Kwa biti la Kagame wasithubutu tena kupeleka vikosi Goma

Kwa biti la Kagame wasithubutu tena kupeleka vikosi Goma

Tayari USA amesaini mkataba huo wa kumaliza mgogoro:Na USA atachota madini ya kutosha kutoka huko Congo:Yeye Kagame hana resource yeyote zaidi ya kutaka kuiba kutoka Congo:Kitakacho mpata kwa sasa ni yeye kutumiwa vindege vidogo visivyo na rubani na kummaliza:Tayari wakubwa na wenye dunia wapo Congo:Yeye aendelea kulia lia kama mbwa koko lakini kwa sasa its the end of the road.
Huujui mgogoro wa Congo.

Kwenye hayo makubaliano, umeona kikundi chochote cha waasi???
 
JWTZ Ipo imara mno

Hakuna jeshi east and central afrika la kuikoromea JWTZ!!

Naongea by experience in side!!
Ndo mnavyolishwa matango pori huko makambini? Unaifahamu Uganda au unaongea ujingaujinga tu? Watu wana Sukhoi SU 30 sita. Wewe Tz una ndege gani ya maana zaidi ya zile takataka zinaunguruma kama kiwanda?
 
Kwa dharau sana kawaita nchi za SADC zilizopeleka vikosi vyake Bukavu na Goma " Confused brothers and Sisters" yaaani kaka zetu na dada zetu waliochanganyikiwa.

Hakuwaacha hapo tu, kawaambia mlichokipata safari hii ni sehemu ndogo tu ya mtakachokipata mkijaribu tena kuleta vikosi vyenu kupambana na Rwanda.
Huyu jama si alionekana anapumulia mashine hivi majuzi
 
Jiimarisheni kisiri siri kwa level hata ishirini afikifungua mfunga na kuweka
Kuna vingi hana na hajui
 
Kama alijuwa sadc itafeli hakutakiwa kulipeleka jeshi kule

Na huo ndio ulikuwa ushauri wa JWTZ

Aliupuuza!.
Na bado yupo madarakani? Seriously? Sasa ikitokea vita atawezaje kulisikiliza jeshi?
 
Semeni vyoooote, ila Jeshi la TZ ni jeshi imara as up now. Halijawahi shindwa any private major operation na halijawah.

KIKWETE alisema hivi, tutakuwa wa mwisho kufanya kitu chochote kibaya, ....... kipindi kile Kagame akabaki anabweka tu mda wote hakuanzisha shambulio kicha kwamba Kikwete alimwambia anza kupiga sisi hatuta anza mpaka uanze wewe ,

na hata Leo ajarib yeye mana sisi huwa hatuna porojo kama NCHI Bali tuna matendo .... anaeona sisi dhaif aanze kupiga tumwonyesho tulichomfanya DADA.
Unajigambq wakati kawatia adabu hapo Goma
 
Ndo mnavyolishwa matango pori huko makambini? Unaifahamu Uganda au unaongea ujingaujinga tu? Watu wana Sukhoi SU 30 sita. Wewe Tz una ndege gani ya maana zaidi ya zile takataka zinaunguruma kama kiwanda?
Usiogope kijana hizo ndege zinaweza zisiruke au zikiruka zisirudi zilipotoka ila muhimu zisiruke kabisa
 
Siku zote dhaifu ndiyo huwa na kelele chumbani
Wajeda wa Kibongo mpaka makali walisechiwa mpaka matakoni walipokamatwa mateka huko Eastern DRC, Kagame anaongea lakini pia on the ground vijana wake wanatendea haki flag yao.
Bongo makamanda wa juu kugeuka kuwa chawa kumeua kabisa uwezo na morari jeshini.
 
Wajeda wa Kibongo mpaka makali walisechiwa mpaka matakoni walipokamatwa mateka huko Eastern DRC, Kagame anaongea lakini pia on the ground vijana wake wanatendea haki flag yao.
Bongo makamanda wa juu kugeuka kuwa chawa kumeua kabisa uwezo na morori jeshini.
Tena kwenye hotuba yake kasema sio kwamba anajisifu anaongea ukweli na uhalisia na ujumbe uwafikie machawa wote.
 
M23 walipigwa na jwtz wakakimbilia Uganda na vikosi vile vya jwtz vilikuwa imara sana na havikuwa na Asikari wa kike,baada ya hapo M23 wakajipanga upya wakajiandaa wakapata mafunzo makubwa ya kijeshi mazoezi makali walipokuja kwa mara ya pili wakaja na nguvu kubwa wakawaua Asikari wanne wa jwtz na Asikari 14 wa South Africa na kuwajeruhi wengi kuwapora siraha vifaa ni Aibu kubwa kwa Taifa, bora warejee Tanzania kuliko kuishi kwenye eneo la utawala wa waasi wa M23
Warejee tu Tanzania waendelee kuwa vigaragosi vya wajinga CCM maana hiyo ndo kazi wanayoiweza.
 
Na kasema baada ya kuwatembezea kichapo na wakasalim amri tukawaonyesha njia ya kurudi kwao, vinginevyo hata kwao wasingerudi
 
Tayari USA amesaini mkataba huo wa kumaliza mgogoro:Na USA atachota madini ya kutosha kutoka huko Congo:Yeye Kagame hana resource yeyote zaidi ya kutaka kuiba kutoka Congo:Kitakacho mpata kwa sasa ni yeye kutumiwa vindege vidogo visivyo na rubani na kummaliza:Tayari wakubwa na wenye dunia wapo Congo:Yeye aendelea kulia lia kama mbwa koko lakini kwa sasa its the end of the road.
Endeleeni kujipa moyo.
 
Kwa yanayo endelea ccm kila kitu kinawezekana... Mtanielewa baada ya Oct2025
Nchi hii hatuna wanajeshi wala TISS wenye akili. Tungekuwa nao CCM wasingeliharibu hili Taifa kwa kiwango hiki. Tungekuwa nao KATIBA isingechezewq namna hii na wajinga wachache wanasiasa wanaojiona ndo kila kitu wakati hawana lolote lile la maana.

I also used to think tuna system makini ila kwa namna walivyogeuzwa vikaragosi na wajinga hawa CCM nikasema tu hatuna vyombo vya ulinzi saivi.

Acha waendelee kudhalilishwa na kuaibishwa. Maneno ya Kagame kama hayajawaamsha na kujitenga na upuuzi wa CCM ndo basi tena.
 
Na kasema baada ya kuwatembezea kichapo na wakasalim amri tukawaonyesha njia ya kurudi kwao, vinginevyo hata kwao wasingerudi
Kawaambia angeamua hata kurudi kwao wasingerudi maana angeaamaliza wote.

Kagame noma sana.
 
Back
Top Bottom