Kwa jicho la kiroho: Sakata la Dr. Slaa

Kwa jicho la kiroho: Sakata la Dr. Slaa

Mkiitwa madikteta msirushe ngumi!!
Sio suala la udikteta ni suala la kubadilisha muelekeo ya kizembe kwenye maisha ya kitanzania. Muelekeo unaochangia umasikini usiokwisha, kizazi kinazaliwa mpaka kinakufa, umasikini upo pale pale, kumbe sababu haswa ni kuendekeza hulka za kizembe, hulka za kutaka kutobadilika kwa hiari.
 
Mkuu; wengi hatujui athari (impact) ya viapo; kama unaweza kupata muda hili ni somo tosha tutaomba utusaidie kujua kwa kina; aina ya viapo na je vinaweza kuambuliza kizazi kimoja hadi kingine nk
 
Kwanza tufahamu kuwa yaliyotokea na yanayotokea hayana budi kutokea na hakuna mwenye uwezo wa kuyazuia yasitokee.

Pili yote anayoyafanya Kwasasa Slaa hana hiari nayo si kwa maana ya ccm au wale wanaomfadhili kwa sasa bali ni laana ya kiapo na nadhiri zake...hawa wanaomfadhili ni kiambishi tu cha nguvu iliyo nje ya uwezo wa kibinadamu .

Slaa anateswa na haiba na kiapo, nadhiri na ahadi ya kutumikia kiapo.. Nimekutana na viapo Nimeishi maisha ya viapo lakini SIKUAPA. viapo ni vibaya na viapo havifi na kuviuwa kunahitaji mlolongo mrefu na wenye mambo mengi.

Slaa Aliitwa kwa wito kuonyesha na kutumia vipawa vyake kwa njia ya upadri akakubali na kupokea mpaka daraja la upadirisho mbele ya mimbari takatifu...aliingia mkataba na Mungu na kukamilisha wito.

Bahati mbaya sana akakengeuka nakuanguka moja kwa moja na tangu hapo viapo nadhiri na laana vikaanza kumuandama.

Siasa sio dini siasa ni propaganda siasa ni unafiki siasa haina kweli na Siasa haiongozwi na roho mtakatifu.

Kwa laana ile ya kiapo na nadhiri akajikuta anaangukia kwenye Ulimwengu wa mapepo na roho za kutangatanga.. Na tangu hapo ameendelea kutangatanga kuanzia kwenye mahusiano mpaka kwenye maisha.

Hakuna ambacho ameweza kufanya kikakamilika, amekosa ndoa takatifu amekosa maisha ya kudumu Kwenye siasa amekosa Kuacha Heshima na historia ya kutukuka kwenye lolote alilolifanya.

Kila alipoanza alianza vizuri kwa mafanikio na kupendwa sana lakini mwishoni kila kitu kikaenda kombo na kugeuka ubatili.... Kiapo kinamtesa.. Na haya ndio atakuwa maisha yake mpaka kaburini .

Viapo ni vibaya hakikisha unatengua kama hutaki kuendelea nacho viapo vina roho na roho haifi, mengi mabaya yatamtokea Dr na hii ni kanuni ya kidunia katika Ulimwengu wa roho.
Kwa Waliosoma walau classical philosophy wanaelewa fallacy maarufu iitwayo "Post Hoc Ego Propter Hoc" - Because of this therefore this!

Nilitamani vigezo JF wanavyotumia kuwapa watu Expert Member...sijui ni expert katika kila jambo au katika specialization Fulani...maana wakati mwingine ni ujinga shehe na padre kurumbana kuhusu nguruwe, maana hatima ya majdiliano hayo inajulikana.

Mimi ni bingwa wa TaaliMungu au Tahuidi au Theology. Na kabla ya hapo ni mbobezi katika Falsafa ya Kiyunani.

Sio kweli kwamba padre akiacha upadre anapata mikosi.....yaani sio de facto! Ndio maana kanisa lenyewe limeweka taratibu za padre kuwacha kuwa padre. Muhusika anaomba laicization ambayo hutolewa na papa peke yake.Majuzi tulishuhudia padre Karugendo akifunga ndoa katika parokia ya Oysterbay. Hapa Tanzania wengi wamepewa hiyo ruhusa na waaendelea na maisha yao kma kawaida. Padre pia anaweza kupokwa hadhi yake ya upadre ndio wanasema amefukuzwa.

Ni kwamba tu Dr.Slaa alikuwa anajishughulisha na siasa ndio maana suala lake linatungiwa nahau na waganga wa kienyeji. Na kwa sababu watanzania tulio wengi hatuna udadisi tunaamini tu....Tunaamini mambo mengi ya kijinga..tunaamini dawa za kuongeza nguvu za kiume...kuongeza makalio nk. ilhali wachina wanaozitengeneza tunaona maumbile yao.

Kwanza kufanya kazi supermarket au hata kuosha vyombo ni kazi azifanyazo mwanadamu kuwa padre hakukufanyi kuwa mtu wa daraja Fulani....pia mwelewe mapadre wa nchi zetu hawana mishahara hivyo kufanya kazi na kupata kipato ni hatua kubwa sana ya kimaendeleo.

Tuache kueneza uongo. Papa Benedict XVI alipojiuzuru jaambo ambalo alikuwahi kufanywa huko nyumba kwa karne 6 watu walidhani ni mwisho wa dunia.....Pope mstaafu yupo mpaka leo...ingawaje waganga wa kienyeji walisema Yesu hakushuka msalabani...hakujiuzuru!

Hakuna jimbo katoliki hata moja hapa Tanzania ambalo halina padre aliyewahi kuacha. jimbo langu Dar es Salaam mapadre wafuatao wameacha na wanaendelea na maisha yao Ngirwa, Matage, Luanda, Lingamila nk nk nk hali kadhalika na majimbo mengine wakiongozwa na jimbo kuu la Mwanza. Mnamkumbuka Askofu Mkuu Millingo wa Zambia.

Tuache ujinga wa kuwajengea watu hofu. Kujadili watu badala ya ideas nk
 
Unaweza ukasoma mpaka kiwango cha PhD kwenye theology lakini ukashindwa kabisa kutafsiri ya rohoni... Kwakuwa tu elimu ya kiroho ni kipawa ni karama na si blah blah kama hizi za kujisifu na kuponda wengine
Nmetahadharisha tangu mwanzo wa mada kwamba yanayomtokea Slaa hajatakaa na hajapanga yeye na hana uwezo wa kuyazuia yasitokee... Hii sio elimu ya kitabuni ama kujivunia kuwa mkatoliki wa kufahamu sheria taratibu na kanuni
Ulichoandika leo kiliandikwa na wengine wakati ule naweka hii mada, miaka karibia mitatu sasa, nani kaonekana sahihi? Mimi ama wao?
Kuna jinsi ya kuacha kiapo cha upadirisho, kuna kanuni zake kuna utaratibu wake maalum kabisa, kuna na ibada maalum na watumishi maalum... Ukikosea kidogo kwenye hili umekwenda na maji... Usimlinganishe Karugendo na Slaa kila mmoja ana mapito yake, hawa ni watu wawili tofauti kabisa, kuwa na asili moja kwenye upadri hakuwafanyi wafanane kwenye kila kitu
Ni upumbavu kujivunia umesoma sana bila kujiuliza kama kusoma kote huko umeelimika kiasi gani...
 
Mkuu; wengi hatujui athari (impact) ya viapo; kama unaweza kupata muda hili ni somo tosha tutaomba utusaidie kujua kwa kina; aina ya viapo na je vinaweza kuambuliza kizazi kimoja hadi kingine nk
Nikumbushe tafadhali nitafanya hivyo
 
Mngejibu kwa hoja za mtazamo wa kiroho... Ila kwakuwa hamjui mjibu nini ndio maana mnaishia kuleta mipasho kashfa na matusi na hizi ndio dalili za mshindwa
Vyovyote vile mtaavyosema havitakaa vibadili ukweli wa nilichoandika
Unahangaika na wavivu wa kufikiri wanini sasa ungekaa kimya!!hii issue iko too personal kuliko wanavyo fikiri ndomana huwa nikimuona mtu mwanaccm moja kwa moja namuweka kwenye kundi la mahayawani hata kama anauwezo kiasi gani
 
[emoji115] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Uzembe wa watanzania uko kwenye nini na umesababishwa na nani na ni haki kutumia nguvu katika kubadilisha tabia za watanzania?

Ni ruksa pia kutumia nguvu kubadili tabia za kizembe za viongozi wetu!?
Uzembe wetu upo kwenye mambo mengi tunayafanyayo, mambo yanayotuonyesha sisi ni nani kupitia jicho la mtu asiye mtanzania. Chanzo chake ni kurithishwa kutoka kizazi kimoja kwenda kingine. Wazungu huita succession plan, ya kwetu sisi imeanza na walakini na walakini unaendelea kuishi nasi.

Nguvu zinatumika pale tu inapotokea ushawishi mdogo na wa kawaida kabisa ukakosa kuheshimiwa, licha ya juhudi kutumika katika kuielimisha jamii.

Inategemea viongozi gani ambao nguvu inabidi itumike kwa ajili ya kuondoa masalia ya uzembe ndani ya vichwa vyao.

Wale watiifu na ambao ni receptive ni nadra kutumia nguvu katika kuwabadilisha kwa sababu tija yao inaonekana dhahiri, ila wale wanafiki ambao mchana wanaongea lugha ya jumla na jioni wanaongea lugha ya usaliti, hawa ni wa kushughulikiwa mara moja.
 
philos and mshana jr, kwa experience yangu mimi maana sitaki jisifu kuwa najua mambo ya kiroho au theology, kiapo ni baina ya MTU na Mungu na hata ukitaka kuvunja utavunja hicho kiapo kati yako wewe na Mungu na si binadamu. Nitatoa mfano wa Shemeji yangu alifunga ndoa takatifu ambayo INA viapo lakini after 5 years mke akalala na Shemeji yetu mkubwa. Akaaamua amtaliki lakini nakumbuka kuna wakt alikuwa anajifungia ndani akifunga na kuomba kwa Mungu wake ili avunje kile kiapo cha kwanza na Mungu ampe the right direction. Akaita kaka ake na wazazi wake akasema amemsamehe pia mkewe kamsamehe ika inabidi tu amuache. Amekaa after 6 years ya kuwa single ameoa tena na yuko na maisha mazuri sana kuliko yale ya mwanzo yaani Mungu kamwinua sana. Nimetoa huu mfano kuonyesha kwamba inawezekana kuna mapadri waliasi ila walivunja viapo vyao na Mungu wao, Mungu akawasamehe na wako very successful sasa.
 
Katika Kanisa Katoliki kuna sakramenti tatu ambazo hazifutiki zinaacha indelible mark - alama isiyofutika milele nazo ni ubatizo, ndoa na upadre. Katika ndoa mmoja wa wanandoa anapotangulia mbele ya haki agano hilo la ndoa de facto linakuwa limekufa.

Katika Kanisa Katoliki kuna mapadre wa aina mbili 1. Mapadre wa majimbo hawa ni wale ambao wanakuwa chini ya Askofu wa jimbo, 2. Mapadre wa Mashirika hawa wanakuwa chini ya mamlaka za wakuu wao wa mashirika, hawa hawana mipaka ya kijimbo waweza fanya utume kokote.

Mapadre wa Jimbo kamwe hawaweki nadhiri kwa maana hiyo Dr Slaa alikuwa ni padre wa jimbo na hakuweka nadhiri yoyote. Mapadre wa majimbo huweka ahadi ya utii, ufukara na useja. Mapadre wa mashirika wao huweka nadhiri ya utii, ufukara na useja.

Ili kujua tofauti ya ahadi na nadhiri ni somo refu. Kwanini wote ni mapadre lakini hawa wanaweka ahadi na wale wanaweka nadhiri ni somo refu pia. Itoshe tu kusema nadhiri is more binding than ahadi. Maneno ya Kikatoliki yatumikayo ni Vows = Nadhiri, Promise = ahadi. Kinachowaunganisha hawa wote ni ile sakramenti ya upadre ambayo inawafanya wote kuwa alter Christus yaani Kristu mwingine.

Bado naonya athari ya kuyaongelea mambo ambayo hauna mandate nayo unajua kwa sisi watanzania kila moja ni kocha, kila mmoja ni daktari, kila mmoja ni mwanasiasa, kila mmoja mganga wa kienyeji. Wenzetu walioendelea uweka bodi za kuwatambua watu wa fani na kada mbalimbali!!!!! Huku kwetu msemaji wa klabu ya mpira anajua kuliko kocha wa timu!!!!! Huku kwetu ukisema nimesoma fani Fulani basi huko ni kujigamba, kujisifu bure! Huku kwetu utaambiwa haukuelimika maana elimu iko mitaani kwa mtogole ambako kuna phd! Ila tutambue hata waganga wa kienyeji husajiliwa! Sijui Dr Mwaka na Dr Kigwangala nani kaelimika na nani anajisifu bure!

Wakatabahu!
 
IMG-20171123-WA0096.jpg
 
Sio Mbowe kwa wenye kufikiri kwa makini. Slaa ni mkiristo mzuri kuliko wengi wakristo maana alifikia ngazi ya Upadri. Hivyo anaijua vizuri Biblia. Kutokana na Biblia kuna yafuatayo:
1. Upatapo hasira jua linachomoza usikae na hasira hiyo hadi jua likazama.
2. Dhambi hata iwe nyekundu kama damu ukitubu inakuwa nyeupe kama karatasi.
3. Sauli alikuwa mwiba mkali kwa wafuasi wa Yesu, aliua kupindukia baadae akageuka na kuwa mtume.
4. Mussa alikaa kwa faraho akiwatesa Waisrael lakini ndiye aliongoza msafara wao kuwapeleka kuelekea nchi ya ahadi japo hakuwafikisha.
5. Yapo mengi.
2 NA 4 IPO kwenye bibilia gani?au MPYA?
 
Naona wamechelewa sana kumlipa dr.
Wamesubiri cash iishe, wmamzuge na ubalozi kisha baada ya muda wamtafutie nafasi nyingine nyumbani arudi kisha wamtose... Yuko wapi Ombeni Sefue
 
Back
Top Bottom