Kwa jicho la kiroho: Sakata la Dr. Slaa

Kwa jicho la kiroho: Sakata la Dr. Slaa

None sense. Chadema kweli makapi. Na baada ya uchaguzi kitakufa kabsaaaaa. Amini usiamini haya ndo yatakayowapata. Hamtakuwa na agenda tena. Ushahidi ni kauli za mgombea urais. If not now then never.

Hii yako ni ramli chonganishi ya nne au ya tano sasa, mpiga ramli wa kwanza alidai chadema itakufa mwaka 2012 haikufa,mpiga ramli wa pili alidai chadema itakufa kabla uchaguzi mkuu 2015 haijafa,mpiga ramli wa tatu Lizaboni alitabiri chadema/ukawa kufa ndani ya wiki ya kwanza ya mwezi wa tisa, yani wiki hii.. kesho ijumaa wiki ndo inaisha hivyo chadema/ ukawa haijafa. We mpiga ramli mpya unatabiri itakufa baada ya uchaguzi trend inaonyesha haitakufa na ramli yako ni utapeli na uongo mtupu
 
Last edited by a moderator:
I cant believe CHADEMA mnaimba nyimbo zile zile tulizozizowea kuzisikia kutoka kwa wanaCCM dhidi ya Dr Slaa,kisa?kapishana na Mbowe.Ila sishangai,yalianza kwa Dr Kaborou,akaja Wangwe,Zitto akafuatia na sasa ni zamu ya Dr Slaa,nani atafuatia?Oh yeah ni yule atakayepishan na --------- Mbowe.
Hajapishana na mbowe bali kapishana na demokrasia na kutaka kuleta utakatifu katika siasa wakati hata yeye huo utakatifu hana
 
Mkuu unakumbuka pindi sisi wafuasi wa zitto tuna mtetea kuwa sio msaliti, msaliti ni dr slaa mulikua mnatujibu nini? Hii hoja haijaanza leo siku zote tulisema zitto sio,msaliti ni Slaa leo kiko wapi? Lakini nikuambie tu hii ni karma kama ulimfanyia mtu ubaya malipo ni hapahapa Duniani. Slaa ni rais wa mioyo ya watz mmesahau? Na hii haitaishia hapa tu yapo mengi sana yanakuja na mimi nakuhakikishia chadema inalaana ipo siku utaamini maneno yangu.

Jina lako na unafiki unaouleta kujifanya uliwah kuwa mfuasi wa zitto haviendani. Intendee haki Surat haa mym..pitia aya ya 46 kwenye sura hiyo quran si ya kuichezea ndugu.
 
Acha kupotosha watu, kanisa katoriki lina sheria zake, ukiwa mtawa/Padre unaruhusiwa kuendelea na huduma maisha yako yote au unaruhusiwa kuomba kumpumzika na kuendelea maisha ya kawaida kama muumini mwingine wa kawaida. Dr Slaa aliomba kustaafu upadre kabla ya ujio wa Papa John II kuja tanzania miaka ya 1999 wakati huo akiwa na katibu wa TEC lkn kanisa lilimwomba asipumzike mpaka ziara ya PAPA ikamilike, kama ingekuwa ni dhambi basi kanisa lisinge mwomba kuendelea. baada ya ziara ya PAPA nchini Dr Slaa alikubaliwa na makao makuu kustaafu na kuagwa na kanisa kwa sherehe kubwa. Baada ya kustaafu Dr. Slaa alirudi kwao Karatu na kuanzisha miradi ya jamii, aliweza kupata wafadhiri mbalimbali hivyo kufanikiwa kuleta maendeleao Karatu. Baada ya wananchi kuona mafanikio yake, walimwomba agombee ubunge, na kweli akagombea kupitia CCM, CCM waliona kama ni mgeni katika siasa wakakata jina lake na kumpa mshindi wa tatu aliyekuwa mbunge wakati huo. Hivyo basi wananchi wakamshawishi kuhamia chama cha upinzani na kuwa wangempa kura, Dr Slaa akahamia CHADEMA wakati huo CHADEMA hakina umaarufu kama sasa, chama kilichikuwa maarufu kilikuwa ni NCCR mageuzi. Dr Slaa akashinda kwa kishindo na kuwa mbunge wa kwanza kutoka CHADEMA na Dr Warid Kabour kutoka jimbo la Kigoma mjini.

Kwa wasio jua Dr Slaa ndiye aliyeanziasha taasisi ya tiba ya CCBRT na ni mkurugenzi wa board. Nafikiri ni taasisi peke hapa nchini inayotoa tiba ya ulemavu wa viungo na macho kwa gharama nafuu.

In 1994: With the support of CBM, Dr. Willbrod Slaa, (still on the CCBRT Board) and Geert Vanneste founded CCBRT. Their mission was to contribute towards poverty alleviation by making rehabilitative services accessible and affordable to people with disabilities. In 1994, CCBRT was registered as a private Non-Governmental Tanzanian Society (NGO), under the Tanzanian Societies Act, No SO8261.

Unaongelea kuhusu maisha yake na mafanikio yake uko sahihi kabisa wala sina tatizo na hilo mimi naongelea kwa mtazamo wa kiroho... Vyovyote iwavyo na mafanikio hata yaweje lakini kuna wakati mambo hufika hatua aliyofikia juzi
Kanisa kumuomba aendelee na huduma ni sahihi alihitajika ana elimu kwa kiwango cha udaktari, ana uelewa wa mambo mengi lakini kiapo chake hata kama alikibatilisha KIAPO NI ROHO HAKIFII
Mkutano wake wa juzi na yote aliyosema imewaacha wengi midomo wazi mimi nikiwa mmojawapo kuwa huyu NDIE SLAA NMJUAYE???
Kumbuka credibility aliyokuwa nayo kabla ya ule mkutano na aliyo nayo sasa... Mafanikio na elimu yake yote kwa sasa vinaangaliwa kwa makengeza.
UONGO HUPANDA LIFTI BALI UKWELI HUKWEA NGAZI
 
Duh...hivi na vile viapo wanavyoapaga viongozi wakiwa wanaanza kazi eg:Rais,wabunge, etc huku wameshikilia Biblia/Msahafu na kuinua mikono juu huwa vina nguvu ?

Ule ni utaratibu wa kawaida wa kibinadamu tu hakuna ukweli Wowote pale
 
Jina lako na unafiki unaouleta kujifanya uliwah kuwa mfuasi wa zitto haviendani. Intendee haki Surat haa mym..pitia aya ya 46 kwenye sura hiyo quran si ya kuichezea ndugu.

Kama hunijui kaa kimya nikuulize sikuwa mfuasi wa zitto nilikua wa nani? Pale zitto alipoitwa msaliti nilimtete kwa kile alichokua anakipigania na nilisema mara nyingi tu Slaa ndio msaliti kwa kusaliti kiapo cha madhabahuni tafuta koment zangu ndio uje kubisha.
 
Mkuu unakumbuka pindi sisi wafuasi wa zitto tuna mtetea kuwa sio msaliti, msaliti ni dr slaa mulikua mnatujibu nini? Hii hoja haijaanza leo siku zote tulisema zitto sio,msaliti ni Slaa leo kiko wapi? Lakini nikuambie tu hii ni karma kama ulimfanyia mtu ubaya malipo ni hapahapa Duniani. Slaa ni rais wa mioyo ya watz mmesahau? Na hii haitaishia hapa tu yapo mengi sana yanakuja na mimi nakuhakikishia chadema inalaana ipo siku utaamini maneno yangu.
wewe nimekudharau.
ulinganifu kwa zito na slaa kwamba nani msaliti na nani sio inakuonyesha wazi kuwa hujasoma na kulielewa bandiko la mshana jr

TUNAJADILI KIROHO ZAIDI.
 
Last edited by a moderator:
wewe nimekudharau.
ulinganifu kwa zito na slaa kwamba nani msaliti na nani sio inakuonyesha wazi kuwa hujasoma na kulielewa bandiko la mshana jr

TUNAJADILI KIROHO ZAIDI.

Na mimi nipo kiroho zaidi ndio nasema hayo anayosema leo mshana mimi nishawahi kuyaongea kabla na alitetewa na hawahawa wanaomsema leo au unabisha?
 
Last edited by a moderator:
Nawafahamu watu wengi sana waliochanganyikiwa baada ya kuacha upadri. Mimi nimeanza kuamini kuwa Dr. Slaa pamoja na umaarufu wake wote alikuwa kikwazo kwa ukuaji wa haraka wa Chadema kwa misimamo yake ya kiseminari.
 
Hakuna cha kiapo wala laana kwa taarifa yako ni mtazamo wako tu. Hivyo vitu uliaminishwa tu kama ulivyoaminishwa imani. Si ajabu ungezaliwa india ungeabudu Mungu wa kihindi. Doc. Anaruksa ya kuishi imani yake na misimamo yake hata kama ulimwengu wote utakataa.
 
Nasikia uzinzi ni pamoja na kuachana na mke wa ndoa na kuishi na kimada.nasikia tena wafanyao uzinzi hujiingiza kwenye laana.nasikia tena aziniye hana akili kabisa.nakumbuka kusoma haya mambo kwenye biblia kama sijakosea.
 
Huyu paroko wangu amenikumbusha mbali wakati mm nifrateli yeye akiwa shemasi alipenda misemo sana.
 
uwezo wangu katika kupambanua jambo haulingani na uwezo wako unaoendeshwa na hisia za kisiasa. hivyo sihitaji kukujibu katika hilo. kama unajua kinachomsababisha kusahau kila wakati basi kaulize parkinson disease huathiri nini na kwa nini nimesema lowasa anaumwa. endelea na imani yako ya kuwa upo kwenye njia sahihi.
Tuletee kipimo. Usiongee ya kukaririshwa. Mazombie tu ndo huwa wanakaririshwa.
 
Hakuna cha kiapo wala laana kwa taarifa yako ni mtazamo wako tu. Hivyo vitu uliaminishwa tu kama ulivyoaminishwa imani. Si ajabu ungezaliwa india ungeabudu Mungu wa kihindi. Doc. Anaruksa ya kuishi imani yake na misimamo yake hata kama ulimwengu wote utakataa.

Tujenge hoja tuache blahblah huyo mungu wa kihindu nknk nishapita kote huko.. Shida iliyopo hapa ni kwamba baadhi yetu tunashindwa kutofautisha hoja za kiroho na hoja za kidunia
 
Nimeota Dr Slaa atakuwa anaingia jf na kujibu tuhuma kwa kutimia ID nyingine na sio ile iliyo verified

Back
Top Bottom