Skylar
JF-Expert Member
- Nov 10, 2021
- 2,273
- 5,385
Kwa sababu tunapeleka fedha kwenye mambo yasiyo na msingi huku wananchi wakiumia kwa tozo na kodiKwanini
Kwa kifupi kama nchi hatuna vipaumbele
Kwa sababu tunapeleka fedha kwenye mambo yasiyo na msingi huku wananchi wakiumia kwa tozo na kodiKwanini
Kwa hiyo tutegemee kuwa na makumbusho mengi sana nchini, hapa tunasubiria ya Mzee Kikwete, Mwinyi, Samia mwenyewe and the list goes on...ya Hayati mzee wetu Nyerere yapo Butiama. Kuhusu ya mzee wetu Hayati Mkapa nadhani yapo Lupaso.
Makumbusho ingebaki moja tu ya mzee Nyerere, hao wengine yabaki tu kuwa makaburi.Kwa hiyo tutegemee kuwa na makumbusho mengi sana nchini, hapa tunasubiria ya Mzee Kikwete, Mwinyi, Samia mwenyewe and the list goes on
Tumuombee asirudi hospitali kwa kuumwa bali aendelee kuwa na afya njema.Nimemuona Mama yake Magufuli Bi Susane kumbe Mungu alimsaidia katoka Hospitali
Makumbusho ni kwa watu mashuhuri waliofanya mambo makubwa kwa nchi zao katika nafasi zao na kuitikisha nchi kwa kuigusa jamii kwa uchanya ili vizazi vijavyo vije kujifunza kutoka kwao...Ni akili kubwa tu ndizo zinazojengewa makumbusho kama Hayati JK Nyerere na sasa Hayati JP Magufuli.Kwa hiyo tutegemee kuwa na makumbusho mengi sana nchini, hapa tunasubiria ya Mzee Kikwete, Mwinyi, Samia mwenyewe and the list goes on
Rubbish,kwamba tutakuwa tunakumbuka nini kumhusu Mwendazake?View attachment 2387809
Hapo juu ni Jengo la kisasa la Makumbusho ya Hayati Magufuli likiwa katika hatua za mwisho kwa kukamilishwa kwake.
Mapema leo, Rais Samia ametembelea na kukagua ujenzi wa Makumbusho lile/hayo ili kujionea mwenyewe hatua zilizofikiwa.
Kwa hilo la kumuenzi Hayati Magufuli kwa kumjengea Makumbusho ya kisasa hakika Rais Samia anastahili pongezi za dhati!
Vilevile, Rais Samia ametembelea kaburi la Hayati Magufuli.
Huu ni ukweli mchungu...Sikuwahi kupongeza hii awamu kwa mambo ya hovyo wanayofanya.Lakini ni kwa hapa naipongeza kwa kumjengea mzalendo tuliyempenda watz 99.9%,aliyepambana na wahuni ambao kwa sasa wameanza kutamba kwenye awamu ya sita na aliyejali masilahi ya nchi na siyo wawekezaji uchwara kama ilivyo sasa
Kwa mwizi na cheti fake kama wewe kauli zako siwezi kuzishangaa,maana ndio ulivyolelewa hadi ukapata janga la kupoteza ubinadamu.Pesa zetu za tozo zinachezewa, kujenga makumbusho ya dikteta, mwizi, katili na muuaji!
Tekaji!Pesa zetu za tozo zinachezewa, kujenga makumbusho ya dikteta, mwizi, katili na muuaji!
Makumbusho ya Hayati Magufuli