Kwa maisha ya sasa sio ya kuokota/ kununua kwa mtu simu aina ya smartphone; ni bora ukaokota 'Nokia Tochi'

Nikiiona naichukua na nabadilisha imei namba natoa security maisha yanaendelea kama kawa.
 
Kama mtu wa IT cha kwanza
*Huweki sim card mpaka ufanye haya
-Unafanya Factory Reset / kuflash simu
-Unabadilisha IMEI
-Unadisable tracking system km location
-Una root, simu hii itasaidia kujua program zote na kuziondoa apps ambazo unaona huzijui ktk simu au zitakazo kufanya uwe tracked
Ukimaliza yote ndiyo unaweka sim card na kutumia. Hapo miaka 100
mkuu unawafundisha maujanja majambarika
 
Kwa maisha tuliyo fikia sasa siyo ya kuokota/kununua kwa mtu simu aina ya smart phnone.

Ndugu zanguni katika mahangaiko yenu huko njiani/barabarani ukikutana na simu aina ya SMART PHONE imedondoshwa, usithubutu kuokota we ipite tu endelea na safari yako.

Kuna mtu huku mtaani kwangu wiki moja iliyo pita katika harakati zake za mizunguko njiani aliokota simu aina ya SMART PHONE alifurahi sana alihisi bahati imemdondokea kwa siku hiyo. Jamaa alianza kuitumia ile simu, hiyo ni baada ya kuweka details zake zote zikiwemo line na email address yake.

Baada ya siku kadhaa, jamaa alishangaa anafuatwa na watu walio jitambulisha kuwa wao ni askari na yupo chini ya ulinzi anahitajika police. Huko police aliambiwa kuna mama mmoja alivamiwa nyumbani kwake na kuibiwa pesa nyingi sana ikiwemo na simu yake, na simu yenyewe ni hiyo ambayo jamaa alikuwa ameikota.

Huku mtaani baada ya kusikia hivyo tulistuka sana kwani jamaa hanaga matukio yoyote ya uharifu, mpaka saizi tupo tunachangishana ili tuka mtoe sero jamaa.

Lakini saizi nasikia kuna mtindo umevuma wa kudondosha simu (aina ya smart phone) kwa makusudi alafu baadaye huyo aliye dondosha anaenda kuripoti police kuwa amevamiwa na kuporwa simu na fedha nyingi ( anataja kiasi anacho kijua yeye). Mwisho wa siku wewe kama uliokota hiyo simu na police waki itraki hiyo simu wanakuja kukukamata.

USHAURI: Kwa maisha tuliyo fikia sasa sio ya kuokota hizi simu za SMART PHONE, ukiokota/ kununua kwa mtu usiye mfahamu utakuwa unajitakia matatizo mwenyewe ni bora ukaokota NOKIA TOCHI lakini sio SMART PHONE.

....[HASHTAG]#SWIZZY[/HASHTAG]
U're absolutely right man!
 
Kama mtu wa IT cha kwanza
*Huweki sim card mpaka ufanye haya
-Unafanya Factory Reset / kuflash simu
-Unabadilisha IMEI
-Unadisable tracking system km location
-Una root, simu hii itasaidia kujua program zote na kuziondoa apps ambazo unaona huzijui ktk simu au zitakazo kufanya uwe tracked
Ukimaliza yote ndiyo unaweka sim card na kutumia. Hapo miaka 100
IMEI Unabadilishaje?
 
kuna simu zingine, ukiweka line nyingine tofauti na ya awali ina tuma taarifa kwenye email ya mwenye simu
Hii ni apps tu hasa ukiweka AVG ina hiyo system ya antithief na kwa simu za symbian kuna antivirus (Nimesahau jina) ina hiyo system. ukiweka line tofauti na unayotumia inatuma sms kwa namba uliyoisajili kwenye ANTITHIEF ila sharti uwe na salio kwenye sim card.
Ni mbaya sana unaokota simu unaanza kutumia papo kwa papo pasipo kuichunguza. Download AVG antivirus, ukishainstall nenda sehemu ya antithief jaza namba zako hapo. Utakuwa umemaliza kazi
 
ahsante kwa kunipa maujanja mkuu
 
kuna mjumbe kasema hapo juu, ukikutwa kwa kosa la kubadili IMEI ni kifungo cha miaka mitatu jela
Sawa kubadili Imei ni kosa kisheria lakin sio rahis kumkamata mtu akibadili IMEI..anakuwa kajifungia chumban kwake akiwa na simu yake tu au hata na computer yake unadhan polisi watakukamataje
 
Najua. Nani atajua kama nimebadilisha IMEI? Nabadilisha nikiwa chumbani kimya kimya tena nachukua IMEI kutoka kwenye simu mbovu yaan iliyokufa. Hapo vipi? Nani atajua?
Unamaanisha wao ni wajinga hawatajua.
Anyway just play your card.
Mimi sio expart wa technology sana.
 
Nikiiona naichukua na nabadilisha imei namba natoa security maisha yanaendelea kama kawa.
Kubadilisha Imei ni sawa ila kutrack simu kuna vyanzo vingi sana.
Lazima
-Ufanye factory reset / Kuflash
-U root simu sbb kuna baadhi ya apps huwa hazitoki hata ukifanya factory reset au kuflash kwahiyo ukiroot itasaidia kujua app zote na kuuninstall app yyte ile
-Kudisable tracking system hasa kama location
-Unabadilisha Imei ni vizuri ukachukua kutoka kwenye simu zilizokufa. (Hapa inabidi uwe makini siyo unachukua imei ovyo ovyo mfano unachukua ya nokia ya tochi unaweka kwenye smartphone. Itapendeza ukipata imei kutoka ktk simu ya aina hiyo mfano Huwei tafuta huawei toleo hilo iliyokufa. Chukua imei yake weka hapoa. Miaka 100 unakuwa mtu usiyejulikana
 
ishu ni pale unapo badili imei, kumbe imei unayo weka nayo ni ya simu ya wizi na ina jarada lake la mauaji police
 
Back
Top Bottom