Kwa herini wana JF.

Hii message yake aliituma dakika chache kabl akimu hajapitisha maamuzi...nadhani ameshanyang'anywa simu...
B areful buddy..sijui ni keko ama wapi wamekupeleka...op utarudi 'sealed.'
 
Hahahahaahahaha, we ni zaidi mkuu, hatukuwezi! hahahahahaa
Ivuga rudi kumjibu Mentor halafu ndio upotee, hii kashfa bwana! haahahahaha
 
ndilo neno pekee unaloweza sema??

Kidumu chama cha vidumu.
Sasa nisemeje Kongosho? Kwa vile ameamua kuaga members wote kwa pamoja
as if wote tuna rank sawa basi acha na mimi nimjibu kama walivo mjibu members wote. lolest

ooh! Basi acha atokomee na asirudi.
Aaaaah, acha arudi bwana. Umesoma comment ya Mentor? yani hadi sasa bado nacheka! lol
 
Hivi unajua kuwa wanamme ni malighafi adimu sana siku hizi.

Angalia Husyn, alivyomwagwa jana kakonda kweli, kamrukia Judge hadi kidogo amparure reception.

Binti chunga SI wako huyo, baada ya miezi 9 atakuletea mke mwenza. Si unakumbuka Michelle nilivyotendwa. Utajibeba!

kidumu chako nani(ninong'oneze)

Sasa nisemeje Kongosho? Kwa vile ameamua kuaga members wote kwa pamoja
as if wote tuna rank sawa basi acha na mimi nimjibu kama walivo mjibu members wote. lolest
 
Hivi unajua kuwa wanamme ni malighafi adimu sana siku hizi.

Angalia Husyn, alivyomwagwa jana kakonda kweli, kamrukia Judge hadi kidogo amparure reception.

Binti chunga SI wako huyo, baada ya miezi 9 atakuletea mke mwenza. Si unakumbuka Michelle nilivyotendwa. Utajibeba!

kidumu chako nani(ninong'oneze)
Mi na Ivuga we are not a couple, tofauti na wewe na The Boss
Nilimwambie akaongee na Uncle/Anti wangu akakataa.
Sasa ningefanyaje? Mwache aende, labda huko anakoenda
atapata anaetaka vya barabarani, mi nimelelewa bwana!
Wanaume malighafi? Nikikosa nitakua sikupangiwa kupata toka mwanzo lol
 
basi haumpendi
mie nilihamia pale na begi langu
tena kwa kujidai na ujauzito feki

badae nikamwambia ukweli
hapo nshakaa kama mwezi mmoja
huyo, akaenda kujitambulisha
na ndoa ikafungwa.

Utakosa bara na pwani
ila najua una kidumu kinachokupa jeuri

Mi na Ivuga we are not a couple, tofauti na wewe na The Boss
Nilimwambie akaongee na Uncle/Anti wangu akakataa.
Sasa ningefanyaje? Mwache aende, labda huko anakoenda
atapata anaetaka vya barabarani, mi nimelelewa bwana! lol
 
Back
Top Bottom