Wakenya ni watu maskini sana ukifanya comparison na watanzania.Wakenya wako smart najaribu kuwaza tu kama wangekuwa hawana kadhia ya ukabila wangekuwa mbali kiasi gani ,naamini wangekuwa 5 bora kiuchumi Africa
Afe Tena huko alikoMoto uongezwe tu huko aliko
Yule kule alipo anatakiwa afe tenaTufanye Hayati Magufuli (JPM) hakuamrisha shambulio la Lissu.
Tufanye JPM hakuhusika na upoteaji wa Ben saanane.
Tufanye JPM hakupokonya watu pesa zao kinguvu kwenye akaunti zao.
Tufanye hakuna familia zilizoathirika na wazazi wao kufukuzwa kazi kionezi.
Tufanye hakuna watu waliofunguliwa kesi za kubambikia na uonevu.
Tufanye hakuna watu waliopotea na kutupwa baharini kwenye viloba.
Tufanye JPM hakufanya lolote baya katika hayo niliyoyataja!
Lakini kwà namna ya uwazi wa uchaguzi wa kenya ulivyoendeshwa bila hata kuzima intanet.
Nawasihi familia ya Hayati Magufuli imuombee toba mbele za Mungu!
Makarani wasensa hamruhusiwi kuingia na simu ukumbini we umewezaje?Wakenya ni watu maskini sana ukifanya comparison na watanzania.
Demokrasia hiyo unayoiona wewe walijifunza kwetu baada ya kuuana sana kila chaguzi.
halafu watu huwa wanapinga matokeo na sio uchaguzi.
Ngoja kwanza wamalize mchakato wote mpaka kuapishwa kwa Rais wao ndio uwapongeze.
🤣🤣🤣🤣 si misitu itaisha... kuni zote izo.Moto uongezwe tu huko aliko
Neno baya likimtoka mkuu wa nchi, iwe nuruni au gizani, ni baya kuliko shehena isiyo na idadi ya makombora hatari ikilengwa raia.Mkuu
Rais hashiki silaha za kumuua mtu!
Pia anaelekezwa masuala ya kiusalama!
Ni mgeni kabisa kwenye usalama na anaelekezwa tu na baadhi ya mambo ya mfumo hufanywa bila maelekezo yake!!
Swala la Demokrasia Sio la Rais pekee ni mfumo wa nchi yetu kuanzia kwenye katiba Hadi kwenye mamlaka ambapo mamlaka waliamua eti ccm iwe kama Dini,mzimu na mwiko wa kudumu ambao utalindwa kwa gharama yeyote ile!!
Sisi kama nchi mamlaka yetu iliamua ccm iwepo Hadi leo madarakani Hadi pale mamlaka itakapoamua tena vinginevyo wala Sio sanduku la kura!Na Katika kujiandaa kuja kwa demokrasia ya kupika ndio mamlaka imeamua katiba KWANZA IPATIKANE Baada ya changamoto za 2020!
Katiba ikishapatikana tu na mamlaka itaamua Sasa mstakabali wa siasa ZETU ndipo CCM itaamua KUZAA vyama vingine na yenyewe kufa kibudu coz inajua haiwezi chomoka kwa katiba mpya itakayo patikana!!
Tatizo halikuwa jpm bali mfumo uliopo Ndio Tatizo
Sisi tunaimba
"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
Manina. Baada ya kifo ni hukumu.Tufanye Hayati Magufuli (JPM) hakuamrisha shambulio la Lissu.
Tufanye JPM hakuhusika na upoteaji wa Ben saanane.
Tufanye JPM hakupokonya watu pesa zao kinguvu kwenye akaunti zao.
Tufanye hakuna familia zilizoathirika na wazazi wao kufukuzwa kazi kionezi.
Tufanye hakuna watu waliofunguliwa kesi za kubambikia na uonevu.
Tufanye hakuna watu waliopotea na kutupwa baharini kwenye viloba.
Tufanye JPM hakufanya lolote baya katika hayo niliyoyataja!
Lakini kwà namna ya uwazi wa uchaguzi wa kenya ulivyoendeshwa bila hata kuzima intanet.
Nawasihi familia ya Hayati Magufuli imuombee toba mbele za Mungu!
CCM wajanja sana,wanajuwa wanawaoongoza wengi mapoyoyo,eti Sasa hivi ubaya wote waliofanya kipindi cha Magu,lawama zote wameamuwa kumtupia Mwendazake ili wao waendelee kudonyowa kibingwa!!!Mkuu