musicarlito
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 588
- 904
- Thread starter
- #41
Siipendi dhambi ya unafiki...tafadhari niambie unafiki wangu uko wapiMtoa mada acha unafiki, tafuta hela mkuu utakufa kwa kihiro kisicho na faida, urais ni taasisi na ina Washauri na wanajua nini wanakifanya, wewe unajua kuwa president Madiba (rip)aliishi pale Arusha for more than a week baada ya divorce na mama Nomzamo?