Kwa hili, namsaidiaje binti yangu?

Kwa hili, namsaidiaje binti yangu?

Sipendi kuuliza sana..

Ni mtu wako wa ujanani.?

Kwanini nauliza hata kama inakera.!

Kwa namna unavyomkumbuka na sisi kuwa shuhuda wakati huu kwa huzuni yako

Ndio uhalili wetu kweli nisingekuuliza kama hukutoa tip
Huu uzi nimeandika nimelewa , nilichokisema nikwel kabisa , kuna baadhi ya maoni ambayo nimechukua nakazia na vodka, , kwa huu uzi nitasaidika kwa namna moja ama nyingine
 
Shida yako ni kubond na mtoto wako, achana na tabia ya kujipendekeza kwenye majukumu yasiyo yako...

Zaidi kaa ukijua yule ni mke wa mtu (unachokitafuta utakipata)

Tatzo lingekuwa kama mtoto yupo kwa mamake na hataki kubond na wewe, Na nina imani huyo mwanamke asingesumbuka kukutafuta ili ubond na huyo mtoto!
 
Huu uzi nimeandika nimelewa , nilichokisema nikwel kabisa , kuna baadhi ya maoni ambayo nimechukua nakazia na vodka, , kwa huu uzi nitasaidika kwa namna moja ama nyingine
Hata mine me nakujibu kwa vibe sio la kitoo

Kitu kikali more 750 mil

Ongea mangi Kuna kitu unaweza saidia kifala
 
Nani na nani
for sure ungekuwa ndugu yangu afu uje kuniomba huo ushaur moja kwa moja ningekupeleka mirembe. Aliyekwambia utoe talaka shingo upande ni nani? Hujamwambia mtoto chochote yeye kaamu kuish maisha yake na unalalamika. Ingekuwa wewe ndio huelewani na mtoto atleast ningekwambia kitu lakin mtu yuko kwake na wewe upo kwako bado unasema bonds ndugu yangu au unajikumbushia kwa aliyekuwa mke wako sasa kakwambia kuwa hatakupa sharti aelewane na mwanae? Somesha huyo mtoto hadi no school ahead acha kumsumbua kwa mambo hataki bro.
 
Niseme tu mimi ni single father wa binti mmoja , japo nilisha sema nawakiume mkubwa ila ni stori ndefu mpaka kufanya maamuzi ya kubaki na binti yangu tu.

Binti yangu nilianza kukaa nae alipo timiza miaka miwili baada ya kuvutana na mama yake mno.

Ila mama yake alipo pata mtu mwingine wa kumuoa ndoa kabisa, baada ya mimi kupeana nae talaka , ikawa rahisi sana kunipa binti yangu .

Nilimlea binafsi , alipo kua alienda kwa bibi yake na sasa yupo shule ya kulala anaendelea vyema.

Shida inakuja , baada ya binti ya kuwa mkubwa kiasi , naona kama hana bond na mama yake , wala hana hisia nae kabisa 🥲 , sikupenda hii hali ijitokeze kabisa , yani hata ukimwambia wewe unafanana na mama yako vitu fulani analia kabisa 🤔

Wakionana hauwezi fikiri ni mtu na mtoto wake , hii hali siipendi kwa sababu sijawahi kumsaigia kunguni mama watoto wangu kwa mwanae kabisa , tunaelewana kama wazazi na hata yeye ana shiriki matunzo ya mwenetu.

Hii hali imekaaje wadau , na nina weza fanya vipi nikaweka ukaribu wa binti yangu na mama yake 🤔.
Ooh simple panga muda mkutane na mzazi mwenzio popote penye usalama,uende na Binti kama surplus!Utakuja kunishukuru na mwenyezi Mungu!
 
Hii hali imekaaje wadau , na nina weza fanya vipi nikaweka ukaribu wa binti yangu na mama yake 🤔.

Sasa mkuu, wewe mwenye binti hauna ukaribu na mama wa binti...

Unadhani itawezekana vipi binti yako awe karibu na mamaye ilihali siku za maisha yake amekujua wewe kama ndiye uliyemlea?

Hiyo imetoka, hakuna namna ya watu hao wawili kuwa na ukaribu tena...
 
Niseme tu mimi ni single father wa binti mmoja , japo nilisha sema nawakiume mkubwa ila ni stori ndefu mpaka kufanya maamuzi ya kubaki na binti yangu tu.

Binti yangu nilianza kukaa nae alipo timiza miaka miwili baada ya kuvutana na mama yake mno.

Ila mama yake alipo pata mtu mwingine wa kumuoa ndoa kabisa, baada ya mimi kupeana nae talaka , ikawa rahisi sana kunipa binti yangu .

Nilimlea binafsi , alipo kua alienda kwa bibi yake na sasa yupo shule ya kulala anaendelea vyema.

Shida inakuja , baada ya binti ya kuwa mkubwa kiasi , naona kama hana bond na mama yake , wala hana hisia nae kabisa 🥲 , sikupenda hii hali ijitokeze kabisa , yani hata ukimwambia wewe unafanana na mama yako vitu fulani analia kabisa 🤔

Wakionana hauwezi fikiri ni mtu na mtoto wake , hii hali siipendi kwa sababu sijawahi kumsaigia kunguni mama watoto wangu kwa mwanae kabisa , tunaelewana kama wazazi na hata yeye ana shiriki matunzo ya mwenetu.

Hii hali imekaaje wadau , na nina weza fanya vipi nikaweka ukaribu wa binti yangu na mama yake 🤔.
Yalinikuta kwa nwanangu wa kuzaa sikumnyonyesha sana alipofika miezi kumi alinyonyeshwa na mwingine nilikuwa nikienda likizo kumsalimia kwa mara ya kwanza alinikataa kabisa alikuwa bado mdogo sana ili anikubali walimtambulisha kwamba mimi ni dada alikubali tu kwamba dada ni mpika uji likizo ikiisha narudi kazini nifupishe nilipoanza kuishi naye hakuwa na mapenzi na mimi kabisa nilichofanys ni kijipendekeza kwake na mara kwa mara kuwa karibu naye kwa sasa ananipenda sana sana japo simfikii aliyemnyonyesha, mwambie mzazi mwenzio ajiweke karibu naye hata kama mtoto haonyeshi mapenzi kwa mama yake, yeye asijali akipata senti amnunulie vizawadi na ampe mwenyewe likizo aende kwa mama japo wiki au siku tatu hutoamini atampenda tu akikosa amshauri asimgombeze itachukua muda mrefu ila yataisha
 
Sasa mkuu, wewe mwenye binti hauna ukaribu na mama wa binti...

Unadhani itawezekana vipi binti yako awe karibu na mamaye ilihali siku za maisha yake amekujua wewe kama ndiye uliyemlea?

Hiyo imetoka, hakuna namna ya watu hao wawili kuwa na ukaribu tena...
Hajasema yeye hana Ukaribu na Mama mtoto.
amesema wanashirikiana. Hata Binti yetu anaenda kwa Mama yake akiwa Likizo.
Na hii ni imani tosha.
Kuwa inawezekana kurudisha hii bond.

Kuna vivitu vidogo vidogo tu Ndugu yangu anajaribu ku brainstorm..na ndio nia ya kutushirikisha.

Ni dhahiri anampenda Binti yake. Na anataman Binti apate mapenz ya Mama.
Na sio hili sio mpaka Yeye alombane na Mama.

Hili ameongea min -me ila ni jambo linawapitia wanawake wengi. Kwenye vice versa.

Singles Mothers wanajaribu Kurudisha Mapenzi ya Baba na mtoto wakat Baba/mtoto wanaishi mbali mbali.
Na pasipo Kulombana.

Hili ni jambo lile lile.
Ila hili Ni la Mwanaume mwezetu. Ambalo litatupata tu huko mbelen pia. Ya Mungu mengi.
 
Back
Top Bottom