Kwa mara ya kwanza tumetengeneza Animation!

Kwa mara ya kwanza tumetengeneza Animation!

sio mbaya sana, ila 3D animation inataka uwe mzuri sana ili ivutie.

tales from kijenge unaifahamu?

Hii kaitengeneza nani?
Niliwahi itazama sijui humu jf au sikumbuki wapi.
Sasa wale wa arusha wanatengez characters kwenye comp then wanavaa motion captures wanaanza act na wale characters wana imitate hizo motions
 
ametengeneza Goodguy,
Tanzanian made ANIMATION release

hao wa motion capture ndio hio video uliyo link?
Hapana chief huyo ni jamaa flani nilikutana naye Buni Lab mwaka 2014 alikuwa amekuja kupitcg project yake sema wazungu were not impressed na hiyo trailer yake.
Hao niliwaona azam tv wana animation za ukweli ni movie nahisi wata irelease mwaka huu sema ime involve wazungu nadhani hata studio ile ya wazungu
 
aha mwanzo nilielewa hivi ila comment ya pili ndio nikajichanganya.

ngoja nijaribu kucheki online kama nitapata demo zao.
 
Hapana chief huyo ni jamaa flani nilikutana naye Buni Lab mwaka 2014 alikuwa amekuja kupitcg project yake sema wazungu were not impressed na hiyo trailer yake.
Hao niliwaona azam tv wana animation za ukweli ni movie nahisi wata irelease mwaka huu sema ime involve wazungu nadhani hata studio ile ya wazungu
animation yenyewe ni urithi wa adamu sio? jamaa anaitwa evengi toka norway,

nimecheki ni next level, huwezi fananisha na project yoyote toka kwetu.

evengi (@evengi) on Twitter

Good Guy opportunity ndio hizi.
 
Hio vid ya Tembo nilishawahi kuiona muda kidogo. Ila lets be honest hii sio kazi ya wabongo, ni basi tu inafanyikia bongo. But still ukiachana na hilo its not too bad.
Yah kuna wazungu wazungu, studio iko arusha walisema wataizindua hiyo movie mwaka huu
 
Lakini nikicheck budget za animations hasa zenye muonekano wa watu halisi zinakuwa juu zaidi ya movie kibao.
Halafu mara nyingi kuna kuwa na real actors ambao wanakuwa wamewekewa motion captures ambao wanalipwa pia, tena utakuta zime involve masters wakubwa kama akina angelina jolie, john travota.
Kwa hiyo sidhani kama acting haipo
Nasikia animators wanalipwa hela nyingi sna tena kwa saa nafikiri hapo ndipo bei huwa kubwa.
 
Back
Top Bottom