Kwa kauli ya Mh SPIKA Zungu, Kuna uwezekano Mama yake na zungu alikimbia machafuko uko South Africa akiwa na ujauzito wa Zungu je huyu ni Raia?

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,937
Reaction score
10,815
Kwenye ibada ya KUMWAGA Jenista Mhagama,
Mh Zungu alipewa nafasi ya kutoa shukurani kwa MH RAIS dhidi ya mchango wake kwa msiba ule,

Akiwa mbele ya waombolezaji zungu alieleza jinsi alivyowai kuuliza na Hayati jenista mhagama, alivyowai muuliza dhidi ya Jina la zungu yakuwa alilipata wapi Jina ilo?
Zungu alijieleza yakuwa yeye ilo Jina alilipata kwa sababu yeye mama yake alikuwa mgoni aliyekimbilia pale akitokea south Africa aliyekimbilia Tanzania

Katika kauli hii Kuna uwezekano Mama yake na zungu alikuja Tanzania na ujauzito wa Mh Zungu mwishowe akajitokeza kidume Mmoja akajibebea kimbizi na kumwoa kupima kama kimbizi ni mjamzito mwishowe akazaliwa ndugu zungu na sasahivi ni SPIKA WA serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania

Tuseme neno sisi wa Africa wote ni ndugu tupendane hata ukimchunguza zungu yaani ni mzuru kabisa mwenye vinasaba na wale makaburu wazungu walio ivamia south Africa yaani kwa ufupi Zungu ni mkaburu Wala sio msouth Africa
All the best zungu.
 
So kama alikimbia na mimba south so bao halikua la bongo
 
Zungu ni mu Oman. Mwarabu kutoka Oman . Hawa ni miongoni mwa warabu wabaguzi sana hapo mashariki ya kati. Ndiyo walioitawala Zanzibar na warabu wengi waliopo hapa Wana asili ya Oman .
Amewekwa hapo kimkakati Ili maslahi ya wa Oman chini ya Samia yasihojiwe na wapate wanachotaka
Huyu ni bwenyenye mwenye ukwasi mkubwa sana akiwa na maghorofa zaidi ya 5 hapo kariakoo.
Maskini wasitegemee chochote Toka bungeni.
 
Back
Top Bottom