Maduka mengi ya wabongo guarantee yao ni za michongo bora kununua kitu kwa wahindi au waarabu

fundi bishoo

JF-Expert Member
Jun 26, 2018
12,956
22,652
Kama heading inavyosema kununua bidhaa kwenye duka la mbongo msawahili kabsa mweusi tiiiiiiiiii ni shida sana atajifamya kukupa guarantee ya mwaka au miaka 2 au miezi sita halafu bidhaa ikileta chanagamoto aisee wanaruka hawataki kabsa kukurekebishia au kukupa fundi wao bora kununua vitu kwa wahindi na waarabu ata wazungu.

Wazee niliwahi kununua simu kwa mwarabu aisee nmerud baada ya mwaka na jamaa wakanirekebishia ikazngua tena wakarekebisha tena ila kwa wabongo nishaenda mara 2 lakini wanaruka wanakwambia ushatumia sjui maneno blaa blaa kibao hawajui biashara wazee bora kumsapoti watu weupe hawa wenzetu ujanja mwimgi halafu amna kitu wengine tupo nao humu mjifunze biashara aisee kwan maana ya guarantee ni nn...?

Mfno nmenunua simu nmetumia miezi 4 ghfla hiingiz chaji s natakiwa nkuletee unirekebshie guarantee inafnya kazi au kama kuna malipo madpgo nitayafanya tu ila mbongo anakataa kabsa anadai umeshatumia sasa guarantee maana yake n nn
 
Hii ni kweli kabisa mkuu. Halafu wabongo ni rahisi kukubambikia bidhaa feki au iliyoisha muda kuliko wahindi au wachina. Mhindi au mchina atakuambia ukweli ili uchague mwnyewe, sio mbongo. Wabongo ni mbwa!
 
Sina maana ya shida/changamoto za kibinadamu! Nlitaka kumaaanisha kama umenunua bidhaaa kwao then ikaleta shida huwa hawana blah blah nyingi wataplay part yao bila kuleta janja janja zao
nakuelewa, hata wewe ukienda ugenini unakuwa smart sababu umeenda kutafuta. Kwa vyovyote wenyeji watakuona wewe uko njema kumbe umeenda kutafuta.
 
Kawaida yangu ya kununua bidhaa kwa wahindi na waarabu yaani nishazoea ,hawa wabongo wengi ninaofanya nao biashara haswa kununua bidhaa zao mara kwa mara tuna ukaribu yaani nina namba zao ..
Simu nanunua kwa homeboy yeye anaagiza dukani ,sometimes ananiambia kabisa hii feki na hii iko fresh ...sijawahi kubugi ..

Jitahidi kweny mzunguko wako kuwa na wat7 hao ni rahisi sana ,kwa sasa wapo kibao haswa classmate .

.
 
Hii ni kweli kabisa mkuu. Halafu wabongo ni rahisi kukubambikia bidhaa feki au iliyoisha muda kuliko wahindi au wachina. Mhindi au mchina atakuambia ukweli ili uchague mwnyewe, sio mbongo. Wabongo ni mbwa!
kabsa mkuu yaan nami nimeacha kununua vitu kwa mtu mweusi bora niende kwa hawa wa asia wanaelewa changamoto za biashara ila mbongo hataki kabsa kupata hasara ni washenzi kinoma
 
Toka nijitambue nanunua electronics goods Kwa wahindi tuu..hata kama yupo mbali nitamfuata alipo...

Mtoa maada upo sahihi ngozi nyeusi iogope kama shetani kwenye business za electronics
kabsa mkuu nmenunua simu mahali kama miezi 2 nyuma ikazngua kitu kidgo napeleka waniangalizie wanasema hyo simu sio mbovu kama ingekua mbovu ingeonesha toka week za mwanzo tu niliponunua duuh nkawashangaa sana maana m sijasema n mbovu nmesema imesumbua kitu fulani ila nkaona wanaruka ruka pale nkaachana nao nkampelekea fundi waNgu tu
 
Kama heading inavyosema kununua bidhaa kwenye duka la mbongo msawahili kabsa mweusi tiiiiiiiiii ni shida sana atajifamya kukupa guarantee ya mwaka au miaka 2 au miezi sita halafu bidhaa ikileta chanagamoto aisee wanaruka hawataki kabsa kukurekebishia au kukupa fundi wao bora kununua vitu kwa wahindi na waarabu ata wazungu.

Wazee niliwahi kununua simu kwa mwarabu aisee nmerud baada ya mwaka na jamaa wakanirekebishia ikazngua tena wakarekebisha tena ila kwa wabongo nishaenda mara 2 lakini wanaruka wanakwambia ushatumia sjui maneno blaa blaa kibao hawajui biashara wazee bora kumsapoti watu weupe hawa wenzetu ujanja mwimgi halafu amna kitu wengine tupo nao humu mjifunze biashara aisee kwan maana ya guarantee ni nn...?

Mfno nmenunua simu nmetumia miezi 4 ghfla hiingiz chaji s natakiwa nkuletee unirekebshie guarantee inafnya kazi au kama kuna malipo madpgo nitayafanya tu ila mbongo anakataa kabsa anadai umeshatumia sasa guarantee maana yake n nn
Hii ilinikuta kwenye PC Sina hamu aiseee
 
Back
Top Bottom