Uliambiwa alikwenda kwenye ziara ya mwaliko au ameenda kutembelea nchi. Hata kumuona makamu wa Rais ilikuwa ni sifa sana kwetu maana Samia hakuwa na mwaliko wa nchi bali alikwenda kuzindua filamu basi. Msichanganye masomo. Rais Carter anapokuja mara nyingi hapa huwa anakaribishwa ikulu? Aliyekuwa waziri mkuu wa uingereza alipokuja mwaka jana alipigiwa mizinga si alikuja kama raia wengine?Acha uji nga! Hebu ifanye hiyo visit iwe ndio ya Joe Biden nchini uone kama Ikulu kutakalika!
Anajidhalilisha na kulidhalilisha taifa! Mwambieni arudie, asiendelee kujikombakomba kuomba kumuona Biden huko!
Du kila kitu Magufuli. Hata hivyo ubongo wako ni kama wa panya, ndo maana una uwezo mdogo wa kufikiri.Ni hivyo sio? Rais wa nchi uingie kwenye nchi nyingine mwenyeji wako asikutambue?
Bado Kuna uchafu wa siasa za Magufuli alizozifanya haujaondolewa kwenye taswira ya nchi kimataifa
Nchi bado inanuka
Huwa dhambi inaondolewa kwa Toba haitoki yenyewe
Asanteni.
How?Kikubwa alichokiendea kimefanikiwa.



Marekani ni nchi iliyokomaa kijasusi na inakuwa na habari za kiintelejensia zisizo na shaka kuhusu tawala nyingi za kiafrika.Rais wetu anakaribia kufunga wiki nchini mwao lakini mwenyeji wake ambaye ndiye mkuu wa nchi hajakutana na mgeni wake(Mh. Rais wetu)
Hii ni dharau...ifike mahali tuwe masikini jeuri, hivi Mh. Biden angefanya ziara nchini Tanzania, kweli Mhe. Rais wetu angekuwa bize na mambo mengine na kuicha hiyo shughuli kwa waandamizi wake?
Ifike mahali wizara ya mambo ya nje wajitafakari pia katika hili.
Hayati magufuli kaingiaje kwenye utumbo wa rais Samia.Ni hivyo sio? Rais wa nchi uingie kwenye nchi nyingine mwenyeji wako asikutambue?
Bado Kuna uchafu wa siasa za Magufuli alizozifanya haujaondolewa kwenye taswira ya nchi kimataifa
Nchi bado inanuka
Huwa dhambi inaondolewa kwa Toba haitoki yenyewe
Asanteni.
🤣🤣🤣🤣 Pesa nyokoRais wetu anakaribia kufunga wiki nchini mwao lakini mwenyeji wake ambaye ndiye mkuu wa nchi hajakutana na mgeni wake(Mh. Rais wetu)
Hii ni dharau...ifike mahali tuwe masikini jeuri, hivi Mh. Biden angefanya ziara nchini Tanzania, kweli Mhe. Rais wetu angekuwa bize na mambo mengine na kuicha hiyo shughuli kwa waandamizi wake?
Ifike mahali wizara ya mambo ya nje wajitafakari pia katika hili.
wewe biden angekuja HATA ZIARA BINAFSI BARABARA ZINGEPIGWA DEKI KWA NDIMI. ACHA UINGO. KUJIPELEKESHA HUKO NI UJINGA KABISA,Kijana una uelewa mdogo sana. Mama kaenda kwa sababu gani? Kaenda kiserikali au kibinafsi? Kaalikwa au kajiendea tu? Unataka mtu aache kazi zake sababu ya mgeni ambaye hana taarifa nae wala mazungumzo nae?
Hata mimi ukija nyumbani kwangu bila taarifa sitakuwa na muda na ww kama nina kazi zangu. Utakaa mwishowe utaondoka kama ulivyokuja.
Bora kajipendekeza rais wako ndio maana hajapokelewa kwa heshimawewe biden angekuja HATA ZIARA BINAFSI BARABARA ZINGEPIGWA DEKI KWA NDIMI. ACHA UINGO. KUJIPELEKESHA HUKO NI UJINGA KABISA,
We 'praise team' uchwara hujitambui! Endeleeni kujitekenya wengewe na kucheka! Kitaeleweka TU! Rais aliye serious na kazi yake hawezi kuwa na muda wa kufanya upuuzi huo! Huyu mama anazungukwa na Kundi la kihuni sana! Na hili ndilo anguko lake!Uliambiwa alikwenda kwenye ziara ya mwaliko au ameenda kutembelea nchi. Hata kumuona makamu wa Rais ilikuwa ni sifa sana kwetu maana Samia hakuwa na mwaliko wa nchi bali alikwenda kuzindua filamu basi. Msichanganye masomo. Rais Carter anapokuja mara nyingi hapa huwa anakaribishwa ikulu? Aliyekuwa waziri mkuu wa uingereza alipokuja mwaka jana alipigiwa mizinga si alikuja kama raia wengine?
Sitajibu yenye matusi naenda kwa hoja.We 'praise team' uchwara hujitambui! Endeleeni kujitekenya wengewe na kucheka! Kitaeleweka TU! Rais aliye serious na kazi yake hawezi kuwa na muda wa kufanya upuuzi huo! Huyu mama anazungukwa na Kundi la kihuni sana! Na hili ndilo anguko lake!
Rubbish!Sitajibu yenye matusi naenda kwa hoja.
Kwahiyo mliona raha saana tulivyotengwa na dunia, wawekezaji wakafunga virago, mtu aliyetaja Covid 19 ipo akafukuzwa au kuhamishwa ofisi wakati mzuiaji wakaanza watu wake wa karibu aliokuwa akikata nao maji ndo akafuata. Mwenzao aliyeponea ndo akaja kutoa ushuhuda. Mnataka turudi huko? Mkapa na Kikwete walikuwa hawazunguki dunia, je nchi ilifikia mahali tulipokuwa 2015-2020? Sisi tulikuwa tusafiri kipindi cha covic 19 hatutaacha kumshukuru Samia. Bila yeye hali ingekuwa tete.
No comment your honour.Rubbish!