Kwa herini wana JF.

hivi wewe umekuwaje siku hizi??
24/7 upo hapa??

Namwambia Nitty akuache na ujauzito
hadi ufulie hata hela ya bando la net.
Hehehe! Chezeiya limbwata ya moshi weye?

Inshort mimi na nitty tumepeana limbwata, kanipa la bukoba, nkampa la moshi afu yote original, hakuna wa kumuacha mwenzie hapa so wewe ulie tu konnie!

Afu nna ujumbe wako toka kwa Bishanga!
 
usisahau kumpa hi BARUBARU, MTUKWAO, BUMIJA, TMK DAR, SMILE, FIGGANIGGA, IrDA, TZ1, MSANDOALBERTO, CARTHBERTL, TIKERRA NA SAHIBA. Wambie nmewamiss sana.
 
SI. Stay with us wherever you re on this planet. Since you have to go, may the force be with you.
 
Jamani, bepari la kihaya liko wapi
hadi mabega yametikisika kama nimepitishwa kwenye grid ya taifa.
Lipo konnie, Paw analidai ndio mana linaogopa kulog inn, linapita kama guest tu. Hebu fanya mchakato tumsaidie kulipa deni awe huru...


Chezeiya madeni weye?
 
sh. Ngapi hizo zinazomkimbiza mtaa?

Ataweza kumalizia matofali kwenye site yangu kweli?

Lipo konnie, Paw analidai ndio mana linaogopa kulog inn, linapita kama guest tu. Hebu fanya mchakato tumsaidie kulipa deni awe huru...


Chezeiya madeni weye?
 
Back
Top Bottom