Kwa herini wana JF.

Kwa herini wana JF.

ndugu yangu unafikiri naweza tena kuishi bila JF..i think unaweza ku imagine jinsi nitakavyo suffer nakuwamiss rafiki zangu na wadau wote humu
kumbe ndo mana hukumkabidhi mtu mikoba....karibu sana...
Mi nkakiuliza kweli SI ninayemjua akae miezi 9 bila Jf?
Duh
 
nimemwambia aende kwa anko au anti ADI.
Ngoja nimsikie atasemaje.

Mi sijamzingua bwana. Naona karudi, muulize mwenyewe
Nilimwambia akitaka nimsikilize aongee na familia kwanza 🙂
 
wee nenda kwa wazazi wake
anataka uende kwa anko wake au anti ADI

atakusamehe, na wala ugoni sioni kama kajali sana.
we anti mkali huyo anafinya kama nini..siku ya kwanza nilienda kimya kimya akanifuma nilifinywa si mchezo hata sina hamu. sasa hivi mission ni kumuiba ndio maana naenda kujichimbia kwa mganga.nikirudi hapa ka namsukuam mlevi vile
 
kumbe ndo mana hukumkabidhi mtu mikoba....karibu sana...
Mi nkakiuliza kweli SI ninayemjua akae miezi 9 bila Jf?
Duh
ila nafikiri nitazoea tu..kwema lakini..nataka uwe mlinzi nikirud unipe ripoti
 
nimemwambia aende kwa anko au anti ADI.
Ngoja nimsikie atasemaje.

we anti mkali huyo anafinya kama nini..siku ya kwanza nilienda kimya kimya akanifuma nilifinywa si mchezo hata sina hamu. sasa hivi mission ni kumuiba ndio maana naenda kujichimbia kwa mganga.nikirudi hapa ka namsukuam mlevi vile
Unaona mambo yake? Ndio maana nilisema bora aende, labda atapata wakukubali hizo.
 
duh!! mbona roho ngumu hivyo lakini..nilijua nina ndugu wengi humu JF kumbe maadui kibao kha...sasa RIP ya nini tena.

undugu wetu uko pale pale kaka, miezi tisa ni mingi ati, wengine wanafia leba, wengine kwingine, ndo maana nimekutakia RIP, just in case...
 
Naomba kazi ya kukulindia mali zako, maana naona watu wameanza kuzitolea macho
hadi upite kwenye usaili.na uyapite majaribu..si unajua utakacholinda si haba ..mwenye tamaa hatopewa ...
 
Kweli nawe una kiranga.
Ngoja nikampe mateka wangu Lemon Ice Tea.

Nyie dot com siwawezi

Unaona mambo yake? Ndio maana nilisema bora aende, labda atapata wakukubali hizo.
 
Back
Top Bottom