Kwa jicho la kiroho: Sakata la Dr. Slaa

Kwa jicho la kiroho: Sakata la Dr. Slaa

Asante ndugu Mshana. Napenda kujua je kile kiapo wanachopewa wabunge,mawaziri na wengine je nitofauti na hicho alichofanya Dr.Slaa na je impact ni sawa incase ukaenda tofauti? Na je hawa wabunge wanaapa lakin wanafanyatofauti kabisa na wengi wanaapa kila baada ya miaka 5 zaid ya mara moja
 
Vile ni viapo feki vya kisiasa kwenye mimbari feki inayowakilisha kuzimu... Kiapo cha upadirisho ni cha kiroho baada ya muda mrefu wa miaka mbele ya mimbari takatifu
 
Tuwekee majina ya hao mapadri walioacha utumishi wao ndani ya kanisa.
Hivi mnajua nadhiri ya upadri ni tofauti na ndoa!!
Mafunzo ya ndoa si zaidi ya mwezi, lakini mafunzo ya upadri ni miaka kadhaa.
Mapadri hula kiapo chao kwa kulala kifudifudi mbele ya altare, lakini ndoa husimama na kula kiapo na kuvishana pete.
Kisaikolojia ukiacha upadri lazima utaathirika tu achilia mbali kiroho!!

Hakuna uhusiano wa kuacha kuwa Padri na maisha ya kiuchumi -Wako mapadri wengi sana walitoka na wanamaisha mazuri duniani - na wapo walei wengi waliingia kuwa deacons na waliuza kila kitu chao- Mungu wetu sio mganga wa kienyeji au mpiga ramli - Tutahukumiwa mwisho wa maisha yetu ila kwa hapa duniani ni kupambana na hali yako mpaka kieleweke
 
Vile ni viapo feki vya kisiasa kwenye mimbari feki inayowakilisha kuzimu... Kiapo cha upadirisho ni cha kiroho baada ya muda mrefu wa miaka mbele ya mimbari takatifu
Nafikiri wewe unamfahamu aliyeacha Upadri ni Slaa pekee - Nena Rome kakutane na mapadri walioacha matajiri - ni heri anayeacha kuliko anayebakia halafu mchafu
 
Wee fuatilia post zake yeye asipopost uganga basi ramli full kudadavua majini na uganga
Huyo jamaa kang'ang'ania uganga na uchawi na mawazo ya mapepo... Kiufupi akli yake imefungwa kumchunguza shetani....nahsi ni msemaji wake kwa hapa tz....!!! Ni heri kushinda ukimchambua Mungu ili watu wamwelewe kuliko kila sku kuamka na habar mpya za mashetani
 
Nafikiri wewe unamfahamu aliyeacha Upadri ni Slaa pekee - Nena Rome kakutane na mapadri walioacha matajiri - ni heri anayeacha kuliko anayebakia halafu mchafu
Hebu jaribu kusoma tena kwa makini nilichoandika tangu mwanzo.. Inawezekana kabisa unachangia tu kwa kudandia gari kwa mbele... Nisome tena kifungu kwa kifungu aya kwa aya pengine utanielewa
 
Huyo jamaa kang'ang'ania uganga na uchawi na mawazo ya mapepo... Kiufupi akli yake imefungwa kumchunguza shetani....nahsi ni msemaji wake kwa hapa tz....!!! Ni heri kushinda ukimchambua Mungu ili watu wamwelewe kuliko kila sku kuamka na habar mpya za mashetani
Umeitendea haki ID yako.. Perception creates reality.... Hongera sana
Utashinda uchambue Mungu kwa lipi? Yeye si nafaka! Mpaka utake kumchambua... He is the almighty one... Mwenye enzi yote, mwenye mamlaka yote, akatiye mahali pa juu... Utamchambua kwa lipi? Unataka kumfananisha Mungu na shetani... Jaribu kukielewa kitu katika uhalisia wake.... Hasa haya mambo ya kiroho
Ninyi ndio wale mnaposali mnasema tunakubariki. Mungu! Pyuu... Yeye ndio hugawa hizo baraka kisha mnataka tena kumbariki kwa usafi na ukamilifu gani mlionao?
 
Kiongozi nimeyajua mengi sana kupitia mada hii. Ukweli unajionyesha tena sana tu na hao wanaobeza ni miongoni mwa makundi na wafuasi wa ndio mzee. Lakin Dr Slaa kapoteza muelekeo wa maisha. Achana na wanaobishana na ukweli kuufanya uwe uongo
 
al these opinions over nathiri is non-sense. Mwenyezi Mungu sio shetani. Dr slaa aliona hayawezi basi akaishia njiani.Hizi dini ni upuuzi uliotukuka.
 
Kiongozi nimeyajua mengi sana kupitia mada hii. Ukweli unajionyesha tena sana tu na hao wanaobeza ni miongoni mwa makundi na wafuasi wa ndio mzee. Lakin Dr Slaa kapoteza muelekeo wa maisha. Achana na wanaobishana na ukweli kuufanya uwe uongo
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Hivi nyie mnaomchukia Dr Slaa huwa siwaelewi kabisa, nipeni sababu kubwa ya kumchukia Dr
 
K
mshana jr

I cant believe CHADEMA mnaimba nyimbo zile zile tulizozizowea kuzisikia kutoka kwa wanaCCM dhidi ya Dr Slaa,kisa?kapishana na Mbowe.Ila sishangai,yalianza kwa Dr Kaborou,akaja Wangwe,Zitto akafuatia na sasa ni zamu ya Dr Slaa,nani atafuatia?Oh yeah ni yule atakayepishan na --------- Mbowe.[/Ukweli mtupu
 
Back
Top Bottom