Nikikumbuka alichotaka kumfanyia Lissu pale ubalozi wa EU.Bora hata hao wana uhuru wa kuapishana, kwenda mahakamani nakadhalika.
Hapa Danganyika huruhusiwi kwenda mahakamani hata kama Rais kakwapua uchafuzi mzima yeye ndiye mwenye mamlaka hata kama haramu.
Hapa kwetu kujiapisha ni kosa la uhaini. Kenya mtu anajiapisha kama Rais hakuna kosa la uhaini na wametuzidi uchumi.