Mkuu nimekuwa very impressed na motivated na huu UZI aisee, ni jana tu nilikuwa najaribu kupitiapitia ktk mtandao wa ALIBABA na nikaona kweli mtu unaweza anza kwa kamtaji kako kidogo na baadae ukawa mdau mkubwa sana.
Ingawa bado nina mashaka ya kukutana na matapeli na pia sijajua gharama ya usafirishaji mf. camera zenye jumla ya Tshs 1,000,000/=
hahaha! safiii...boss toka nimekuwa naupendaga sana mfano wa dirisha katika nyumba,haswaaa pale inapotekeaga bin-Adam anapokuwa na hofu juu ya watu na mazingira yake ya kazi au shughuli za kila siku,kama kanisani kuna matapeli,kama misikitini kuna matapeli,itakuaje katika soko la wasaka pesa 'MONEY ORIENTED PLACE',lazima wajae,kikubwa juu ya alibaba tumezungumza sana namna sahihi kama angalizo la kupishana na matapeli,pitia huu uzi vema utakutana na mahala nisha zungumzia jinsi ya kumtambua supplier sahihi,vice versa utakuwa umepishana na matapeli,au kwa ufupi ingia kwa io group uliza wadau wapo nondo watakueleza namba ya kupishana na tapeli.
Mfano wa dirisha;
Lengo kuu kama SIO rasmi la dirisha ndani ya nyumba ni mbili {1}kupitisha mwanga {2}kupitisha hewa
lakini dirisha lililowazi tu bila ukingo wowote basi hapana shaka ya kwama inzi zitapita,mbu zitapita,vumbi itapita,wezi wtapia n.k wakati hivyo vyote si lengo la DIRISHA, sasa kupishana na hivyo waweza weka nyavu,kioo,nondo n.k ndivyo alibaba nao wameweka nondo,vioo,nyavu n.k kupishana na matapeli,ingia kwa group boss kazi,watakueleza yooote na wewe lakini waeleze ujuayo maana kule ni uwanja wa kufundishana sio kufundishwa.
Huyu nafaham hili na yule anafaham lile...!
Aksante.