Kwa herini wana JF.

Kwa herini wana JF.

Tutakumiss sana! If u have to sawa; lkn ungekuwa unaingia at least once a week!
 
basi haumpendi
mie nilihamia pale na begi langu
tena kwa kujidai na ujauzito feki

badae nikamwambia ukweli
hapo nshakaa kama mwezi mmoja
huyo, akaenda kujitambulisha
na ndoa ikafungwa.

Utakosa bara na pwani
ila najua una kidumu kinachokupa jeuri
Hahahahaa, hapo Bold nimecheka kweli. Bonge la move aisee...
Mi sina kidumu bwana, nimeamua tu nijikalie
I am not searching, yeye ndie alikua anasearch
Amepewa masharti, kashindwa kuzingatia
Mwache atembee, akishindwa atarudi na kutekeleza 🙂
 
I wish ningekuwa patient kama wewe
If i want something, and I real want it
siwezi subiri
I go for it.

Haya subira yavuta heri bibie

wee, mie ilibidi nitafute mbinu
roho ilikuwa inanitoka bure

Unaona hapo bold? Ukitaka kitu you go for it, unatafuta mbinu.
Na mimi ni hivo hivo. NIKITAKA, NA NIKITAKA KWELI nitatafuta mbinu.
 
kumbe ulikuwa unamzingua bure?
SI kajiwekea matumaini makubwa
akamiminwa, lol

nyie mabinti mna mambo.

hamna kongosho Mwali ni mtu mzuri alinishika ugoni ndio maana hanikubali tena..ndio maana najuta kutembea na vitoto ya dotcom vimeniharibia
 
kumbe ulikuwa unamzingua bure?
SI kajiwekea matumaini makubwa
akamiminwa, lol

nyie mabinti mna mambo.
Mi sijamzingua bwana. Naona karudi, muulize mwenyewe
Nilimwambia akitaka nimsikilize aongee na familia kwanza 🙂
 
wee nenda kwa wazazi wake
anataka uende kwa anko wake au anti ADI

atakusamehe, na wala ugoni sioni kama kajali sana.

hamna kongosho Mwali ni mtu mzuri alinishika ugoni ndio maana hanikubali tena..ndio maana najuta kutembea na vitoto ya dotcom vimeniharibia
 
Back
Top Bottom