Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 6,204
- 5,069
Inauma sana mnajifanya ni watetezi wa wanyonge kumbe majizi na mafisadi ndio wafadhili wenuHizi story za genge la wahuni ifike mahali mbadilishe tune maana hazilipi tena
Inauma sana mnajifanya ni watetezi wa wanyonge kumbe majizi na mafisadi ndio wafadhili wenuHizi story za genge la wahuni ifike mahali mbadilishe tune maana hazilipi tena
Kweli mkuu, ukishaona watu wanaaza kutukana na kashfa badala ya kupinga kwa hoja, hii ni dalili ya kuishiwa na kutojia la kufanya na sasa wanataka kuaribu tu bila sababu za msingi. Watakaa tu maana CDM inazidi kua juu kila kukicha na Mungu yu pamoja nasi daima.Mngejibu kwa hoja za mtazamo wa kiroho... Ila kwakuwa hamjui mjibu nini ndio maana mnaishia kuleta mipasho kashfa na matusi na hizi ndio dalili za mshindwa
Vyovyote vile mtaavyosema havitakaa vibadili ukweli wa nilichoandika
Mmesahau sakata la kumsafisha jizi lowasaHebu njoo na ushahidi unaoeleweka acha kupayuka
Bora umejitambua mapema tafuta level yakoNaona tuko level mbili tofauti kwahiyo hatuwezi kwenda sawa
Kwa hiyo unafanya mapinduzi kwa kumfukuza mwenye thread!!!Bora umejitambua mapema tafuta level yako
Aeleweki so aachie uzi analeta propaganda za kidini kumbe ni siasa za chukiKwa hiyo unafanya mapinduzi kwa kumfukuza mwenye thread!!!
Mngejibu kwa hoja za mtazamo wa kiroho... Ila kwakuwa hamjui mjibu nini ndio maana mnaishia kuleta mipasho kashfa na matusi na hizi ndio dalili za mshindwa
Vyovyote vile mtaavyosema havitakaa vibadili ukweli wa nilichoandika
Bado unakwenda nje ya mada ndugu yangu na kuingiza vitu vingine kabisa vyenye tuhuma za kitoto mno zilizokosa ithibati kwa miaka kumi sasaKama hujui namna wakatoliki wanavyopewa daraja la upadre na namna wanavyoruhusiwa kuondolewa viapo vya daraja hilo heri ukae kimya. Dr Slaa alifuata taratibu zote za kuondolewa viapo hivyo na sasa anaishi kama mlei wa kawaida mwenye haki zote za kisheria. Kwa hiyo hakuna laana yoyote inayomtafuna. Ana misimamo yake ya maisha na ametuonyesha alipokataa kula matapishi yake wakati Mbowe na wenzake walipolamba ya kwao kuhusu kupiga vita ufisadi.
Chadema ya Dr Slaa siyo hii ya leo ambayo hata neno ufisadi hawathubutu kulitamka hadharani na hata kwenye website ya chama wameondoa ile orodha ya mafisadi papa ambao wamefadhili hata kampeni yao ya urais. Shame on them.
Bado unakwenda nje ya mada ndugu yangu na kuingiza vitu vingine kabisa vyenye tuhuma za kitoto mno zilizokosa ithibati kwa miaka kumi sasa
Kama wewe ni mtu wa kufuatilia mambo hebu fanya hivi install app yoyote kwenye simu yako kisha iondoe, I kisha Indo kayo (uninstall) utaona huwa inabakisha mb zisizo na tija
Kwa jicho la kiroho ni kwamba hata ufuate taratibu zote za kuondoa viapo na nadhiri, lakini ukweli unabaki kuwa ile roho uliyoapa kuitumikia hubaki na kuandamana nawe milele
Nina hakika hujaelewa hata chembe kile nilichoandikaWewe unawahukumu watu na kuwa na macho ya kiroho ni nani na nani kakupa wadhifa huo.? Kwa taarifa yako Dr Slaa anaishi maisha mazuri huko aliko labda hata kuliko wewe. Hata kama angekuwa na maisha mabaya inakuhusu nini wewe. Mwenyezi Mungu ni mwingi wa rehema na ndiyo maana mvua ikinyesha au jua likiwaka halibagui wema na wabaya. Nashukuru Dr Slaa katuonyesha kuishi kwa misimamo isiyoyumba.
Tulishafunga mjadala wake
Nina hakika hujaelewa hata chembe kile nilichoandika
Kumbe jamaa empty set, yaani mshikaji gazeti lote uliloandika pumba tupu. Nimekudharau sana kenge. Lete hoja zenye mashiko, huu siyo muda wa kuleta porojo na kujadili watu.Kwanza tufahamu kuwa yaliyotokea na yanayotokea hayana budi kutokea na hakuna mwenye uwezo wa kuyazuia yasitokee.
Pili yote anayoyafanya Kwasasa Slaa hana hiari nayo si kwa maana ya ccm au wale wanaomfadhili kwa sasa bali ni laana ya kiapo na nadhiri zake...hawa wanaomfadhili ni kiambishi tu cha nguvu iliyo nje ya uwezo wa kibinadamu .
Slaa anateswa na haiba na kiapo, nadhiri na ahadi ya kutumikia kiapo.. Nimekutana na viapo Nimeishi maisha ya viapo lakini SIKUAPA. viapo ni vibaya na viapo havifi na kuviuwa kunahitaji mlolongo mrefu na wenye mambo mengi.
Slaa Aliitwa kwa wito kuonyesha na kutumia vipawa vyake kwa njia ya upadri akakubali na kupokea mpaka daraja la upadirisho mbele ya mimbari takatifu...aliingia mkataba na Mungu na kukamilisha wito.
Bahati mbaya sana akakengeuka nakuanguka moja kwa moja na tangu hapo viapo nadhiri na laana vikaanza kumuandama.
Siasa sio dini siasa ni propaganda siasa ni unafiki siasa haina kweli na Siasa haiongozwi na roho mtakatifu.
Kwa laana ile ya kiapo na nadhiri akajikuta anaangukia kwenye Ulimwengu wa mapepo na roho za kutangatanga.. Na tangu hapo ameendelea kutangatanga kuanzia kwenye mahusiano mpaka kwenye maisha.
Hakuna ambacho ameweza kufanya kikakamilika, amekosa ndoa takatifu amekosa maisha ya kudumu Kwenye siasa amekosa Kuacha Heshima na historia ya kutukuka kwenye lolote alilolifanya.
Kila alipoanza alianza vizuri kwa mafanikio na kupendwa sana lakini mwishoni kila kitu kikaenda kombo na kugeuka ubatili.... Kiapo kinamtesa.. Na haya ndio atakuwa maisha yake mpaka kaburini .
Viapo ni vibaya hakikisha unatengua kama hutaki kuendelea nacho viapo vina roho na roho haifi, mengi mabaya yatamtokea Dr na hii ni kanuni ya kidunia katika Ulimwengu wa roho.