kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 6,784
- 13,012
Wakati wenzio wanasoma wewe ulikua unashinda porini ukila mapera kama ngedere,matokeo yake shule ikakushinda ukaishia kufoji vyeti.Magufuli alivyokutumbua kwa vyeti feki umejenga chuki mpaka kwa kaburi lake . patheticRubbish,kwamba tutakuwa tunakumbuka nini kumhusu Mwendazake?
Nchi hii inapenda Sana kutumia pesa kwenye mambo ya kijinga na kutumia akili vibaya kwa mambo ya hovyo hovyo..