Kwa herini wana JF. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa herini wana JF.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Saint Ivuga, Mar 11, 2012.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,279
  Likes Received: 14,520
  Trophy Points: 280
  Wapendwa rafiki wote wa JF nitapotea kwa muda.not less than 9 months.tuombeane uzima kwenye mihangaiko.
   
 2. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  We kijana wapi tena unakoenda kusiko kuwa na internet???
  Au umegoma kulipa kodi fulani ukapewa adhabu ya lupango ya miezi 9???
  We gona miss u so much....
  Tafuta mtu umruthishe shughuli ya Mapicha murua....
  all the best huko uendako mkuu....
   
 3. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Ungeweka na phone number kabisa bana miezi tisa mingi sana ya uzazi kabisa
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Mar 11, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,040
  Likes Received: 3,798
  Trophy Points: 280
  Where are you going SI?
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,194
  Likes Received: 1,590
  Trophy Points: 280
  Uniletee snow tafadhali. Kila la kheri, mwenyezi Mungu akutangulie.
   
 6. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #6
  Mar 11, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,377
  Likes Received: 586
  Trophy Points: 280
  Kila la kheri uendako ila 9months ni mingi sana nje ya jf tutakumiss jukwaani
   
 7. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,330
  Likes Received: 3,535
  Trophy Points: 280
  Mhmh, angalia usije ukaenda jumla maana huko mahali unaenda ni noma. Kuna jamaa aliaga anaenda kwa miezi mitatu hadi leo hajarudi.
   
 8. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #8
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  .....simu yako haina access ya NET....?
   
 9. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #9
  Mar 11, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  oooh jamani Saint Ivuga miezi tisa mbona mingi sana, waenda wapi kusikokuwa na net huko?.. Tutakumiss sana mpendwa!..


  Kila la kheri huko uendako!
   
 10. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #10
  Mar 11, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,796
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 160
  haya..,
   
 11. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #11
  Mar 11, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kila la heri mtakatifu!!
   
 12. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #12
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 246
  Trophy Points: 160
  mwali atajibeba, jane wa miezi 9 si mchezo.

  Hivi tutapata mlinzi mwingine wa chit chat?

  Mie hakika sitakumiss SI.
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 246
  Trophy Points: 160
  hivi wewe umekuwaje siku hizi??
  24/7 upo hapa??

  Namwambia Nitty akuache na ujauzito
  hadi ufulie hata hela ya bando la net.

   
 14. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #14
  Mar 11, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,513
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  SI,
  YOUR HIGHNESS
  haya mkuu waenda wap bana?afu iyo miezi imenitisha inafanana na ile ya nanihii!..i think ni muhimu tukawa na mawasiliano yako m-badala!
   
 15. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #15
  Mar 11, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,339
  Likes Received: 1,008
  Trophy Points: 280

  Konny mjombake nipo mbona... "hatapungukiwa na kitu"
   
 16. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #16
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 246
  Trophy Points: 160
  mjomba utampa mhogo wa jang'ombe wewe?

  Binti akishaanza kulala na ng'ombe wakubwa hawezi tena kulala na ndama.
  Hata kama kwao Masaki, utamkuta Tandale anatafuta haki yake.

  Ujane mbaya.
  Au Mwali kambebesha mwenzie mimba?

   
 17. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #17
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Wapi ktk dunia ya glabalisation hakuna Net ? Lbd prison only !
   
 18. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #18
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 246
  Trophy Points: 160
  Kachagua kwenda Prison Break

   
 19. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #19
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,639
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  kila la kheli ushauri upumzike na kushabikia simba ili hiyo miezi 9 ipite salama lasivyo utakuwa unabip kisera jeiefu..
   
 20. Michese

  Michese JF-Expert Member

  #20
  Mar 11, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Inshallaah!kila la kheri mkuu,ukirudi ututaarifu pia
   
Loading...