Kwa Mazingira haya Tata na ninavyoujua Mpira wa Bongo ulivyo Azam FC ameshafungwa mapema tu na Yanga SC Krismasi

1. Msemaji wa Azam FC aliye Kifungoni Zaka za Kazi.....

Siku ya Mechi yetu na Yanga SC Jumapili tarehe 25 Disemba Tutavaa Jezi Nyeusi.

2. Msemaji wa Azam FC aliye Kifungoni Zaka za Kazi......

Kuhusu Sisi Azam FC kuvaa Jezi zetu Nyeusi nilisema tu Kiutani ila Tutavaa Jezi tutakazotakiwa Kuvaa Kikanuni

3. Kaimu Msemaji wa Azam FC Hashim Ibwe ( ambaye wenye Akili tunamjua ni Yanga SC ) wa Kugaragaza.......

Azam FC Tutavaa Jezi yetu ile ya Blue Jumapili na tafadhali tunawataka hao wanaomini Jezi zao Nyeusi wazivae ili tukiwafunga wasiwe na sababu ya Kujitetea

4. Kaimu Msemaji wa Azam FC Hashim Ibwe ( ambaye wenye Akili tunamjua kuwa ni Yanga SC ) wa Kugaragaza......

Naheshimu mawazo ya Boss wako aliye Kifungoni Zaka za Kazi kuwa Jumapili Azam FC tutavalia Jezi zetu Nyeusi ili Kumuenzi Mmoja wa wana Familia wetu

5. Kocha Kally Ongala na Msaidizi wake Aggrey Moris hakuna asiyejua kuwa si tu ni wana Yanga SC bali pia ni Wanachama kabisa wa Yanga SC na Wachezaji Wengi wa Yanga SC wakiwa hawana Mechi hupenda kwenda Kushinda Makwao hawa Makocha na Vijiwe vyao pia Sinza

6. Azam FC imeajiri Mmoja wa Mabosi zake ambaye si tu ni mwana Yanga SC bali pia alishawahi kuwa Mwandamizi ( Mtendaji ) ndani ya Yanga SC

7. Mmoja wa Daktari wa Azam FC na hata Dereva wao wa Basi lao ambaye kila Siku yuko nao na Mipango yote ya Azam FC anaijua ni mwana Yanga SC wa Kutukuka ( Lia Lia )

Ni wale tu wasiolijua Soka la Bongo ( Tanzania ) na Sarakasi zake watadhani Azam FC ana Ubavu wa Kumfunga Yanga SC Keshokutwa ( Jumapili ya Krismasi ) ila kwa akina GENTAMYCINE tunaolijua ndani nje Soka la nchini na kwa haya Mambo yangu Saba ( 7 ) niliyoyaorodhesha hapa tunajua Kazi imeshamalizika na Azam FC itafungwa Goli 2 kwa 0 au 3 kwa 1 na Yanga SC na Ushindi pekee ninaouona kwa Azam FC dhidi ya Yanga SC ni wa Suluhu ( 0 kwa 0 ) au wa Sare ( ya Magoli ) yasiyozidi Mawili.
Kwahyo dereva na uyo kaimu afisa habari ambao unasema ni wanayanga watacheza siku hiyo uwanjani?
 
Ubora wa Yanga ndo utakaoleta ushindi
Mkuu itakua wewe ni mgeni wa huyu Popoma hasa kwenye threads kama hizi. Hii comment yako iko sahihi ila sio anachokitaka mleta mada. Wewe inabidi ukubaliane naye tu maana hakuna point zaidi mtabishana huku akikuaminisha yeye ndio analijua soka la bongo.

Kunya anye kuku akinya bata kaharisha. Wao Makolo ndio wanahaki ya kushinda mechi zote na wao hawana watu kwenye timu nyingine wa kuwafanyia figisu
 
Jamaa una kelele sana kuhusu Yanga.. Hv Mashabiki wote wa Yanga ndo mna mambo za kisenge kama hizi.. Wewe Kila mda Yanga tu kwani umeolewa na Yanga wee
 
1. Msemaji wa Azam FC aliye Kifungoni Zaka za Kazi.....

Siku ya Mechi yetu na Yanga SC Jumapili tarehe 25 Disemba Tutavaa Jezi Nyeusi.

2. Msemaji wa Azam FC aliye Kifungoni Zaka za Kazi......

Kuhusu Sisi Azam FC kuvaa Jezi zetu Nyeusi nilisema tu Kiutani ila Tutavaa Jezi tutakazotakiwa Kuvaa Kikanuni

3. Kaimu Msemaji wa Azam FC Hashim Ibwe ( ambaye wenye Akili tunamjua ni Yanga SC ) wa Kugaragaza.......

Azam FC Tutavaa Jezi yetu ile ya Blue Jumapili na tafadhali tunawataka hao wanaomini Jezi zao Nyeusi wazivae ili tukiwafunga wasiwe na sababu ya Kujitetea

4. Kaimu Msemaji wa Azam FC Hashim Ibwe ( ambaye wenye Akili tunamjua kuwa ni Yanga SC ) wa Kugaragaza......

Naheshimu mawazo ya Boss wako aliye Kifungoni Zaka za Kazi kuwa Jumapili Azam FC tutavalia Jezi zetu Nyeusi ili Kumuenzi Mmoja wa wana Familia wetu

5. Kocha Kally Ongala na Msaidizi wake Aggrey Moris hakuna asiyejua kuwa si tu ni wana Yanga SC bali pia ni Wanachama kabisa wa Yanga SC na Wachezaji Wengi wa Yanga SC wakiwa hawana Mechi hupenda kwenda Kushinda Makwao hawa Makocha na Vijiwe vyao pia Sinza

6. Azam FC imeajiri Mmoja wa Mabosi zake ambaye si tu ni mwana Yanga SC bali pia alishawahi kuwa Mwandamizi ( Mtendaji ) ndani ya Yanga SC

7. Mmoja wa Daktari wa Azam FC na hata Dereva wao wa Basi lao ambaye kila Siku yuko nao na Mipango yote ya Azam FC anaijua ni mwana Yanga SC wa Kutukuka ( Lia Lia )

Ni wale tu wasiolijua Soka la Bongo ( Tanzania ) na Sarakasi zake watadhani Azam FC ana Ubavu wa Kumfunga Yanga SC Keshokutwa ( Jumapili ya Krismasi ) ila kwa akina GENTAMYCINE tunaolijua ndani nje Soka la nchini na kwa haya Mambo yangu Saba ( 7 ) niliyoyaorodhesha hapa tunajua Kazi imeshamalizika na Azam FC itafungwa Goli 2 kwa 0 au 3 kwa 1 na Yanga SC na Ushindi pekee ninaouona kwa Azam FC dhidi ya Yanga SC ni wa Suluhu ( 0 kwa 0 ) au wa Sare ( ya Magoli ) yasiyozidi Mawili.
Genta in one and two

Dj lete mods wapitishe ban tena
 
Ila mwenye timu barkresa ni SIMBA...
 
Back
Top Bottom