Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,086
- 8,220
Sikuzote mtu wa IT huwa hafanyi mambo kwa kubahatisha na huwezi kujiwekea imei tu ovyo ovyo. Kuna vyanzo vingi vya kupata imei ila huwa ni trusted na ukiweka hakuna mtu atakayegundua au TCR.ishu ni pale unapo badili imei, kumbe imei unayo weka nayo ni ya simu ya wizi na ina jarada lake la mauaji police