEREVA WA KAMPUNI.
*DEREVA WA GARI KUBWA N.K.

KWA MAWASILIANO NAMBA YANGU NI 0622241450 AU EMAIL NI JPMKWABI08@GMAIL.COM SHUKRANI SANA.
 
Naitwa james patrick,naishu mbezi beach..nina uzoefu wa kuendesha abiria kwenda moshi na kuludi dar kwa muda mrefu sana..kwa mwenye coster nzuri tuongee..ukinipa gar yako nikienda moshi na kuludi nakuletea laki tatu.kwa mawasiliano ni 0622241450 asante
 
Habari ndugu!!! Naitwa James patrick nina miaka 28 naishi mbezi beach africana..elimu yangu ni form four niliyomaliza 2019 mbagala sec school...baada ya kuhitimu masomo yangu sikufanikiwa kuendelea kwa sababu ya kifamilia,ilipofika 2014 nikajiunga na chuo cha udereva veta nikafanikiwa kupata cheti cha udereva pamoja na leseni halali..udereva ni fani niliyoipenda tokea nikiwa nikiwa mdogo sana na nimekuwa nikiona baba yangu akifanya hvyo ilinivutia sana...baada ya kuhitimu nikafanikiwa kufanya kazi kwenye makampuni mbali mbali pia na kuendesha watu binafsi,abiria pamoja na uber ambayo niliifanya kwa miaka mitatu na kunifanya nijue jiji lote la dar...

-nina uzoefu wa kuendesha gari ndani na nje ya mkoa wa dar kwa muda wa mwaka mmoja bila kusababisha ajali.

-kama nilivyogusia hapo juu nina uzoefu wa kuendesha wa uber kwa miaka mitatu hvyo naweza kusema nina uwezo wa kumuonyesha mtalii au mtu yeyote mwenye kuhitaji kufika sehem nzuri kwa ajili ya mapumziko jijini dar bila matatizo.

-nina uzoefu pia wa kuendesha abiria kwani nimefanya safari nyingi za nje ya dar kama dereva wa kukodiwa (special hire) na nimefika sehem mbalimbali na watu wamefurahia huduma yangu sana.

-NIPO TAYALI KUFANYA KAZI MKOA WOWOTE ULE BILA TATIZO NA NIPO TAYALI KWA KUTOA HUDUMA YA>
*KUENDESHA MTU BINAFSI.
*DEREVA WA KAMPUNI.
*DEREVA WA GARI KUBWA N.K.

KWA MAWASILIANO NAMBA YANGU NI 0622241450 AU EMAIL NI JPMKWABI08@GMAIL.COM SHUKRANI SANA.
 
Attachments

  • SAMSA LOG. JOB VACANCY.jpg
    SAMSA LOG. JOB VACANCY.jpg
    125.4 KB · Views: 4
Habari ndugu!

Naitwa James Patrick nina miaka 28 naishi Mbezi Beach Africana, elimu yangu ni form four niliyomaliza 2019 mbagala sec school.

Baada ya kuhitimu masomo yangu sikufanikiwa kuendelea kwa sababu ya kifamilia, ilipofika 2014 nikajiunga na chuo cha udereva veta nikafanikiwa kupata cheti cha udereva pamoja na leseni halali. Udereva ni fani niliyoipenda tokea nikiwa nikiwa mdogo sana na nimekuwa nikiona baba yangu akifanya hvyo ilinivutia sana, baada ya kuhitimu nikafanikiwa kufanya kazi kwenye makampuni mbali mbali pia na kuendesha watu binafsi, abiria pamoja na uber ambayo niliifanya kwa miaka mitatu na kunifanya nijue jiji lote la Dar.

Nina uzoefu wa kuendesha abiria kutoka dar kwenda moshi na arusha na kwa kutumia gari aina ya coster na kupata uzoefu wa mwaka mmoja.

Nina uzoefu wa kuendesha gari ndani na nje ya mkoa wa Dar kwa muda wa mwaka mmoja bila kusababisha ajali.

Kama nilivyogusia hapo juu nina uzoefu wa kuendesha wa uber kwa miaka mitatu hvyo naweza kusema nina uwezo wa kumuonyesha mtalii au mtu yeyote mwenye kuhitaji kufika sehem nzuri kwa ajili ya mapumziko jijini dar bila matatizo.

Nina uzoefu pia wa kuendesha abiria kwani nimefanya safari nyingi za nje ya dar kama dereva wa kukodiwa (special hire) na nimefika sehemu mbalimbali na watu wamefurahia huduma yangu sana.

Nipo tayali kufanya kazi mkoa wowote ule bila tatizo na nipo tayali kwa kutoa huduma ya;

Kuendesha mtu binafsi.
Dereva wa kampuni.
Dereva wa gari kubwa n.K.
Dereva wa kusafirisha abiria

Kwa mawasiliano namba yangu ni 0622241450 au email ni jpmkwabi08@gmail.Com shukrani sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom