Nahisi kukosa simu yangu kizembe sana ushauri

sam green

Senior Member
Feb 21, 2020
176
256
Naomba msaada wadau,
Nikikuwa na mazoea na dada mmoja hivi alikuwa ni mgeni kwa mtaa wetu

Kama miezi miwili hivi tunafahamiana alikuwa ana fanya kazi, karibu na ofisini kwangu vyumba vimefatanaa, ni saloon

Mimi nilikuwa na simu Smart phone mbili,
Yeye alikuwa na simu ndogo, kila siku huwa anahudhuliaa kazini,

Simu yake ndogo ilikuwa inamsumbuaa sanaa!

Siku ya jumapili aliazima simu yangu nyingine ya ziada ni smart phone, kuwa anamawasiliano ya muhimu siku hiyo hivyoo simu yake inasumbuaa anaomba nimuazimee siku ya jumatatu asubuhi ananipa, nikampatia sababu nilijua atarudi

Lakini ilivyofika siku ya Jumatatu hakuja kazini nikaona kimyaa mpaka saa saba mchana nikaamua nimtafutee

Nilimtafutaa akasema amepata safari ya ghafla! Hivyoo ameondoka bila kutegemeaa, akasema simu bhas anipe tu hela nikamwambia sawa nipe iwe yako bhas pesa zenyewe hana nikamwambiaa nitumie simu kwa hatumi,

Nikaamua kuwatafuta ndugu zake mahara alipo fikia, alipo kuwa anaishi nikawaelezeaa vyote wakasema safari hiyo alipanga wala sio ghafla kama alivyokuambiaa ngoja tuwasiliane nae tutakwambiaa, anaseamje ili tumalizee huu utata,

Ni leo tarehe 10 mwezi wa 8 ndio wamesema hivyoo, lakini mimi sina imani kabisa,
Simu ni yangu list na kila kitu na miliki mimi na alikoenda ni mkoa mwengine wa jirani!

Nilikuwa nawaza niendee police nika report..
Nikatoe maelezo maana hiyo ni aina ya uwizi au utapeli mtu anaazima simu Kisha anakimbia nayo!

Msaaada mawazo yenu michango yenu muhimu nasoma comment
 
Back
Top Bottom