nokwenumuya
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 820
- 2,901
Wakati Kikwete alikuwa akienda Marekani na kuishia kupiga picha na Boyz 2 Men na UB40 ni Magufuli alikuwa ameharibu siasa?
Ni hivi ukiwa kibaraka na cheap kwa wazungu na wao wanakutreat hivyo hivyo.
Ulishaona Rais wa Nchi yeyote kampigia simu samia kumkaribisha atembelee nchi yake?
Lakini Chancellor wa Ujerumani alimpigia Rais Magufuli simu na kumkaribusha Germany na mwamba hakwenda.
Huyu wa kujitembeza bure hana value. Kwanza wanakudharau tu.

Ni hivyo sio? Rais wa nchi uingie kwenye nchi nyingine mwenyeji wako asikutambue?
Bado Kuna uchafu wa siasa za Magufuli alizozifanya haujaondolewa kwenye taswira ya nchi kimataifa
Nchi bado inanuka
Huwa dhambi inaondolewa kwa Toba haitoki yenyewe
Asanteni.