Kwa hili Wamarekani wanatudharau

Kwa hili Wamarekani wanatudharau

Rais wetu anakaribia kufunga wiki nchini mwao lakini mwenyeji wake ambaye ndiye mkuu wa nchi hajakutana na mgeni wake(Mh. Rais wetu)

Hii ni dharau...ifike mahali tuwe masikini jeuri, hivi Mh. Biden angefanya ziara nchini Tanzania, kweli Mhe. Rais wetu angekuwa bize na mambo mengine na kuicha hiyo shughuli kwa waandamizi wake?

Ifike mahali wizara ya mambo ya nje wajitafakari pia katika hili.
Hakwenda kwa mwaliko wa Biden. Amekwenda kufanya biashara zetu na so kimyembelea Biden. Simple and clear
 
Halafu sisi hata viongozi wao wastaafu wakija...viongozi wakuu hu hairisha kila kitu na kuwajali wao

Hii ni dharau ya kiwango cha lami
Sio state visit ameenda kuomba tu kilichobaki ili mle makombo
 
Ni hivyo sio? Rais wa nchi uingie kwenye nchi nyingine mwenyeji wako asikutambue?
Bado Kuna uchafu wa siasa za Magufuli alizozifanya haujaondolewa kwenye taswira ya nchi kimataifa
Nchi bado inanuka
Huwa dhambi inaondolewa kwa Toba haitoki yenyewe
Asanteni.
Acheni ujinga wenu udhaifu wa hangaya wenu mhamishie kwa kamanda Anko Magu shame on you CHUKI GANG
 
wee unafikiri rais makini kama Biden anaweza kukutana na raisi kutoka nchi ya kiafrika isiyo heshim uhuru wa kujieleza, demokrasia na haki za binadamu, na yenye kuendekeza ufisadi? wenzentu huwa wanaangalia hivi vitu kwa mapana zaidi
Kwani Biden ndiyo mlengwa wa ziara ya Mama Mkubwa? Mwacheni mama mkubwa achakarike kwa niaba yetu sukuma genge subirini kula vya bule
 
Awamu ya tano iliharibu sana diplomasia za nje, kuteka watu, wizi wa kura, kubambika wapinzani kesi...kwa utawala wa aina ile huwezi kuheshimika nje. Angalao mama anajitahidi kujieleza yeye hakukubaliana na utawala wa hovyo aina ile, wataelewa Sasa hatuko huko.
Sio muda mtaolewa na hao wazungu wenu maana mnavowabudu cjawahi ona
 
Acheni ujinga wenu udhaifu wa hangaya wenu mhamishie kwa kamanda Anko Magu shame on you CHUKI GANG
Kuna vifo viwili vya ndugu zangu vilisababishwa na ule uamuzi wa jeshi kusomba korosho Mtwara, maana Yale majeshi yaliendesha magari kwa mbwembwe bila kuzingatia sheria za barabarani yakagonga na kuua hasa Hadi sasa sijuwi nimlaumu nani?
 
Ni hivyo sio? Rais wa nchi uingie kwenye nchi nyingine mwenyeji wako asikutambue?
Bado Kuna uchafu wa siasa za Magufuli alizozifanya haujaondolewa kwenye taswira ya nchi kimataifa
Nchi bado inanuka
Huwa dhambi inaondolewa kwa Toba haitoki yenyewe
Asanteni.
Je kabla Rais Samia hajaondoka kulitangazwa ataenda kuwaona akina nani zaidi ya kuzindua sinema?
Marekani ni kubwa na Rais ana mambo mengi kuweza kumpachika mtu kwenye ratiba zake wakati na ambaye hayupo kwenye ratiba za mialiko aliyo nayo Rais kila siku.

Samia hakwenda kwenye Ziara rasmi ya kiserikali bali ya kutangaza Tanzania.
 
Rais wetu anakaribia kufunga wiki nchini mwao lakini mwenyeji wake ambaye ndiye mkuu wa nchi hajakutana na mgeni wake(Mh. Rais wetu)

Hii ni dharau...ifike mahali tuwe masikini jeuri, hivi Mh. Biden angefanya ziara nchini Tanzania, kweli Mhe. Rais wetu angekuwa bize na mambo mengine na kuicha hiyo shughuli kwa waandamizi wake?

Ifike mahali wizara ya mambo ya nje wajitafakari pia katika hili.
Ukimchoka mtu mwenye kiherehere Cha kukutembelea mara kwa mara unamwacha TU na hause boy au house girl waangalie tv sebuleni akichoka asepe zake arrrrrk!
 
Acha ushamba wewe mataga unajua maaana ya political stability kwanza!
EeeenHeee!
Jibu hilo maana yake ni kwambaumejifunza kitu hapo!

Haya nenda sasa ukatumie hiyo elimu mpya niliyokupa hapa. Usione aibu, hakuna anayejuwa kila kitu.
Lakini achana na tabia za kipuuzi za ukaidi.
 
Je kabla Rais Samia hajaondoka kulitangazwa ataenda kuwaona akina nani zaidi ya kuzindua sinema?
Marekani ni kubwa na Rais ana mambo mengi kuweza kumpachika mtu kwenye ratiba zake wakati na ambaye hayupo kwenye ratiba za mialiko aliyo nayo Rais kila siku.

Samia hakwenda kwenye Ziara rasmi ya kiserikali bali ya kutangaza Tanzania.
Acha ujinga! Hebu ifanye hiyo visit iwe ndio ya Joe Biden nchini uone kama Ikulu kutakalika!
Anajidhalilisha na kulidhalilisha taifa! Mwambieni arudie, asiendelee kujikombakomba kuomba kumuona Biden huko!
 
Je kabla Rais Samia hajaondoka kulitangazwa ataenda kuwaona akina nani zaidi ya kuzindua sinema?
Marekani ni kubwa na Rais ana mambo mengi kuweza kumpachika mtu kwenye ratiba zake wakati na ambaye hayupo kwenye ratiba za mialiko aliyo nayo Rais kila siku.

Samia hakwenda kwenye Ziara rasmi ya kiserikali bali ya kutangaza Tanzania.
Acha uji nga! Hebu ifanye hiyo visit iwe ndio ya Joe Biden nchini uone kama Ikulu kutakalika!
Anajidhalilisha na kulidhalilisha taifa! Mwambieni arudie, asiendelee kujikombakomba kuomba kumuona Biden huko!
 
Rais wetu anakaribia kufunga wiki nchini mwao lakini mwenyeji wake ambaye ndiye mkuu wa nchi hajakutana na mgeni wake(Mh. Rais wetu)

Hii ni dharau...ifike mahali tuwe masikini jeuri, hivi Mh. Biden angefanya ziara nchini Tanzania, kweli Mhe. Rais wetu angekuwa bize na mambo mengine na kuicha hiyo shughuli kwa waandamizi wake?

Ifike mahali wizara ya mambo ya nje wajitafakari pia katika hili.
ushawahi fikiri kua una rais ktk nchi yako?
 
Unaelewa maana ya ziara rasmi?

Hata kama sio ziara RASMI pia inategemeana na umuhimu wa nchi husika katika STRATEGIC CONFIGURATION ya marekani! Mfano mdogo tu, leo hii Rais wa India MODI angekwenda Marekani hata kama kumtembelea mjukuu wake , nakuhakikishia Rais wa Marekani angefanya kila njia akutane nae!! Tanzania sio muhimu sana , they can do without you as long as Kenya wapo!
 
Halafu sisi hata viongozi wao wastaafu wakija...viongozi wakuu hu hairisha kila kitu na kuwajali wao

Hii ni dharau ya kiwango cha lami
Aliend akuonana na rais au alienda kuzindua filam unafikir watu wanakutana kutana tu bila mpango
 
Ni hivyo sio? Rais wa nchi uingie kwenye nchi nyingine mwenyeji wako asikutambue?
Bado Kuna uchafu wa siasa za Magufuli alizozifanya haujaondolewa kwenye taswira ya nchi kimataifa
Nchi bado inanuka
Huwa dhambi inaondolewa kwa Toba haitoki yenyewe
Asanteni.
Watu kama nyie waga ni wapumbavu sana
 
Back
Top Bottom