Kwa jicho la kiroho: Sakata la Dr. Slaa

Kwa jicho la kiroho: Sakata la Dr. Slaa

Naogopa sana hiyo laani unayomuombea Dr Silaa isije ikakupata wewe, familia na ukoo wako.
 
Hivi mtu mwenye akili anawezaje kutetea na kumtetea Fisadi?
 
Kwanza tufahamu kuwa yaliyotokea na yanayotokea hayana budi kutokea na hakuna mwenye uwezo wa kuyazuia yasitokee.

Pili yote anayoyafanya Kwasasa Slaa hana hiari nayo si kwa maana ya ccm au wale wanaomfadhili kwa sasa bali ni laana ya kiapo na nadhiri zake...hawa wanaomfadhili ni kiambishi tu cha nguvu iliyo nje ya uwezo wa kibinadamu .

Slaa anateswa na haiba na kiapo, nadhiri na ahadi ya kutumikia kiapo.. Nimekutana na viapo Nimeishi maisha ya viapo lakini SIKUAPA. viapo ni vibaya na viapo havifi na kuviuwa kunahitaji mlolongo mrefu na wenye mambo mengi.

Slaa Aliitwa kwa wito kuonyesha na kutumia vipawa vyake kwa njia ya upadri akakubali na kupokea mpaka daraja la upadirisho mbele ya mimbari takatifu...aliingia mkataba na Mungu na kukamilisha wito.

Bahati mbaya sana akakengeuka nakuanguka moja kwa moja na tangu hapo viapo nadhiri na laana vikaanza kumuandama.

Siasa sio dini siasa ni propaganda siasa ni unafiki siasa haina kweli na Siasa haiongozwi na roho mtakatifu.

Kwa laana ile ya kiapo na nadhiri akajikuta anaangukia kwenye Ulimwengu wa mapepo na roho za kutangatanga.. Na tangu hapo ameendelea kutangatanga kuanzia kwenye mahusiano mpaka kwenye maisha.

Hakuna ambacho ameweza kufanya kikakamilika, amekosa ndoa takatifu amekosa maisha ya kudumu Kwenye siasa amekosa Kuacha Heshima na historia ya kutukuka kwenye lolote alilolifanya.

Kila alipoanza alianza vizuri kwa mafanikio na kupendwa sana lakini mwishoni kila kitu kikaenda kombo na kugeuka ubatili.... Kiapo kinamtesa.. Na haya ndio atakuwa maisha yake mpaka kaburini .

Viapo ni vibaya hakikisha unatengua kama hutaki kuendelea nacho viapo vina roho na roho haifi, mengi mabaya yatamtokea Dr na hii ni kanuni ya kidunia katika Ulimwengu wa roho.

Umesema ukweli mtupu kiapo ni roho na roho haifii asante sana ubarikiwe
 
Inafahamika kwamba Dr. Wilbroad Slaa kablaya kuingia kwenye siasa alikuwa ni “Catholic Priest” na Jesuiti. Katikaharakati zake hasa dhidi ya chama chake cha Chadema na umoja wa vyamavinavyounda uka umenifanya nitakafakari kwa kina juu ya sifa, tabia na lengokuu la Majesuiti katika kuishepu historia ya dunia.

Ifahamike kwamba kwa bandiko hili, sinakusudio lolote la kukashifu dini ya mtu, lah! Natamani tu tupate nafasi yakulingalia suala hili kwa picha pana zaidi ya tarehe 25 Oktoba.

Ninafahamu kwamba Dr. Slaa anasema kwambaaliachana na Padre, lakini sijawahi kusikia akisema kwamba aliachana naUjesuiti. Kwasababu Jesuiti ni cheo au chama chenye mrengo mkubwa zaidi ya ulewa moja kwa moja wa kidini. Hebu tuangalie kwa kifupi sehemu ya kiapo chaJesuiti na mwisho nitafanya hitimisho kwamba Dr. Slaa yupo kwenye “mission”zaidi ya ile ya kisiasa. Kwahiyo, kila hatua anayoifanya si ya kuipuuza. Piakuna uwezekano mkubwa kwamba anayemfinance Dr. Slaa wala sio CCM kwani kunauwezekano akawa ana-access ya pesa nyingi zaidi “kutokana na cheo chake kamaJesuit”. Nina haki ya kufikiria hivyo mpaka pale atakapo jitokeze kutujulishakwamba pesa alizotumia kufinance Press-conference yake aliipata wapi auakithibitish vinginevyo.

Hebu tuangalie sehemu ya kiapo chaMajesuiti kwa kifupi.

Kiongozianamwambia Jesuiti mpya maneno haya:

You have been taught to insidiouslyplant the seeds of jealousy and hatred between communities, provinces, statesthat were at peace, and incite them to deeds of blood, involving them in warwith each other, and to create revolutions and civil wars in countries thatwere independent and prosperous, cultivating the arts and the sciences andenjoying the blessings of peace. To take sides with the combatants and to actsecretly with your brother Jesuit, who might be engaged on the other side, butopenly opposed to that with which you might be connected, only that the Churchmight be the gainer in the end, in the conditions fixed in the treaties forpeace and that the end justifies the means.

You have been taught your duty as aspy, to gather all statistics, facts and information in your power from everysource; to ingratiate yourself into the confidence of the family circle ofProtestants and heretics of every class and character, as well as that of themerchant, the banker, the lawyer, among the schools and universities, inparliaments and legislatures, and the judiciaries and councils of state,and to be all things to all men, for the Pope's sake, whose servants we areunto death…

Kwa kuangalia sehemu ya kiapo, ambacho kamaJesuiti, ninaamini alikula, naamini kwamba Dr. Slaam si wa kupuuza.

Sehemu ya maneno ambayoJesuiti anayasema kama sehemu ya kiapo chake:

I do further promise and declare,that I will have no opinion or will of my own, or any mental reservationwhatever, even as a corpse or cadaver (perinde ac cadaver), but will unhesitatingly obey each and everycommand that I may receive from my superiors in the Militia of the Pope and ofJesus Christ.

Mwaka 2008 Papa Benedict aliandika baruakwa Majesuiti akiwakumbusha kiapo chao cha kumtumikia Papa kwa kwa utii kamamaiti. Barua hiyo yote inapatikana katika website ya Vatcan, unaweza ukaisomayote hapa Letter to Father Peter-Hans Kolvenbach on the occasion of the 35th General Congregation of the Society of Jesus (January 10, 2008) | BENEDICT XVI

To Reverend Father Peter-Hans Kolvenbach, S.J.,
Superior General of the Society of Jesus

"To serve as a soldier of God beneath the banner of theCross and to serve the Lord alone and the Church, his spouse, under the RomanPontiff, the Vicar of Christ on earth" (Apostolic Letter ExposcitDebitum, 21 July 1550). This is a "particular" fidelity,sanctioned for many of you by a vow of immediate obedience to the Successor ofPeter "perinde ac cadaver". Today, the Church is still particularlyin need of this fidelity of yours which constitutes the badge of your Order,..”

Kiapokinaendelea kwa Jesuiti kusema maneno haya:

“I furthermore promise and declarethat I will, when opportunity present, make and wage relentless war, secretlyor openly, against all heretics, Protestants and Liberals, as I am directed todo, to extirpate and exterminate them from the face of the whole earth; andthat I will spare neither age, sex or condition; and that I will hang, waste,boil, flay, strangle and bury alive these infamous heretics, rip up thestomachs and wombs of their women and crush their infants' heads against thewalls, in order to annihilate forever their execrable race. That when the samecannot be done openly, I will secretly use the poisoned cup, the strangulatingcord, the steel of the poniard or the leaden bullet, regardless of the honor,rank, dignity, or authority of the person or persons, whatever may be theircondition in life, either public or private, as I at any time may be directedso to do by any agent of the Pope or Superior of the Brotherhood of the HolyFaith, of the Society of Jesus.”

Pia kama sehemu ya kiapo, Jesuiti anakubalikuuwawa ikiwa atavunja kiapo chake. Na Jesuiti anasema maneno haya:

“In confirmation of which, I hereby dedicate my life, my soul andall my corporal powers, and with this dagger which I now receive, I willsubscribe my name written in my own blood, in testimony thereof; and should Iprove false or weaken in my determination, may my brethren and fellow soldiersof the Militia of the Pope cut off my hands and my feet, and my throat from earto ear, my belly opened and sulphur burned therein, with all the punishmentthat can be inflicted upon me on earth and my soul be tortured by demons in aneternal hell forever!”

KwakuwaDr. Slaa bado yupo hai, nashawishika kuamini kwamba bado anatii kiapo chake naanakisimamia bila kujalisha kwamba ni Padre au sio Padre, ni CDM au sio CDM, auni CCM au sio CCM. Anafanya kazi katika rangi zozote kwa manufaa ya Kanisa.

Ikiwautataka kusoma kiapo chote cha Majesuiti, unaweza ukaangalia hapa Jesuit Extreme Oath of Induction

Nasisitiza kwamba Dr. Slaa si wa kumpuuza!!

Mkuu naomba jina la hicho kitabu kwenye profile pic yako
 
Sio Mbowe kwa wenye kufikiri kwa makini. Slaa ni mkiristo mzuri kuliko wengi wakristo maana alifikia ngazi ya Upadri. Hivyo anaijua vizuri Biblia. Kutokana na Biblia kuna yafuatayo:
1. Upatapo hasira jua linachomoza usikae na hasira hiyo hadi jua likazama.
2. Dhambi hata iwe nyekundu kama damu ukitubu inakuwa nyeupe kama karatasi.
3. Sauli alikuwa mwiba mkali kwa wafuasi wa Yesu, aliua kupindukia baadae akageuka na kuwa mtume.
4. Mussa alikaa kwa faraho akiwatesa Waisrael lakini ndiye aliongoza msafara wao kuwapeleka kuelekea nchi ya ahadi japo hakuwafikisha.
5. Yapo mengi.
Musa alifukuzwa Misri kwa kumsaidia myahudi aliyekuwa anateswa na mmisri nenda kasome biblia yako vizuri usilite pumba mbele za watu
 
Kwanza tufahamu kuwa yaliyotokea na yanayotokea hayana budi kutokea na hakuna mwenye uwezo wa kuyazuia yasitokee.

Pili yote anayoyafanya Kwasasa Slaa hana hiari nayo si kwa maana ya ccm au wale wanaomfadhili kwa sasa bali ni laana ya kiapo na nadhiri zake...hawa wanaomfadhili ni kiambishi tu cha nguvu iliyo nje ya uwezo wa kibinadamu .

Slaa anateswa na haiba na kiapo, nadhiri na ahadi ya kutumikia kiapo.. Nimekutana na viapo Nimeishi maisha ya viapo lakini SIKUAPA. viapo ni vibaya na viapo havifi na kuviuwa kunahitaji mlolongo mrefu na wenye mambo mengi.

Slaa Aliitwa kwa wito kuonyesha na kutumia vipawa vyake kwa njia ya upadri akakubali na kupokea mpaka daraja la upadirisho mbele ya mimbari takatifu...aliingia mkataba na Mungu na kukamilisha wito.

Bahati mbaya sana akakengeuka nakuanguka moja kwa moja na tangu hapo viapo nadhiri na laana vikaanza kumuandama.

Siasa sio dini siasa ni propaganda siasa ni unafiki siasa haina kweli na Siasa haiongozwi na roho mtakatifu.

Kwa laana ile ya kiapo na nadhiri akajikuta anaangukia kwenye Ulimwengu wa mapepo na roho za kutangatanga.. Na tangu hapo ameendelea kutangatanga kuanzia kwenye mahusiano mpaka kwenye maisha.

Hakuna ambacho ameweza kufanya kikakamilika, amekosa ndoa takatifu amekosa maisha ya kudumu Kwenye siasa amekosa Kuacha Heshima na historia ya kutukuka kwenye lolote alilolifanya.

Kila alipoanza alianza vizuri kwa mafanikio na kupendwa sana lakini mwishoni kila kitu kikaenda kombo na kugeuka ubatili.... Kiapo kinamtesa.. Na haya ndio atakuwa maisha yake mpaka kaburini .

Viapo ni vibaya hakikisha unatengua kama hutaki kuendelea nacho viapo vina roho na roho haifi, mengi mabaya yatamtokea Dr na hii ni kanuni ya kidunia katika Ulimwengu wa roho.
Thank you for telling us what we wanted to hear from you, as we say now "mabadiriko-Lowasa Lowasa-mabadiriko".
Lets go cheer up to full fill Lowasa's dream.
 
Thank you for telling us what we wanted to hear from you, as we say now "mabadiriko-Lowasa Lowasa-mabadiriko".
Lets go cheer up to full fill Lowasa's dream.

Nation's dream through UKAWA..! LOWASA IS JUST THE PART OF IT
 
Kwanza tufahamu kuwa yaliyotokea na yanayotokea hayana budi kutokea na hakuna mwenye uwezo wa kuyazuia yasitokee.

Pili yote anayoyafanya Kwasasa Slaa hana hiari nayo si kwa maana ya ccm au wale wanaomfadhili kwa sasa bali ni laana ya kiapo na nadhiri zake...hawa wanaomfadhili ni kiambishi tu cha nguvu iliyo nje ya uwezo wa kibinadamu .

Slaa anateswa na haiba na kiapo, nadhiri na ahadi ya kutumikia kiapo.. Nimekutana na viapo Nimeishi maisha ya viapo lakini SIKUAPA. viapo ni vibaya na viapo havifi na kuviuwa kunahitaji mlolongo mrefu na wenye mambo mengi.

Slaa Aliitwa kwa wito kuonyesha na kutumia vipawa vyake kwa njia ya upadri akakubali na kupokea mpaka daraja la upadirisho mbele ya mimbari takatifu...aliingia mkataba na Mungu na kukamilisha wito.

Bahati mbaya sana akakengeuka nakuanguka moja kwa moja na tangu hapo viapo nadhiri na laana vikaanza kumuandama.

Siasa sio dini siasa ni propaganda siasa ni unafiki siasa haina kweli na Siasa haiongozwi na roho mtakatifu.

Kwa laana ile ya kiapo na nadhiri akajikuta anaangukia kwenye Ulimwengu wa mapepo na roho za kutangatanga.. Na tangu hapo ameendelea kutangatanga kuanzia kwenye mahusiano mpaka kwenye maisha.

Hakuna ambacho ameweza kufanya kikakamilika, amekosa ndoa takatifu amekosa maisha ya kudumu Kwenye siasa amekosa Kuacha Heshima na historia ya kutukuka kwenye lolote alilolifanya.

Kila alipoanza alianza vizuri kwa mafanikio na kupendwa sana lakini mwishoni kila kitu kikaenda kombo na kugeuka ubatili.... Kiapo kinamtesa.. Na haya ndio atakuwa maisha yake mpaka kaburini .

Viapo ni vibaya hakikisha unatengua kama hutaki kuendelea nacho viapo vina roho na roho haifi, mengi mabaya yatamtokea Dr na hii ni kanuni ya kidunia katika Ulimwengu wa roho.

Nilikuwa natafuta namna ya kueleza hili,lakini ulivyoliweka umefiukia ukweli kwa 89%.ndivyo ilivyo na huyu mzee ni mchicha jangwani kipindi cha mvua.
 
Nilikuwa natafuta namna ya kueleza hili,lakini ulivyoliweka umefiukia ukweli kwa 89%.ndivyo ilivyo na huyu mzee ni mchicha jangwani kipindi cha mvua.

Naona kurejea anajaribu kufurukuta kwa mara ya mwisho atapanda kwenye majukwaa ya ACT kuwanadi wagombea wa ACT, lakini si kuwanadi bali kuendeleza mipasho kwa LOWASA na kumsema vibaya.. Hii ni roho ya chuki iliyopitiliza
Huu ni uthubutu wenye kasoro kubwa, sasa slaa kaamua kumtumikia shetani kwa uwazi na bila kificho anguko lake la moja kwa moja sasa ni dhahiri 1444180991456.jpg
Ana kiburi ana majivuno.. Haya huja kabla ya anguko kuu na la moja kwa moja kisiasa na asipokuwa makini kijamii kwakuwa kidini hilo limekwishatokea.... Kiapo chake bado kinamuandama
 
uwezo wangu katika kupambanua jambo haulingani na uwezo wako unaoendeshwa na hisia za kisiasa. hivyo sihitaji kukujibu katika hilo. kama unajua kinachomsababisha kusahau kila wakati basi kaulize parkinson disease huathiri nini na kwa nini nimesema lowasa anaumwa. endelea na imani yako ya kuwa upo kwenye njia sahihi.
once unapojiona unajua zaidi kiasi kwamba huwezi kuongea na baadhi ya watu unaodhani unawazidi uwezo wa kupambanua mambo,nadhani huwa ni dalili ya kuchoka kufikiri!Ungekuwa hujachoka kufikiri,ningekwambia ufikirie iwapo leo ungekuwa unajadili na mzazi ambae hajaenda shule,ama umerudi kijijini kwenu,ungeongea nini na wanajamii ambao wengi wao kutokana na kukosa elimu hawana uwezo mkubwa wa kupambanua mambo?
 
Principle moja alioitoa Yesu ni hii; huwezi kuwatumikia mabwana wawili yaani Mungu na Fedha. Nilidhani angemtaja shetani contrary akaitaja fedha. Na mahala fulani pameandikwa hivi nimekusafisha sana lakini si kama fedha. Fedha INA hatari na wengi hupoteza utumishi wao uliotukuka sababu ya fedha. Tujifunze fedha sio kila kitu ila fedha ni kitu. Tutawale maisha yetu kwa kumruhusu Yesu awe kila kitu. Nawasilisha!!!!!!
 
Slaa kalisahau hili kwa makusudi anapotosha au pengine ni kile kiapo ndio kinamtesa
 
Naona kurejea anajaribu kufurukuta kwa mara ya mwisho atapanda kwenye majukwaa ya ACT kuwanadi wagombea wa ACT, lakini si kuwanadi bali kuendeleza mipasho kwa LOWASA na kumsema vibaya.. Hii ni roho ya chuki iliyopitiliza
Huu ni uthubutu wenye kasoro kubwa, sasa slaa kaamua kumtumikia shetani kwa uwazi na bila kificho anguko lake la moja kwa moja sasa ni dhahiriView attachment 295416
Ana kiburi ana majivuno.. Haya huja kabla ya anguko kuu na la moja kwa moja kisiasa na asipokuwa makini kijamii kwakuwa kidini hilo limekwishatokea.... Kiapo chake bado kinamuandama
Umevurugwa mzazi yaan chadomo ni genge la wahuni
 
sasa nimeamini ccm ni kiboko. yaani chadema chini ya mwamvuli wa ukawa wametekenywa wakatekenyeka. hivi jaman tumefumba macho kiasi gani tusione mchezo wanaoucheza ccm na lowasa! lowasa anajua anaumwa na kaja makusudi ili kupunguza nguvu ya upinzani. jamani hii kiboko. sasa naamini lowasa kiboko.
Acha kuropoka..ndio umeandika nini sasa?
 
Back
Top Bottom