Kwa hili Wamarekani wanatudharau

Kwa hili Wamarekani wanatudharau

Alikuja mke wa Bush Zanzibar, basi mawasiliano ya simu yakawa yanapotea, njia zilifungwa watu wasipite. Sometimes unaweza kuona kwanini waliweza kututawala kirahisi

Kama Obama alivyokuja barabara zikasafishwa,watu walijipanga barabarani aisee sijawai kuona rais wa Africa akienda Marekani afu wamarekani waache shughuli zao wajipange barabarani kumshangilia au wafunge barabara ili apite,,,waAfrica inabidi tujifunze kwakweli ndio mana wanatudharau!
 
Rais wetu anakaribia kufunga wiki nchini mwao lakini mwenyeji wake ambaye ndiye mkuu wa nchi hajakutana na mgeni wake(Mh. Rais wetu)

Hii ni dharau...ifike mahali tuwe masikini jeuri, hivi Mh. Biden angefanya ziara nchini Tanzania, kweli Mhe. Rais wetu angekuwa bize na mambo mengine na kuicha hiyo shughuli kwa waandamizi wake?

Ifike mahali wizara ya mambo ya nje wajitafakari pia katika hili.

Hizo Ndizo dhereu sasa,
 
Hilo taifa lipo busy na mambo ya msingi, Uhuru alipoenda alionana na Biden direct, yaani uende kufanya maigizo uonane na Rais wa Marekani au unaota?
 
wee unafikiri rais makini kama Biden anaweza kukutana na raisi kutoka nchi ya kiafrika isiyo heshim uhuru wa kujieleza, demokrasia na haki za binadamu, na yenye kuendekeza ufisadi? wenzentu huwa wanaangalia hivi vitu kwa mapana zaidi
Hiyo aliweza Uhuru Kenyatta peke yake maana naye yupo serious sn na mambo ya msingi
 
Ukifuatilia vizuri utagundua Rais wa Marekani hukutana zaidi na viongozi ambao nchi zao zina demokrasia ya hali ya juu, zina kiwango kikubwa cha biashara na US au zina maslahi makubwa ya kiusalama nayo. Tanzania hatuna bahati zote hizo tatu.
 
Rais wetu anakaribia kufunga wiki nchini mwao lakini mwenyeji wake ambaye ndiye mkuu wa nchi hajakutana na mgeni wake(Mh. Rais wetu)

Hii ni dharau...ifike mahali tuwe masikini jeuri, hivi Mh. Biden angefanya ziara nchini Tanzania, kweli Mhe. Rais wetu angekuwa bize na mambo mengine na kuicha hiyo shughuli kwa waandamizi wake?

Ifike mahali wizara ya mambo ya nje wajitafakari pia katika hili.
Huu ujuha huwa mnautoa wapi? Rais hajaenda USA kuonana na Biden na infact alialikwa na Kamala ..

Kwa hiyo ziara ya Rais Samia US ilikuwa ni kuitikia mualiko wa Kamala,kuzindua Royal tour,ku promote uwekezaji kwa kukutana na wafanyabiashara na mwisho kukutana na kushiriki kwenye mikutano ya IMF/WB.

So issue ya Biden haiko kwenye ajenda,Siku kukiwa na haja ya kuonana na Biden watakutana 👇

Screenshot_20220424-172718.png

Screenshot_20220424-150350.png

Screenshot_20220424-150209.png

Screenshot_20220424-150239.png

Screenshot_20220424-080412.png

Screenshot_20220424-080348.png

Screenshot_20220423-215622.png

Screenshot_20220423-215424.png

Screenshot_20220423-214305.png

Screenshot_20220423-215201.png
 
hupata wageni wengi sana kwa wiki moja wanaweza kuingia Marekani Marais 50
Wa kwetu hata Ikulu ama ofisi ya Biden, sidhani kama ameishakanyaga. Hili ndilo linatukera kwa Marekani kutuchukulia kirahisi hivyo. Kama amekangaya, basi naomba msamaha kwa Wamarekani kwa hilo.
 
Nimetetea nini? Jifunze kwanza kuhusu ziara za rais wa nchi kwenda nchi nyingine utaratibu wa kupokelewa na mwenyeji wake upoje?
Bill Clinton pale vingunguti ilikuwa state visit.
 
Tatizo lenu mnalinganisha ukuu wa America na Tanzania. Chato haiwez linganishwa na DAR!! Biden akienda popote lazima mkuu wa NCHI husika awepo no way, but kwa vinchi vichanga kama sisi is not necessary!!
 
Acha uongo leta ushahidi kama wametudharau
We unajua viongoz wetu hawa wajui wazungu jinsi walivyo Sisi watu wa hari ya chini ndiyo tunazijua tabia za wazungu, wachina waarabu na wa Hindi kwasababu tunaishi nao kwa ukaribu Sanaa kwaiyo tunawajua tabia zao na jinsi wanavyo tuwaza akilini mwao na wanavyo tuchukulia wa Africa. Sasa hawa viongoz wetu hawa wajui watu weupe kiundani kwasababu hawaja wai kufanya nao kazi ujanani mwao wala kuishi nao mfano Mwinguru, Mama Samia kaanza kuwanao karibu wazungu ukubwani tena kazini tofauti masikin ambaye kaajiriwa na mzungu kama housegirl, shamba boy, mlinzi kwaiyo vijana kama awa lazima watakuwa wanajua tabia zao mfano wanaofanya kaz na wachina wanawajua wachina tabia zao za wizi tena wa vitu vidogo tena wachina wana njaa Sana Sasa mama Samia akienda China akiona magorofa anajua wachina Wana Manisha mazur siyo wezi watamsaidia nchi ipige atua kitu ambacho hakipo na hakita kuwepo, kwaiyo mkuu nakwambia watu weupe Wana tudharau Sana watu weusi Wana amini hatujui chochote na hawasikilizi ushauri wowote ule ukitaka ujue we kafanye nao kazi ambayo itakufanya uwepo nao masaa mengi au kafanye kazi kwenye familia zao ata Choo cha familia hurusiiwi kutumia .
 
Mkuu nakusukuru umefafanua vizuri sana.

Mzungu kama mnakutana kwenye madili tu ya pesa huwezi kumjua. Hata mhindi na mwarabu hivyo hivyo. Atajifanya mtu mwema sana
 
Alikuwa bado hajawa Rais madiba wakati anatoa talaka ndio maana 1994 alipoapishwa alikuwa na mwanae mkubwa wa kike kama First Lady
Yes mkuu upo right kwa hilo ila ulitakiwa upate more details, lini President Madiba alim divorce mama Namzamo?,hapo ndipo lipo jibu ya issue yako
 
Rais wetu anakaribia kufunga wiki nchini mwao lakini mwenyeji wake ambaye ndiye mkuu wa nchi hajakutana na mgeni wake(Mh. Rais wetu)

Hii ni dharau...ifike mahali tuwe masikini jeuri, hivi Mh. Biden angefanya ziara nchini Tanzania, kweli Mhe. Rais wetu angekuwa bize na mambo mengine na kuicha hiyo shughuli kwa waandamizi wake?

Ifike mahali wizara ya mambo ya nje wajitafakari pia katika hili.
Hivi Biden aache kuumiza kichwa kwa mambo muhimu ya kiusalama wa Marekani kipindi hiki kigumu cha mdololo wa uchumi na inflation arnde kuonana na mtu aliye busy kuzindua movie!!!!!!!!!!!😲😲😲. Tena ziara yenyewe ameambatana na Rostam rafk yake Kikwete.
 
Inauma sana basi tu hakuna namna, uko kwenye nchi ya mtu for a week and few days mwenye nchi yuko busy junior officers wana takecare, Biden anavyofanya siyo.
 
Ni hivyo sio? Rais wa nchi uingie kwenye nchi nyingine mwenyeji wako asikutambue?
Bado Kuna uchafu wa siasa za Magufuli alizozifanya haujaondolewa kwenye taswira ya nchi kimataifa
Nchi bado inanuka
Huwa dhambi inaondolewa kwa Toba haitoki yenyewe
Asanteni.
Wee mpumbavu nini magufuli kafanya nini
 
Back
Top Bottom