Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,195
Hapo juu ni Jengo la kisasa la Makumbusho ya Hayati Magufuli likiwa katika hatua za mwisho kwa kukamilishwa kwake.
Mapema leo, Rais Samia ametembelea na kukagua ujenzi wa Makumbusho lile/hayo ili kujionea mwenyewe hatua zilizofikiwa.
Kwa hilo la kumuenzi Hayati Magufuli kwa kumjengea Makumbusho ya kisasa hakika Rais Samia anastahili pongezi za dhati!
Vilevile, Rais Samia ametembelea kaburi la Hayati Magufuli.