Kwa mara ya kwanza tumetengeneza Animation!

Kwa mara ya kwanza tumetengeneza Animation!

Bongo kufikia zile animation za hollywood ni ndoto,kama tu bongo movie imetushinda tutaweza animation kweli za ku compete sokoni?
Ninavyofahamu mimi animation inahitaji nguvu Zaidi kuliko movie ya kawaida.
Ile katuni ya rango tu budget yake inachezea around 200 usd million kaka sijasahau zaidi ya bilioni 400 za kitanzania.
 
Ingekuwa imetengenezwa India ungekuta imecost 10$ million dollars
So bongo itacost 100$k
 
Acha wizi wa kazi za watu
hiyo animation ni ya martin kirkhaug alizitengeneza mwaka 2007 ipo kuanzia sehemu ya kwanza mpaka ya 3
youtube akaunti yake inaitwa martin K
picha yake hii hapo chini
23167779_1477299152324324_2349766408018055078_n.jpg
safi umemuumbua [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
unazingua fala wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] li animations umeiga pumbafuuu
 
Kwa mara ya kwanza mimi pamoja na timu yangu hapa Rochester, tumeweza kutengeza Animation! naombeni ushauri wenu, Pia usisahau Kusubscribe ukurasa wetu..

Mbona casts sio wa kibongo.....
 
Njoo nikutengenezee ka ile ya madee na tecno
 
Kwa mara ya kwanza mimi pamoja na timu yangu hapa Rochester, tumeweza kutengeza Animation! naombeni ushauri wenu, Pia usisahau Kusubscribe ukurasa wetu..

cha kwanza mm nawakubali sana munaleta mapinguzi lakini nshaombaga leteni movie mzima tuangalie kuliko vipange hivi
 
Bongo kufikia zile animation za hollywood ni ndoto,kama tu bongo movie imetushinda tutaweza animation kweli za ku compete sokoni?
Ninavyofahamu mimi animation inahitaji nguvu Zaidi kuliko movie ya kawaida.
Ile katuni ya rango tu budget yake inachezea around 200 usd million kaka sijasahau zaidi ya bilioni 400 za kitanzania.
anime za kijapan zinasumbua sana duniani, mfano wa anime ni kama hio tales of kijenge, hakuna fancy 3d wala quality kubwa sana, ila unakuwa na story ya maana. sometime budget ya anime haifiki hata 1m usd.

zile blockbuster za anime zinacost $10m mpaka $20m na sokoni zinapiga $200m hadi $300m na zaidi. hivyo unaweza pata mara 20 na kuendelea ya zaidi ya ulichotumia. angalia google anime kama kimi no nawa, spirited away, howling moving castle, boy and the beast etc

na bado japan animator ni ghali kuliko bongo, kama japan inatengenezeka kwa milioni 200 bongo then inaweza fanyika kwa milioni 70 hivi, ngoja tuone huo urithi wa adamu ukoje,
 
Back
Top Bottom