Kwa mara ya kwanza tumetengeneza Animation!

Kwa mara ya kwanza tumetengeneza Animation!

Kwa mara ya kwanza mimi pamoja na timu yangu hapa Rochester, tumeweza kutengeza Animation! naombeni ushauri wenu, Pia usisahau Kusubscribe ukurasa wetu..

Acha wizi wa kazi za watu
hiyo animation ni ya martin kirkhaug alizitengeneza mwaka 2007 ipo kuanzia sehemu ya kwanza mpaka ya 3
youtube akaunti yake inaitwa martin K
picha yake hii hapo chini
23167779_1477299152324324_2349766408018055078_n.jpg
 
Kwa mara ya kwanza mimi pamoja na timu yangu hapa Rochester, tumeweza kutengeza Animation! naombeni ushauri wenu, Pia usisahau Kusubscribe ukurasa wetu..

kazi nzuri ,kwan hadi katuni ina kua na mwonekano poa kama croods au rango ni nini haswa kinacho tumika ...
 
kazi nzuri ,kwan hadi katuni ina kua na mwonekano poa kama croods au rango ni nini haswa kinacho tumika ...
Rango animation zake ni nzuri? za kawaida tu zile, angalia kama FFXV kingsglaive, kama sio mzoefu huwezi jua ni animation

Screenshot_2016-08-26__4_20_PM.0.png

most of time ni engine inayotumika mkuu, pamoja na talent ya mtengenezaji
 
mimi ni mpenz wa animation sana nime tolea huo mfano maana animation za namna hioo zina soko..i mean zipo ki biashara zaidi lakini tupambane nasisi tufike sehemu nzuri i wish na mimi ninge kuwepo kwenye hioo familia napenda siku nije kuwa mtengenezaji au mtu ninaye ingiza sauti
 
chaaaaaaa
poa sana, mwanzo mzuri
kazi nzuri ,kwan hadi katuni ina kua na mwonekano poa kama croods au rango ni nini haswa kinacho tumika ...

Naona mnampasifa mtu asiyestahili hiyo animation imetengenezwa na martin kirkhaug mwaka 2007 huyo kiraza kafanya kuupload tu kwenye account yake ya YouTube ili apate viewers hana lolote
mbona hayo majina kama sio ya kibongo? na themes kwa ujumla?
bora hata chief mkwawa umeligundua hilo
Martin K|YouTube videos
Screenshot_2017-11-21-10-32-22.png[img]
 
Yaani unaiba kazi za watu kisha unajifanya zako. Yaani ata video editing hujui walau ungeonda hizo credits hapo mwanzoni.
Umejitangaza kama mwizi wa kazi za watu, sijui kama kuna wateja wanaweza kutumia your service after this
 
tu
Kwa mara ya kwanza mimi pamoja na timu yangu hapa Rochester, tumeweza kutengeza Animation! naombeni ushauri wenu, Pia usisahau Kusubscribe ukurasa wetu..

na sifia kumbe ume kopi blazaaaaa
 
Back
Top Bottom