Kwa matukio maovu ya jeshi la Polisi, IGP Sirro alipaswa awe amejiuzulu siku nyingi

Olaigwanani lang

JF-Expert Member
Apr 26, 2012
541
175
Ndugu zangu, watanzania na wanaJF wenzangu, Matukio mfululizo ya aibu yanayoendelea dhidi ya jeshi la polisi Tunashangaa kumuona IGP akiendelea kuwa ofisini, ni vema sasa ndugu zake ama waliopo karibu naye kumueleza wazi kubwa hapaswi kuwa katika nafasi hiyo.
 
Ndugu zangu, watanzania na wana jf wenzangu, Matukio mfululizo ya aibu yanayoendelea dhidi ya jeshi la polisi Tunashangaa kumuona IGP akiendelea kuwa ofisini,ni vema sasa ndugu zake ama waliopo karibu naye kumueleza wazi kubwa hapaswi kuwa katika nafasi hiyo
IGP wa TANZANIA ni KADA hivyo KUJIUZULU ni NGUMU SANA

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Unasahau kuwa yupo aliyemchagua
Uko sahihi, IGP anateuliwa na Rais.
Kazi hii ni nzito sana, na IGP Simon Sirro amejitahidi sana kuitendea haki.
Lakini mzigo wowote mzito, mwisho wa siku, unachosha sana.
Kwa sasa, IGP Simon Sirro amechoka sana na anastahili kupumzika.
Bila shaka mamlaka yake ya uteuzi inayaona yanayofanywa na Askari Polisi yanayohitaji mtu mpya na mawazo mapya.
 
Hats askari wa chini wanachoka kwasababu wanakana kuthibitisha ugaidi huku mabosi wao walishauthibitishia ulimwengu
 
Hawezi kujiuzulu maana alitumiwa yeye na jeshi la polisi kuuweka utawala huu madarakani. Atajiuzulu iwapo tu rais atampigia magoti tena nyuma ya pazia, huku akimuahidi kiinua mgongo cha kufuru. Hilo jeshi la polisi linaweza kufanya uhalifu wowote na wakachukuliwa hatua kwa mtindo wa funika kombe mwanaharamu apite.
 
Wewe ni muongo wa kupitiliza.
 
Back
Top Bottom