Kwa mwenye kuhitaji dereva mwenye sifa nzuri, napatikana

Hivi kwanini huwa mnashindwa kufuata guidelines za kuomba au kutangaza uhitaji wa ajira za JF ,Tangazo lako likitolewa hapa utaona umeonewa kama maelekezo ya kawaida tu haya unashindwa kufuata utaweza kutunza kazi pamoja na chombo .
Kama uko serious na udereva nenda NIT kasome utapata kazi ya uhakika
 
Kosa lake ni nini mkuu? Ama ulikuwa hutaki aposti hitaji lake hapa jukwaani?
 
Kuna uzi unaelezea vizuri tu au kutoa mwongozo juu ya maswala kama haya kwa mfano mtoa mada anajiondolea usiri wa taarifa zake kwa kuzitoa moja kwa moja kwenye jukwaa bila kufanya tafakuli ya madhara yanayoweza kumpata kwa kitendo chake hiki.

JF inachukua dhamana ya kutunza taarifa zako lakini pale unapoamua kuziweka wazi unakuwa umepoteza privilege hii.
 
Hivi kwanini huwa mnashindwa kufuata guidelines za kuomba au kutangaza uhitaji wa ajira za JF ,Tangazo lako likitolewa hapa utaona umeonewa kama maelekezo ya kawaida tu haya unashindwa kufuata utaweza kutunza kazi pamoja na chombo .
Kama uko serious na udereva nenda NIT kasome utapata kazi ya uhakika
ungenipeleka basi uko NIT nikasome..mtoto wa kiume unakuwa na mambo ya kike.kwan ata wakitoa tangazo langu ww inakuhusu nn? si ufate kilichokuleta! acheni kujifanya wajuaji kila sehem jaman maisha ni magum mkitukanwa mtasema watu atuna adabu.
 
Mara ukemee mapepo mara utoe kejeli just piece of advice unahitaji personality zaidi ili kufika mahali unapohitaji kufika kimaisha personality yako itajumuisha principles mbalimbali ikiwamo attitudes zako na jinsi unavyoweza kuchanganua mazingira yako kwa majibu yako haya hata kama mtu alikuwa anafikiri kukupa hiyo fursa atafikiria mara mbili
 
😂😂😂😂 binadam ni kiumbe wa ajabu sana.yani mtu unijui lakin unavyo nijudge dah!
 
ungenipeleka basi uko NIT nikasome..mtoto wa kiume unakuwa na mambo ya kike.kwan ata wakitoa tangazo langu ww inakuhusu nn? si ufate kilichokuleta! acheni kujifanya wajuaji kila sehem jaman maisha ni magum mkitukanwa mtasema watu atuna adabu.
Mkuu ungekaa kimya ingekusaidia zaidi kitendo cha kulumbana, mtu kitamuogopesha hata anaetaka kukupa deals yani una zero tolerance jamaa apo juu amekufafanulia juu ya attitudes, work on it kwanza kwani ungewakalia kimya hao watu au kutowajibu ungekupungukiwa nini? Umeonesha hauko enough matured
 
h
nshamuelewa huyu.
 
Habari zenu ndugu zangu !!

Poleni kwa majukumu na mchakamchaka wa kutafuta ajira,sio kazi rahisi na kama auna moyo unaweza ukakufuru mungu tu, anyway tuachane na hayo maana tukiyaongelea inaumiza sana.

Nipo mbele yenu au nipo mbele yako wewe hapo unayehitaji dereva mzuri wa gari, kwa kifupi jina langu naitwa James patrick mkwabi nina miaka 26, ni mzaliwa wa tanga lakini nimekulia dar es salaam na kumaliza elimu yangu ya msingi na secondary mbagala.

Niliingia kwenye fani hii mwaka 2014 rasmi, na kufanikiwa kufanya kazi sehem mbalimbali, watu binafsi na hata makampuni makubwa tu.nina uzoefu wa miaka kumi na zaidi kwenye fani hii, kwa yyte mwenye kuhitaji dereva kwa ajili ya-
  • Mtu binafsi.
  • Daladala.
  • Magari makubwa n.k..
Basi unaweza ukaniamini na tukawasiliana kwa namba 0769130951 napatikana mbezi beach dar es salaam, shukrani.
 
Dear Hr

My name is James patrick mkwabi,i live at mbezi beach africana..i am very excited about this position now and i hope that you will consider me a top candidate for the job.

For the past 12 years, I have been driving different kinds of vehicles to transport passengers and materials. I am familiar with all locations and addresses around Clearfield and possess the ability to read maps and use GPS to navigate different routes.

My experience in providing supportive services for unloading and loading merchandise helped me succeed throughout my career...Moreover, my advanced knowledge of vehicle troubleshooting allows me to make minor repairs myself and ensure preventive maintenance.

Another very important aspect of the job is customer service. I have a calm, pleasant personality that helps to make clients feel comfortable and safe, which is very important in this business. Passengers expect and deserve to be escorted by someone who is friendly but professional at all times. When you provide this type of service, they will continue to come back, so I have the ability to help establish a good working relationship between your company and the passengers you serve.

I have the ability to answer general questions passengers may have and to make suggestions for a good place to eat or a great attraction to see for visitors.

I know the area well, so I can find most any location but I also have the skills to read maps or use GPS systems to find locations I am not familiar with already. I am certain that I am the best person for this job and I hope to meet with you soon.

Please call 255769130951 for an interview so we can discuss this position in more detail.thanks

Respectfully,
 
Habari ndugu zangu! Kwa majina naitwa James Patrick Mkwabi, nina miaka 28 naishi Bahari beach, Dar es Salaam na elimu yangu ni form 4.. kama kichwa kinavyoeleza ninatafuta kazi kazi ya udereva.. ni fani ambayo nilianza rasmi 2014 baada ya kutoka shule ya udereva na kufanikiwa kupata cheti halali.

Nimefanya kazi sehemu nyingi pia nimeendesha magari makubwa kwa madogo hvyo nina uzoefu wa kutosha sana.. kwa yeyote atakayekuwa na uhitaji wa dereva kwa ajili ya kazi ya aina yoyote ile basi tunaweza kuwasiliana na ninakuahidi kukupatia huduma bora na kwa uaminifu mkubwa.

Namba zangu za simu ni 0769130951 asante.
 
Habari ndugu, naitwa James Patrick, nina miaka 27 naishi mbezi beach africana, elimu yangu ni form four.

Nipo hapa kuomba kazi ya udereva wa aina zote, nina uzoefu wa miaka 11 kwenye kazi hii, nina uzoefu mkubwa wa kuendesha ndani ya dar es salaam na nje ya mkoa pia.

Kwa yeyote mwenye uhitaji wa dereva kwa ajili ya Mtu binafsi, Kampuni, Gari kubwa Pamoja na usafirishaji wa gari pia nafanya huduma hiyo.

Kwa mawasiliano unaweza kunipata kwa namba 0769130951.

Shukrani.
 
Umejisajili ajira portal? Kama bado jisajili ila akikisha uwe na cheti cha driving kutoka chuo cha veta, nit au chuo chochote kinachotambuliwa na serikali
 
Habari ndugu, naitwa James Patrick, nina miaka 27 naishi mbezi beach africana, elimu yangu ni form four.

Nipo hapa kuomba kazi ya udereva wa aina zote, nina uzoefu wa miaka 11 kwenye kazi hii, nina uzoefu mkubwa wa kuendesha ndani ya dar es salaam na nje ya mkoa pia.

Kwa yeyote mwenye uhitaji wa dereva kwa ajili ya Mtu binafsi, Kampuni, Gari kubwa Pamoja na usafirishaji wa gari pia nafanya huduma hiyo.

Kwa mawasiliano unaweza kunipata kwa namba 0769130951.

Shukrani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom