Kwa herini wana JF.

Tumemiss Kamanda wa anga kwa muda hakika!

Popote uwapo! Uwe na wakati mzuri Kamanda wetu Saint Ivuga.

MUNGU AKUTANGULIE NA AKUWEZESHE NA HATA URUDI SALAMA KAMANDA WETU!

Tusisauliane tu!
 
Kwa vile umeishi na sisi kwa wema na ubinadamu sio mbaya tukakuaga kwa mziki.


 
Last edited by a moderator:
nimerudi wajameni..kabla ya muda kuwa mabli an JFni kama vile kwenda jela


karibu mkuu, ila ni temporal au ndio moja kwa moja?

versecco.jpg


maalumu kabisa kwa celebration ya kurudi kwako
 
SS lazma niibe moja


hah weeee!!!

1. Nina mbio kuliko unavyodhani
2. huwa nafanya mazoezi asubuhi tena ya nguvu sana
3. nikiwa darasa la pili niliwahi kupiga sana
4. Usinifanye nikutafutie mkia wa taa
5. Wezi ni marufuku kabisa kukaribia maana adhabu zao!! mh
6. Nitakuhesabia wewe na Mtei One wamoja
7. Ntakutafutia BAN ya miaka 7
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom