Kwa mara ya kwanza tumetengeneza Animation!

Hahaha Haki Ya Mungu Jamaa Kaona Kashayabalanga Nduki kudadadeki Anatamani jamiiforum waifute post....
 
atakuwa yuko vijijini ambako internet haipatikani kiurahisi bila hivyo nadhani angekuwa anapokea hogera zake muda huu.
 
Shenzi sana wewe. Sijui ndio kutafuta views za YouTube... Pambafuuu[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Rango animation zake ni nzuri? za kawaida tu zile, angalia kama FFXV kingsglaive, kama sio mzoefu huwezi jua ni animation

Screenshot_2016-08-26__4_20_PM.0.png

most of time ni engine inayotumika mkuu, pamoja na talent ya mtengenezaji
Kwanini wanaingia gharama kubwa kutengeneza animations zenye kufanana na watu 98% kwanini wasitumie watu halisi?
Mimi nadhani labda movie za animation watu tunazipendea ule ukatuni wake yani labda unaona huyu diyo mtu kabisa mfano adventure of tintin watu wana vichwa vikubwa kidogo japo wanataka fanana watu halisi.
Nadhan animation ka ya hapo kwenye picha inapendeza zaid kama ni game
 
hio ni engine ya game mkuu, so kutengeneza animation ni rahisi kwao, wanatumia tu engine ile ile.

halafu animation ina faida zake, sterling haringi, anajua ku act kama unavyowaza kichwani kwako (producer/director), hazeeki (kwa filamu zenye series), hakuna negotiation ya malipo etc.

chukulia mfano kama Jack sparrow, akizeeka John Depp unategemea pirates of Caribbean itakuwa na test ile ile?
 
Lakini nikicheck budget za animations hasa zenye muonekano wa watu halisi zinakuwa juu zaidi ya movie kibao.
Halafu mara nyingi kuna kuwa na real actors ambao wanakuwa wamewekewa motion captures ambao wanalipwa pia, tena utakuta zime involve masters wakubwa kama akina angelina jolie, john travota.
Kwa hiyo sidhani kama acting haipo
 
Uu n wizi wa kazi za watu, ngoja niriport youtube waifunge hii Account
 
Lakini nikicheck budget za animations hasa zenye muonekano wa watu halisi zinakuwa juu zaidi ya movie kibao.
Halafu mara nyingi kuna kuwa na real actors ambao wanakuwa wamewekewa motion captures ambao wanalipwa pia, tena utakuta zime involve masters wakubwa kama akina angelina jolie, john travota.
Kwa hiyo sidhani kama acting haipo
yap compare na movie za kawaida, ila uki compare na moviez zenye budget kubwa still animation zinapitwa. kwenye top 10 ya movie zenye budget kubwa hollywood kuna animation moja tu ya Tangled.

pia ukumbuke mkuu hizo animation baadhi kuzi act kawaida ni ngumu sana, imagine kama shrek vile uitengenezee movie itacost hela nyingi kuliko animation yenyewe, labda ulipue.

na pia kwenye animation gharama nyingi ni fixed cost, mfano kutengeneza engine, kununua computer, na mambo.mengine, hizi ni cost ambazo zinatumika mara moja, then unaweza ku re use hizo gharama za juu kwenye project nyengine, mfano mzuri ni kama kung fu panda legend of awesomeness, ni series inaonyeshwa nickelodeon ina episode za kutosha, wameweza ku afford sababu vitu vingi vilishakuwa designed mwanzo.

na kuweka mastar naona.kama ni ki biashara zaidi wapate free advertisement na attention, sababu wapo wataalam wa voice over.

Kwa Japan (hio animation niliyoeka picha) wao animation zipo muda mrefu sana na hawana movies nyingi ni animation tu. na soko lao ni kubwa sana kama yen trilion 2 (trilioni 40 za kibongo).
 
Inaelekea wajapan ni wakali sana wa animations?
Naskia hata designer wa robots za transformers ni mjapan
 
behind the scene vitu vingi hawa jamaa wanafanya, sidhani kama utapata technology yoyote duniani isiyo wa involve hawa jamaa.

hata hizi video games, huwezi kusema umecheza games nyingi bila kuwataja kina Sony (playstation), Nintendo au Sega. sasa hivi kampuni kubwa ya console nje ya marekani ni Microsoft tu na xbox zake, waliobakia maarufu ni japan tu.

nimemcheki huyo jamaa wa transformer Shoji kawamori yupo vizuri.
 
We jamaa kweli ni Kiraza tehtehtehtehhhhh
 
Basi wako vizuri sana sana kuna siku nimeona habari kwenye tv arusha kuna wazungu na wabongo wanatengeneza animations tena wana studio na vifaa vya motion captures unawafahamu?
Walisema soon wataizindua ilionekana nzuri
Halafu kuna huyu jamaa nilikutana naye kwenye pitching pale Buni Lab japo haikupita na ilikuwa bado bado mwaka 2015 mwishon nadhani.
Nadhani kwa sasa atakuwa ameimprove zaidi.
 
sio mbaya sana, ila 3D animation inataka uwe mzuri sana ili ivutie.

tales from kijenge unaifahamu?

Back
Top Bottom