Kwa hili Wamarekani wanatudharau

Kwa hili Wamarekani wanatudharau

Rais wetu anakaribia kufunga wiki nchini mwao lakini mwenyeji wake ambaye ndiye mkuu wa nchi hajakutana na mgeni wake(Mh. Rais wetu)

Hii ni dharau...ifike mahali tuwe masikini jeuri, hivi Mh. Biden angefanya ziara nchini Tanzania, kweli Mhe. Rais wetu angekuwa bize na mambo mengine na kuicha hiyo shughuli kwa waandamizi wake???

Ifike mahali wizara ya mambo ya nje wajitafakari pia katika hili.
Hizo ni kazi za idara wala sio waziri au taasisi za kiraisi amejishusha. Hakujifunza kwa Magufuli, sababu hange fanya huo mchezo.
 
Rais wetu anakaribia kufunga wiki nchini mwao lakini mwenyeji wake ambaye ndiye mkuu wa nchi hajakutana na mgeni wake(Mh. Rais wetu)

Hii ni dharau...ifike mahali tuwe masikini jeuri, hivi Mh. Biden angefanya ziara nchini Tanzania, kweli Mhe. Rais wetu angekuwa bize na mambo mengine na kuicha hiyo shughuli kwa waandamizi wake???

Ifike mahali wizara ya mambo ya nje wajitafakari pia katika hili.
umeongea kwa uchungu sana aiseeee...huu ni ukweli mchungu
 
Kwa hiyo Biden anaweza kuja Tz akakutana na Mhe. Phillip Mpango...kisha na wamarekani waishio nchini ikawa imeisha???
Tatizo lenu mnalinganisha ukuu wa America na Tanzania. Chato haiwez linganishwa na DAR!! Biden akienda popote lazima mkuu wa NCHI husika awepo no way, but kwa vinchi vichanga kama sisi is not necessary!!
 
Rais wetu anakaribia kufunga wiki nchini mwao lakini mwenyeji wake ambaye ndiye mkuu wa nchi hajakutana na mgeni wake(Mh. Rais wetu)

Hii ni dharau...ifike mahali tuwe masikini jeuri, hivi Mh. Biden angefanya ziara nchini Tanzania, kweli Mhe. Rais wetu angekuwa bize na mambo mengine na kuicha hiyo shughuli kwa waandamizi wake???

Ifike mahali wizara ya mambo ya nje wajitafakari pia katika hili.
Hata Diomond ange weza kumtuma aende kufanya hiyo kazi.
 
Rais wetu anakaribia kufunga wiki nchini mwao lakini mwenyeji wake ambaye ndiye mkuu wa nchi hajakutana na mgeni wake(Mh. Rais wetu)

Hii ni dharau...ifike mahali tuwe masikini jeuri, hivi Mh. Biden angefanya ziara nchini Tanzania, kweli Mhe. Rais wetu angekuwa bize na mambo mengine na kuicha hiyo shughuli kwa waandamizi wake???

Ifike mahali wizara ya mambo ya nje wajitafakari pia katika hili.
Naona uchawa siku hizi unalipa, maana kila mtu anaupigania kama tunavyoona kwa mleta mada

images (68).jpeg
 
Rais wetu anakaribia kufunga wiki nchini mwao lakini mwenyeji wake ambaye ndiye mkuu wa nchi hajakutana na mgeni wake(Mh. Rais wetu)

Hii ni dharau...ifike mahali tuwe masikini jeuri, hivi Mh. Biden angefanya ziara nchini Tanzania, kweli Mhe. Rais wetu angekuwa bize na mambo mengine na kuicha hiyo shughuli kwa waandamizi wake???

Ifike mahali wizara ya mambo ya nje wajitafakari pia katika hili.

Atakuwa ameshamaliza shughuli za kiserikali sasa atakuwa kwenye shughuli nyingine binafsi labda za kimatibabu
 
Rais wetu anakaribia kufunga wiki nchini mwao lakini mwenyeji wake ambaye ndiye mkuu wa nchi hajakutana na mgeni wake(Mh. Rais wetu)

Hii ni dharau...ifike mahali tuwe masikini jeuri, hivi Mh. Biden angefanya ziara nchini Tanzania, kweli Mhe. Rais wetu angekuwa bize na mambo mengine na kuicha hiyo shughuli kwa waandamizi wake???

Ifike mahali wizara ya mambo ya nje wajitafakari pia katika hili.
Samia ameenda kule kwa shughuli za kitamaduni (Uzinduzi wa filamu)
 
Ni hivyo sio? Rais wa nchi uingie kwenye nchi nyingine mwenyeji wako asikutambue?
Bado Kuna uchafu wa siasa za Magufuli alizozifanya haujaondolewa kwenye taswira ya nchi kimataifa
Nchi bado inanuka
Huwa dhambi inaondolewa kwa Toba haitoki yenyewe
Asanteni.
PUMBA
 
Huyo ameenda kutuongezea madeni, ameenda kwenye holiday, shopping kwa gharama za kodi zetu.

Huyu haiwezi hii kazi ya Uraisi. Ni juu ya uwezo wake.
 
Back
Top Bottom