Chris14
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 3,076
- 2,177
Ukibadili TCRA inaonekana fake. Kuna simu yangu nilishabadili baadaye ilifungiwa mpaka nikarudisha IMEI zake og.mkuu IMEI ya simu inabadilika kweli? Basi kipindi kile simu feki zinafungiwa watu si wangebadili IMEI?