Kwa maisha ya sasa sio ya kuokota/ kununua kwa mtu simu aina ya smartphone; ni bora ukaokota 'Nokia Tochi'

Kama mtu wa IT cha kwanza
*Huweki sim card mpaka ufanye haya
-Unafanya Factory Reset / kuflash simu
-Unabadilisha IMEI
-Unadisable tracking system km location
-Una root, simu hii itasaidia kujua program zote na kuziondoa apps ambazo unaona huzijui ktk simu au zitakazo kufanya uwe tracked. Kuna apps zingine hata ukifanya factory reset au kuflash hazitoki kwahiyo dawa yake ni kuroot simu. Hapo hata kama ni app ya messaging inatoka tu tena kirahisi.
Ukimaliza yote ndiyo unaweka sim card na kutumia. Hapo miaka 100 unakuwa mtu usiyejulikana.
Sasa ndio tunafundishana Wizi au?
 
Sasa ndio tunafundishana Wizi au?
JF ni kisima cha maarifa. Hivi vitu uki-google kimoja kimoja vyote vinapatikana. Kwahiyo ukiunganisha ndiyo unapata idea niliyoandika. Kwa mfano tu uokote simu ambayo imetumika kwenye mauaji unafanyaje?
*Utapeleka polisi?
*Utaichukua?
*Utaiacha?
Ukiipeleka polisi walahi ww utakuwa umejitakia msimba mkubwa sana ni x100 ukaiacha yaan usiikote. Hapo ndipo panapokuwa pagumu kuripoti. Hata km ni simu iliyoibiwa polisi lazima wakuwekw lock up na hata akija mwenye simu hana mpango na ww.
Hapo ndipo utakumbuka ule wimbo wa huruma yangu imeniponza sasa machungu ya dunia nayaonja''
Ukikutana na simu ni bora uaiche yaan usiokote.
 
uki upgrade android version IMEI inabadilika, uki root simu kuna option ya kubadilisha peupe kabisaa mi nimebadilisha ya kwangu kama mara tano hivi

IMEI ya repear naweza kutumia hata ya nokia yenye uwezo wa kutumia internet?
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom